Unachekesha sana aiseee.....hivi maghorofa yote yaliyopo Dom kwamfano mtaa wa biashara wa One-way,barabara ya 6-10,Uhindini-Chef Asili,MjiMpya, Ilazo, Kisasa,Medeli,Area A n.k yamejengwa na serikali au raia😂😂View attachment 3295100sisi tunaleta vitu ambavyo raia wanafanya. Hatutambi na miradi ya serikali muwe mnaelewa. Uchumi hupimwa na uwezo wako wewe siyo serikali.
View: https://www.instagram.com/p/DIG4Gt9NPZ6/?img_index=1&igsh=MWx0d2wzOGwzYXl3cQ==