ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hii ni shule ya mfano Tanzania nzima.
Weka hoja,Prof amekupa chakula ch akili unakomaa na ujingaWe lofa tu huna Cha maana . Nonsense!!?
Anayeamua kujenga kitu cha kiserikali pahala ni serikali au mtu binafsi ..mwanza inajitutumua yenyewe na bado inawabattle nyie masikini ombaomba mwanza inapiga mwizi kimya kimya😁😁😁Hii ni shule ya mfano Tanzania nzima.
Kilomita chache kutoka hapo unakutana tena na ya Bunge yenye viwango vya kimataifa ambayo inakwenda kufanyiwa extension 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DIV6RhdR1Sg/?igsh=ZjUxbGU2Zm1mY29k
Mwanza setting ilivyo yake lazima iendelee tu 😂 wajenge barabara wajenge chochote hapo ukameni village lakini status ya mwanza ipo pale pale 😁😁😁😁
Masononeko fc 😆😆Mwanza setting ilivyo yake lazima iendelee tu 😂 wajenge barabara wajenge chochote hapo ukameni village lakini status ya mwanza ipo pale pale 😁😁😁😁
Naona unatafuta ban kwa kutumia matusi.Niliwahi kukushauri nenda kabishane Facebook kwa MEMKWA wenzako ndio level zako....humu ni points +facts hupaweziWe senge unadhani ukameni village hapo ni mbinguni hakuna anayepajua Kila siku napitaga hapo hakuna cha maana zaidi ya tujengo twa serikali mwanza jiji inajiendesha unalazimisha watu wapaone ulaya nosense unapewa ushahidi Hadi picha unabisha ukiambiwa ulete ushahidi wako tushelevu unaleta bra bra we janaume senge kweli😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Acha ujinga unaombwa evidence unaleta urojo we jinga kweli🤣🤣🤣Naona unatafuta ban kwa kutumia matusi.Niliwahi kukushauri nenda kabishane Facebook kwa MEMKWA wenzako ndio level zako....humu ni points +facts hupawezi
Umewahi kufika nyamhongolo mwanza hiyo nyama choma ni kitu cha kawaida sana 🤣Matamasha ya kibunifu kama haya huwezi kuyakuta Mwanza...👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DIWiyIoA5R6/?igsh=dTFsYTAyazg5OWR2
Meanwhile from Mwanza 😆😆👇👇Another thing loading in Dom👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DIZdDtdKYod/?igsh=ZHJtdzN6NWR3NzVl
Matamasha ya kibunifu kama haya huwezi kuyakuta Mwanza...👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DIWiyIoA5R6/?igsh=dTFsYTAyazg5OWR2
Hii shule inazidiwa na Sengerema High school japo ni shule ya miaka ya 70 na kama Choice unabisha utakuwa na shida kidogoMwanza is Slum wangeita University kabisa ila Kwa Dom is just a secondary school
View: https://youtu.be/YTHqPe2PwF4?feature=shared
Haya ni baadhi ya majengo ya sesesco mengine utagoogleHii shule inazidiwa na Sengerema High school japo ni shule ya miaka ya 70 na kama Choice unabisha utakuwa na shida kidogo
Shule yangu kipenzi ya high levelHaya ni baadhi ya majengo ya sesesco mengine utagoogle
Kuna mwenge high school, tosamaganga , kigonsera, ihungo n.k vijana wa Leo wanatembea na mfumo wa kisiasa. Wakisikia shule ya mfano wanajua hapo ndo penyewe hawajui Kuna siasa kwenye maneno ya mwanasiasa.Shule yangu kipenzi ya high level
Iko wapi?Hii shule inazidiwa na Sengerema High school japo ni shule ya miaka ya 70 na kama Choice unabisha utakuwa na shida kidogo
Ihungo Iko Mwanza?View attachment 3304233View attachment 3304234ihungo ni mfano Tosha