Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

IMG-20250412-WA0007.jpg
IMG-20250412-WA0008.jpg
 
Dom ni level nyingine kabisa aisee...hii inamaanisha kutakua na zaidi ya viwanja vinne💥💥
-Jamhuri Stadium
-viwanja changamani/nzuguni complex
-new dodoma stadium
-dodoma jiji stadium

Mwanza wakajilinganishe na Morogoro labda😅😅
.Ccm kirumba
. Nyamagana stadium
. Ngwambina stadium
. Nyakabungo sports complex
. Mabatini sports complex
.na sasa kwenye chuo Cha michezo

Unaoongea vitu huvijui mdogo wangu.
 
Wewe MEMKWA rudi shule kwanza ...Gwambina stadium ipo Mwanza!!? 😅😅Chuo cha Michezo Mallya kipo Mwanza !!?

Thread inahusu Dom CC vs Mwanza CC ...niliwahi kukwambia uwezo wako wa kujibu hoja na facts ni mdogo sana nenda kabishane facebook na vilaza wenzako wenye ushabiki maandazi🤣🤣🤣🤣
Nikikupiga kamba wewe Huwa naelewa uwezo wako wa kufikiria ni kama nabishana na kuku.
 
Matusi ni dalili dhahiri ya kushindwa hoja...😅😅.Ukishindwa hoja kubali matokeo sio kukimbilia matusi .Ndiomana huwa tunakushauri nenda facebook kabishane na MEMKWA wenzako 👇👇
-Viwanja vyote nilivyokutajia vipo Dom CBD sijataja kiwanja chochote kilichopo Mpwapwa au Kondoa
-Gwambina Stadium ipo Misungwi, Malya ipo Kwimba

😅😅kawadanganye WASHAMBA wenzako labda ila sio mtaalamu kama mimi
Uniite memkwa nikuchekee huo ufala sinaga. Na ukiendelea nitakutukana Tena.
 
Uniite memkwa nikuchekee huo ufala sinaga. Na ukiendelea nitakutukana Tena.
Ni kawaida kwa MEMKWA kama wewe kukimbilia matusi,michambo,mipasho na porojo wakishashindwa HOJA.
Grow up aisee....jifunze kwa mtaalamu kama mimi ninayetoa points+facts very coherently,thoughtfully and logically
 
View attachment 3302726hali ya hewa murua kabisa
Yaani tuache kujadili👇👇
-city master plan
-ubora wa mipango miji
-mtandao mpana wa barabara za lami
-ubora wa miundombinu
-ongoing and future projects
-huduma za kijamii
-uwepo wa mashirika ya kimataifa
-uwepo wa taasisi nyingi za serikali
-Mapato ya halmashauri
-mapato ya TRA
-Vyuo Vikuu nk

😅😅eti tujadili hali ya hewa .....duuh pathetic
 
Ni kawaida kwa MEMKWA kama wewe kukimbilia matusi,michambo,mipasho na porojo wakishashindwa HOJA.
Grow up aisee....jifunze kwa mtaalamu kama mimi ninayetoa points+facts very coherently,thoughtfully and logically
Logic zipi?
 
Yaani tuache kujadili👇👇
-city master plan
-ubora wa mipango miji
-mtandao mpana wa barabara za lami
-ubora wa miundombinu
-ongoing and future projects
-huduma za kijamii
-uwepo wa mashirika ya kimataifa
-uwepo wa taasisi nyingi za serikali
-Mapato ya halmashauri
-mapato ya TRA
-Vyuo Vikuu nk

😅😅eti tujadili hali ya hewa .....duuh pathetic
Sasa kama unakuja na maneno maneno tu bila ushahidi mpaka watu tunadoubt jinsia yako tufanyaje. Unakomaa Dodoma level nyingine ukiombwa ushahidi unaleta maneno na ngonjera nyingi ni kwamba hizo unazotuletea ndo facts asiyeijua Dodoma au mwanza anaweza kujifunza kitu?. Usomi haupo hivyo. Ukiacha grandiose unaweza kuwa kijana mzuri.
 
Kila unachokitaja kina justification kwa faida ya wadau wa hapa hatupo kushindanisha maneno humu
 
Kila unachokitaja kina justification kwa faida ya wadau wa hapa hatupo kushindanisha maneno humu
Malumbano ya HOJA huwa tunashindanisha ubora wa points,facts ...kwenye midahalo huwa hatushindanishi picha.Wewe na wenzako MEMKWA ndio huwa mnashindana hoja kwa kutumia picha kwa picha😂😂.
Nina followers wengi humu wanaopata madini+maarifa ninayopresent humu.
Sifa yangu kubwa ni hoja+facts zilizoenda shule sio picha au video....hatukatai picha hata mimi huwa napost inapobidi ila sio kubishana eti kwa uwingi wa picha kwa picha😂😂😂
 
Followers???????????. Nitaacha kuwa nakuquote naona ulivyo na kichwa empty
 
Endelea na porojo zako hata tafiti haiendi kwa kutaja taja vitu na kiviacha hewani. Tafiti ya ukosefu wa miundo mbinu ya Barabara Eneo x haitakuwa imekamilika bila kuja na picha za makongoro kuonyesha adha watu wanayoipata. Facts zako wewe ni kutaja taja tu majina ya vitu. E.g tumezungumzia hotel unaleta majina ya mkeka wa hotel. Basi umeshindwa picha leta daraja la nyota la hotel hizo ikiwemo comments za wageni wanaofikia hapo. Chukua details hata kwenye tripadvisor. Jamaa huwezi kuwa mtu wa fact kama akili yako imeshia kutaja taja vitu.
 
Tukiamua kwenda hivyo mbona mambo yangekuwa mepesi sana na kila mkoa usingeonekana kuwa na eneo unauzidi mkoa mwingine
 
Followers???????????. Nitaacha kuwa nakuquote naona ulivyo na kichwa empty
Tena ushukuru nakupatia maarifa ya buree ...profesa kubishana na MEMKWA ni matumizi mabaya ya akili. Uwezo wako nenda kabishane Facebook ndio kumejaa ushabiki maandazi+ mihemuko....humu kama huna hoja+ facts nitakuaibisha tu kama ninavyowaaibisha vilaza wenzako
 
We lofa tu huna Cha maana . Nonsense!!?
 
Back
Top Bottom