mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Wamba naona ni jinsi gani mnavyojitahidi kubishana na huyu mwendawazimu,kiufupi tu hana exposure ndio maana hana aibu kushindanisha Kijiji cha dom ambacho angalau kimepewa favour na serikali ili kio enekane kimekaa ki ustandady wakati ni trashy tupuDom CC vs Mwanza CC plus Ilemela,wapi Kuna Maskini?