Mbona mnatamba shule ya mfano wakati Kuna shule Kali tu zinaidi hiyo kwenye kila kituIko wapi?
Unaposema shule ya mfano Tanzania, mikoa mingine unaipeleka Uganda?Ihungo Iko Mwanza?
Hakuna watu?Unaposema shule ya mfano Tanzania, mikoa mingine unaipeleka Uganda?
Hiko MwanzaIko wapi?
Zilijengwa shule mbili tu Tanzania zinazofanana kila kitu .Sengerema na Mwenge Secondary na sikutegemea kama kuna shule kama ile Mwanza mpaka nilipochaguliwa kujiunga kidato cha tano kipindi hicho ilikuwa na michupuo ya ngumu kumeza tu(sayansi tu)Iko wapi?
Naijua vizuri sana, wahuni wanajengea vijengo vya ghorofa Moja na maneno kibao ya kusindikiza ili kuchota akili zao na wanakubali kuchotwa kiboya eti shule ya mfano Tanzania????. Kwenye eneo lipi kwanza???Zilijengwa shule mbili tu Tanzania zinazofanana kila kitu .Sengerema na Mwenge Secondary na sikutegemea kama kuna shule kama ile Mwanza mpaka nilipochaguliwa kujiunga kidato cha tano kipindi hicho ilikuwa na michupuo ya ngumu kumeza tu(sayansi tu)
Naijua vizuri sana, wahuni wanajengea vijengo vya ghorofa Moja na maneno kibao ya kusindikiza ili kuchota akili zao na wanakubali kuchotwa kiboya eti shule ya mfano Tanzania????. Kwenye eneo lipi kwanza???
Mna akili za kijingaZilijengwa shule mbili tu Tanzania zinazofanana kila kitu .Sengerema na Mwenge Secondary na sikutegemea kama kuna shule kama ile Mwanza mpaka nilipochaguliwa kujiunga kidato cha tano kipindi hicho ilikuwa na michupuo ya ngumu kumeza tu(sayansi tu)
Shida ya wanasiasa wa siku hizi wanapenda kusifiwa utadhani wanatoa hisani na sio wajibu wao. Dodoma na Dar ndo wamechagua kichaka cha kujifichia.Kama Nyerere anataka sifa basi asifiwe milele.Yaani fikiria alijenga shule za maana bila kujali anajenga wapi,alijenga vyuo wala sio kimoja bila kujali anajenga wapi,alijenga Veta nchi nzima,alijenga viwanja vya mpira nchi nzima saizi tunasema vya ccm,alijenga viwanda nchi nzima,alijenga reli,alisomesha watoto bure kuanzia chini mpaka juu bila kelele kwa hivyo vichache niambie angekuwa kama marais wasasa si tungemuabudu kama Mungu.Serikali ya saizi kilele kila siku Dodoma...Dodomaaa.....Dar.....Dar... utadhani watoto wandagu kwenye familia.🤣🤣🤣🤣🤣 tunakoenda sasa tutawakatia kanchi kao na serikali yake.Naijua vizuri sana, wahuni wanajengea vijengo vya ghorofa Moja na maneno kibao ya kusindikiza ili kuchota akili zao na wanakubali kuchotwa kiboya eti shule ya mfano Tanzania????. Kwenye eneo lipi kwanza???
Wewe akili zako ziko kwenye buttocks.Mna akili za kijinga
Nyerere huyohuyo ndiye alihamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar kwenda Dom licha ya upinzani mkali.Wakati makao makuu yanahamishwa kwenda Dom...Dom ilikua ni kamji kadogo tu hakana hata hadhi ya Manispaa.Shida ya wanasiasa wa siku hizi wanapenda kusifiwa utadhani wanatoa hisani na sio wajibu wao. Dodoma na Dar ndo wamechagua kichaka cha kujifichia.Kama Nyerere anataka sifa basi asifiwe milele.Yaani fikiria alijenga shule za maana bila kujali anajenga wapi,alijenga vyuo wala sio kimoja bila kujali anajenga wapi,alijenga Veta nchi nzima,alijenga viwanja vya mpira nchi nzima saizi tunasema vya ccm,alijenga viwanda nchi nzima,alijenga reli,alisomesha watoto bure kuanzia chini mpaka juu bila kelele kwa hivyo vichache niambie angekuwa kama marais wasasa si tungemuabudu kama Mungu.Serikali ya saizi kilele kila siku Dodoma...Dodomaaa.....Dar.....Dar... utadhani watoto wandagu kwenye familia.🤣🤣🤣🤣🤣 tunakoenda sasa tutawakatia kanchi kao na serikali yake.
