Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Utajibiwa kulingana na utakochotuma humu.see the serenity tilapia hotel.
175324985.jpg
271385865.jpg
175324536.jpg
271634622.jpg
271385436.jpg
273486074.jpg
273486194.jpg
 
Kwenye sekta ya hotel Dodoma ijitafute sana nakubaliana na miundo mbinu ya Barabara kwamba wapo juu kwa sasa.
 
Kwenye sekta ya hotel Dodoma ijitafute
Ukitoa Dar,Arusha na Zanzibar pekeyake Dom hawakamatiki kwenye uwingi+uwekezaji wa mahoteli. Kizuri zaidi the business is booming ...kipindi cha mikutano ya Bunge,CCM na taasisi nyingine hoteli za Dom huwa zinafurika mpaka wateja wanaenda kutafuta hoteli za miji ya jirani mfano Kondoa,Bahi,Chamwino n.k.

Mfano wa wawekezaji wakubwa ni Shabiby/ MORENA HOTEL anajenga hoteli nyingine kubwa pembezoni na ya mwanzo 👇👇
IMG-20250412-WA0028.jpg
 
Ukitoa Dar,Arusha na Zanzibar pekeyake Dom hawakamatiki kwenye uwingi+uwekezaji wa mahoteli. Kizuri zaidi the business is booming ...kipindi cha mikutano ya Bunge,CCM na taasisi nyingine hoteli za Dom huwa zinafurika mpaka wateja wanaenda kutafuta hoteli za miji ya jirani mfano Kondoa,Bahi,Chamwino n.k.

Mfano wa wawekezaji wakubwa ni Shabiby/ MORENA HOTEL anajenga hoteli nyingine kubwa pembezoni na ya mwanzo 👇👇View attachment 3301807
Tuanze ligi kama unayoyasema ni ya kweli uwanja ni wetu sote, halafu hupaswi kuongea vitu kama huna uhakika navyo.
 
Ukitoa Dar,Arusha na Zanzibar pekeyake Dom hawakamatiki kwenye uwingi+uwekezaji wa mahoteli. Kizuri zaidi the business is booming ...kipindi cha mikutano ya Bunge,CCM na taasisi nyingine hoteli za Dom huwa zinafurika mpaka wateja wanaenda kutafuta hoteli za miji ya jirani mfano Kondoa,Bahi,Chamwino n.k.

Mfano wa wawekezaji wakubwa ni Shabiby/ MORENA HOTEL anajenga hoteli nyingine kubwa pembezoni na ya mwanzo 👇👇View attachment 3301807
Isamilo hotel, endelea kujitafuta mpaka uthibitishe kauli yako
FB_IMG_1744481165314.jpg
images (9).jpeg
308773378.jpg
ab7baee6.jpg
 
Hotel unazowez kunishawi Dodoma ni
1. Best western Dodoma city hotel
2. Nashera hotel
3. Eastern city hotel
3.rafiki Dodoma hotel
4. Hotel esperanza
5. Adden hotel
6. Kwa mbaali morena hotel

Hawa akina
1. Lastanar hotel
2. Dodoma hotel
3. Verde view hotel
4. Mlimwa
Wa kawaida sana
 
Hotel unazowez kunishawi Dodoma ni
1. Best western Dodoma city hotel
2. Nashera hotel
3. Eastern city hotel
3.rafiki Dodoma hotel
4. Hotel esperanza
5. Adden hotel
6. Kwa mbaali morena hotel

Hawa akina
1. Lastanar hotel
2. Dodoma hotel
3. Verde view hotel
4. Mlimwa
Wa kawaida sana
Shida hujawahi kufika Dom unaishia kugoogle..ungekua umewahi kukanyaga kwenye hoteli mojawapo mfano wa hizi ndio ungesema 👇👇
-The Residence
-African Dreams
-Royal Village
-Domiya Estate
-Vizzano
-St Gaspar
-Dear Mama
-Golden Crown
-Mesuma
-Four Points
-Ambassadors
-Inoga
-Dodoma Grand
-Zabibu
-DM
-Midlands
-Spring Hills
-Kilimani Landmark
-City Boys
-Saanan
N.K

NARUDIA TENA KITU PEKEE MWANZA MNACHOWAZIDI DOM NI UWINGI WA WATU NA SAMAKI BASI😅😅...VIGEZO VINGINE VYOTE KWA SASA MKIJILINGANISHA HAMUWAFIKII HATA ROBO HUO NDIO UKWELI MCHUNGU
 
Wewe acha kuifanya Dodoma kama sehemu ya kipekee sana kwamba unaifahamu peke yako. Usichokijua ni kuwa Kuna hotel na lodge. Nmekupa kazi ya leta hotel Moja Moja tujibizane usiwe na maneno mengi mdomoni. Dodoma si ya kwako peke yako bro. Hapa tunafurahishana lakini twende na uhalisia.
 
Umewahi kufika Dom au unapasikia tu..hizo nilizokutajia ni kweli au ni uwongo😅😅. Nenda kwenye thread yenu mliyojianzishia ya mwanza gallery ukabishane picha kwa picha kama kawaidayako.
Humu ni facts tupu👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DIXL3U6s3TT/?igsh=NDE2N2xtdDUzMnc=

Unataka kubishana kwa maneno maneno ndo Nini sasa. Jinsia Pekee inayofaa kubishana kwa maneno matupu ni ya kike. Mwanaume lazima uonyeshe uhalisia wa msimamo wako. Perepeche nyingi halafu kwa ground hatuoni kitu. Sasa tuko kwenye thread mlioanzosha wenyewe tunataka m-prove ulichokidai hapa. Ukiwa unasoma komenti zangu tuliza akili ili uwe unaelewa. Maana ni wewe huyu huyu uliboronga suala la viwanda nikakuwepa kapuni.
 
Back
Top Bottom