Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tahadhari. Linki za Choicevariable zinakusanya taarifa zako.
Si ajabu hii Nchi matapeli Huwa wanajilia pesa za Bure Kwa kujifanya watu walio jirani na Viongozi au usalama maana imejaa majitu maoga yasiyotumia akili Wala kujitambua.

Looser kama wewe usiye na athiri yeyote Kwa mamlaka nani ahangaike na wewe? Kwa kipi hasa? 😁😁
 
Unaumia kimya kimya 😁😁
Yaani uumie kwa government town
Huo ni mji wa taasisi za serikali hauwezi na kuwa na impact kwenye macroeconomics ya mkoa wa Dodoma.......
Kwani si hata kulikuwa na majengo ya wizara,, baada ya serikali kuhama mbona dar haijateteleka
 
Hatuwezi tena? 😁😁
 
Mikdde Nilikwambia Mtumba ni new CBD ukawa unabisha kwa povu tele😁😁

Soma maelezo ya awamu ya pili yatahusu ujenzi wa nini harafu uje tena Kuandika pumba zako 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DFx6ExXt1Ra/?igsh=YTBiZHM1eXU2d2ln

Hayo majengo yakishaisha ujenzi huo mji haitajengwa tena!
Hayo majengo pia sio ya biashara ni maofisi kama ilivyo posta Dar es Salaam ukiangalia majengo ya wizara hayana innovation tokea yajengwe!
Kwa hiyo ujue kabisa huo mji wa kiserkali ukishajengwa hauna ukuaji mwingine ni maofisini tu na hakuna economic benefit zozote hata kwa Halmashauri ya mji!
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga au...aliyekwambia ujenzi huwa unaisha nani😀😀. Ujenzi wa mji mkuu ni ishu "dynamic" kamwe huwa hauishi...kuna taasisi mpya zitaanzishwa,kuna maboresho,kuna ukarabati,kuna ongezeko la idadi ya watu,kuna ongezeko la huduma,kuna ongezeko la mahitaji mengine.
Abuja wameanza kujenga mji mkuu tangu miaka ya 1990 mpaka leo bado unajengwa.
 
Hujaelewa wewe kiazi ni services based infrastructures not economic based infrastructures acha ushamba🤣🤣🤣🤣🤣
 
😀😀Utasikia Mikdde anakwambia eti Dom hakuna miti,ni jangwa,kuna ukame,hakuna mvua,hakuna ukijani👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DF2TronMe4Y/?igsh=bHQ4ZXhnYWhmdDBn

20250203_151616.jpg
20250203_151450.jpg
 
Back
Top Bottom