Huyu naye anabisha ilimradi aonekane anabisha😀😀 ...unaelewa maana ya "shule ya mfano"Naijua vizuri sana, wahuni wanajengea vijengo vya ghorofa Moja na maneno kibao ya kusindikiza ili kuchota akili zao na wanakubali kuchotwa kiboya eti shule ya mfano Tanzania????. Kwenye eneo lipi kwanza???
Ubora unapimwa kwa wingi wa majengo? . Toa wenge lako hapa si Udom kingekuwa chuo Bora Africa.Huyu naye anabisha ilimradi aonekane anabisha😀😀 ...unaelewa maana ya "shule ya mfano"
-hakuna shule yoyote Tanzania iwe ya serikali au binafsi yenye idadi ya majengo ya maghorofa mengi kuliko hii
-hakuna shule yoyote Tanzania iwe serikali au binafsi yenye uwezo wa kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi zaidi ya hii
-Hakuna shule yoyote Tanzania iwe ya serikali au private ambayo ujenzi wake umesimamiwa na Jeshi kwa asilimia 100 kutoka mwanzo hadi mwisho wa ujenzi zaidi ya shule ya mfano
-Hakuna shule yoyote Tanzania yenye mifumo ya kisasa ya ulinzi na usalama zaidi ya shule ya mfano
-Hakuna shule yoyote Tanzania hii yenye idadi kubwa ya nyumba za watumishi(ndani ya eneo la shule) kama shule ya mfanoView attachment 3305134
Hujui jeshi ni mhimili ya serikali quotation yake ni ndogo kulinganisha na private contractors. Hivi wewe una akili kweli nguo ile Ile inauzwa na jeshi bei 200 lakini kwa majenje inauzwa 1000/= utachagua ukanunue kwa nani?. Mabweni ya usdm kujengwa na jeshi haimaanishi Kuna kitu extra sana zaidi ya vyombo vya serikali kuleta wepesi kwenye miradi ya serikali yake. Usibishane tu ili mradi uonekane dogo.Huyu naye anabisha ilimradi aonekane anabisha😀😀 ...unaelewa maana ya "shule ya mfano"
-hakuna shule yoyote Tanzania iwe ya serikali au binafsi yenye idadi ya majengo ya maghorofa mengi kuliko hii
-hakuna shule yoyote Tanzania iwe serikali au binafsi yenye uwezo wa kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi zaidi ya hii
-Hakuna shule yoyote Tanzania iwe ya serikali au private ambayo ujenzi wake umesimamiwa na Jeshi kwa asilimia 100 kutoka mwanzo hadi mwisho wa ujenzi zaidi ya shule ya mfano
-Hakuna shule yoyote Tanzania yenye mifumo ya kisasa ya ulinzi na usalama zaidi ya shule ya mfano
-Hakuna shule yoyote Tanzania hii yenye idadi kubwa ya nyumba za watumishi(ndani ya eneo la shule) kama shule ya mfanoView attachment 3305134
Shule imeanza rasmi mwakajana unataka upime ubora kwa mitihani ipi😂😂Ubora unapimwa na wingi wa majengo? . Toa wenge lako hapa si Udom kingekuwa chuo Bora Africa.
Si upumbavu wako unakufanya usielewe vitu. Kwanza usinisumbue kwa ujinga wako hata nikikesha nakuelewesha huwezi elewa kwasababu umebeba kopo kwa jina la kichwa. Hata magereza wanajenga, TBA, NHC, n.k serikali yako ulikimbia gharama kutumia contractors wengine nje ya mihimili hiyo. Usiwe mwehu na limbukeniUwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana ....unazunguka zunguka tu hueleweki.
Nitajie shule yoyote tanzania iliyowahi kujengwa na Jeshi (ukitoa zile ambazo zipo ndani ya kambi mfano Makongo,Jitegemee) zaidi ya shule ya mfano Iyumbu Dodoma. That is something special...usifananishe na Mwanza kwenye makazi ya ovyoovyo😀😀
Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana ....unazunguka zunguka tu hueleweki.
Nitajie shule yoyote tanzania iliyowahi kujengwa na Jeshi (ukitoa zile ambazo zipo ndani ya kambi mfano Makongo,Jitegemee) zaidi ya shule ya mfano Iyumbu Dodoma. That is something special...usifananishe na Mwanza kwenye makazi ya ovyoovyo😀😀
Tupe mfano wa shule yoyote Mwanza iliyojengwa na Jeshi ....tumalize ubishi🤣🤣🤣Kujengwa na jeshi ndo sifa inayoifanya kuwa shule ya mfano. Nenda kaazime akili kwa majirani zako.