Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

hujajibu swali kwanini serikali ilihamisha makao makuu kutoka Dar kwenda dodoma inaonekana hujui sababu......ukiwa MJINGA ni vizuri kuuliza kwa wataalamu kama sisi tukusaidie kupata maarifa sio kuleta porojo+ushabiki maandazi
We mburula jaribu kuficha ujinga wako hebu lete hizo sababu zako we ng'ombe hili jamaa jinga sana wanangu wa mwanza mlipotezee
 
Ukiamka utajuwa.
 
Halafu we jinga kweli umesema shule ya mfano kana kwamba hakuna shule kama iyo tz nzima pumbavu kweli🀣🀣🀣
Ila kusema ukweli Mwanza mnatia huruma sana yaani inaonekana Mikoa ya jirani imekua kiuchumi na imeacha kutegemea Mwanza.

Mfano mlikuwa estimated kukusanya Bil.31,mwaka wa 2024/25 Hadi Sasa hivi mumekusanya bil.17 tuu.

Yaani Mbeya imewazisi Ina bil.19 ,ndio kusema next year mtakojolewa na Mbeya pia yaani achilia mbali Dom ambayo sio level yenu tena.

Mwanza kwishney πŸ˜†πŸ˜†
 
Mapato ya halmashauri nakumbuka kipindi cha Mzee Magufuri Dodoma iliwahi kuongoza kitaifa alafu takwimu za hali ya umasikini Dodoma ikiwa ya pili kutoka Mwisho.Tunaomba ukumbuke tuwekea kipato halisi cha Dodoma(income) sio ushuru wa halmashauri🀣🀣🀣🀣 pia na kiwango cha umasikini Dodoma🀣🀣🀣🀣
Kama kienglish kinakusumbua sema.Kitu kingine maswala ya uchumi ni professional za watu sio zakujadiliwa na mtu kilaza kama wewe mwenye utapia mulo kichwani.Na ukiendelea kujadili professionals za watu itabidi tukubatize jina la saizi yako ili uvaetaji la ujua.
 

Attachments

  • Screenshot_20250417_122626_Google.jpg
    370.5 KB · Views: 26
  • Screenshot_20250417_122612_Google.jpg
    372.8 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250417_122403_Google.jpg
    344.4 KB · Views: 30
Ficha ujinga wako ....naona hujui tofauti ya halmashauri ya Jiji (CC) na mkoa (RC)🀣🀣.Hii thread inahusu Dom CC vs Mwanza CC sio Dom RC vs Mwanza RC.
Kizuri umekiri mwenyewe kwamba Dom CC wanawazidi Mwanza CC kwenye mapato yote both TRA na mapato ya halmashauri.
Kitu pekee Mwanza wanachozidi Dom ni population basi...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni mbulula hakuna unachojua .

Awamu ya Magu Dom CC iliongoza Kwa asilimia na sio Kwa actual revenues,lakini ndio mwaka huo walipata pesa nyingi sana baada ya kuuza viwanja vingi Kwa pamoja around 70bln.

Baada ya hapo wamekuwa wanapata Mapato ambayo ndio halisia kutoka vyanzo Endelevu na mara zote Iko Juu ya Mwanza CC plus Ilemela na Arusha CC.

Mwisho umeweka takwimu zimazozungumzia Mkoa badala ya Jiji la Dom kama mada inavyota.

Ukweli mchungu ni kwamba Dom HQ Kuna hela kuliko Mwanza,endeleeni kujitutumua huku mnaumia.

Level za Mwanza Kwa Sasa ni Mbeya
 
Shida mwanza unaisikia tu.Naomba nikusaidie ni kwamba ukisikia Mwanza cc maana yake ni unasema wilaya ya Nyamagana,wilaya hii eneo kubwa ni maji nchi kavu ni ndogo sana ndo maana watu wanatawakinyika kwenda ilemela,magu,Misungwi na Sengerema na ndivyo shughuli nyingi za kiuchumi zimetawanyika kiivyo.Kama siku ukija Mwanza hutaweza kutofautisha kirahisi hizi wilaya na jiji mpaka huwe mwenyeji vyakutosha.Mpaka hapo Nyamagana wanajitahidi sana.Ambao wanatakiwa kuwajibishwa ni ilemela na Sengerema wana kila kitu alafu wanakuwa nyuma kivipi??
 
Kwa umasikini ni Sawa level ya Mwanza ni Mbeya ila kwa utajiri Dodoma level yake ni Simuyu na Singida πŸ˜… πŸ˜‘ πŸ˜‚
 
Hizo shughuli nyingi za kiuchumi ziko wapi ? Mbona haziko reflected kwenye Mapato? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo shughuli nyingi za kiuchumi ziko wapi ? Mbona haziko reflected kwenye Mapato? πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe kilaza kweli, ebu nioneshe wilaya nyingine zaidi ya Dodoma mjini yenye above 10bil kwenye hiyo orodha.Hiyo 51bil ni service levy ya vikampuni vinavyojenga ofisi za mtumba na vikampuni vinavyo sambaza materials kwenye huo ujenzi tofauti na hapo ni zero hakuna shughuli kubwa au ndogondogo za kibishara ndo maana watu na Dodoma na mkoa ni watatu kwa maskini Tanzania.Anayebisha aje nimpe darasa bure ila hasiwe kichwa maji kama Choice.Au Dodoma ombeni mpewe halmashauri ya manispaa nyingine kama shinyanga na kahama huo ubavu mnao??.Mikoa yenye huo ubavu ni Dar,Mwanza na Shinyanga tu.
 
Kaanzishe thread yako nyingine ya kulinganisha Dodoma(mkoa wenye halmashauri 8) na mkoa wa Mwanza(halmashauri zake) tutakuja kuchangia ,hii thread inahusu Dom Jiji vs Mwanza Jiji.....usitafute kichaka cha kujifichiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘‰πŸ‘‰Wakali wa hizi kazi,wataalamu wa majengo ya ghorofa "group six international" wanashusha vitu amazing ndani ya njedengwa investment area, DomπŸ‘‡πŸ‘‡
Hii njedengwa investment area baada ya miaka mitano mbele itakua Dubai ndogo kwa wingi wa maghorofa.Mwanza wakashindane na Morogoro labda πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Maskini ya Mungu Kwa hiyo service levy ndio inakuza mapato ya Jiji la Dom HQ Kila mwaka?

Mwisho Mwanza is dead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…