Nitajie miradi mitano mikubwa inayojengwa na private sector Mwanza ambayo haina mkono wa serikali kama nilivyoitaja ya kwangu....tumalize ubishiNimekujibu au unataka nikujibu kwa listing
Nitajie miradi mitano mikubwa inayojengwa na private sector Mwanza ambayo haina mkono wa serikali kama nilivyoitaja ya kwangu....tumalize ubishiNimekujibu au unataka nikujibu kwa listing
Ngoja nikutajie ili ufurahieNitajie miradi mitano mikubwa inayojengwa na private sector Mwanza ambayo haina mkono wa serikali kama nilivyoitaja ya kwangu....tumalize ubishi
Hiki ni kichekeshoNgoja nikutajie ili ufurahie
1.Mwanza university private
2.City health and alliance collage private
3.Kamanga hospital private
4.Aghakan hospital private
5.Prince medical iindustry private
Haya pambana nimekutajia kwa angle moja ya afya ni miradi ya kawaida sana
Shida yako unakurupuka na unaongea kufurahisha mdomo na kijiwe cha jf Mwanza university kiko operation tangu Mwaka 2023 sasa sijui wewe unasema Mwanza university hipi.City collage sijui unalinganisha na collage gani ya kata hapo Dodoma.Acha unafiki kama kitu hukijui uliza usahidiwe.🤣🤣Hiki ni kichekesho
-ujenzi wa mwanza university stori ni zilezile tangu enzi za Magufuli,hakuna mradi apo kukamilika
-city college of health and allied sciences hiki ni sawa na chuo cha Kata...hata Dom wapo pia
-Dom wenzenu wana kiwanda kikubwa cha madawa 👇👇
hipi😂😂,usahidiwe😂😂 sijui ni kiswahili au kisukuma.Kama kiswahili tu kinakushinda English ndio utaweza wapi.Shida yako unakurupuka na unaongea kufurahisha mdomo na kijiwe cha jf Mwanza university kiko operation tangu Mwaka 2023 sasa sijui wewe unasema Mwanza university hipi.City collage sijui unalinganisha na collage gani ya kata hapo Dodoma.Acha unafiki kama kitu hukijui uliza usahidiwe.🤣🤣
www.google.com
Ukweli mchungu kwake huyu kilaza🤣🤣🤣Ukiwa serious sana jf utakufa kwa presha bado kijana,mengine Acha yapite na kila kitu kina wakati wake.Kweli wakati wa Mwanza utaisha lakini sio kirahisi unavyodhani.Kuna sababu zinaifanya Mwanza kuwa kama ilivyo usitegemee kujengwa Dodoma, Mwanza itakufa kirahisi na ukumbuke hata Arusha huwa wanasema hivyo ivyo miaka yote lakini Mwanza hipo tu na inandelea kupasua anga🤣🤣🤣🤣Mwanza ni habari nyingine hayo mengine ni hadithi tu.
Msamehe kaka unatumia silaha Kali mno kupigana na huyo kilaza wa Kijiji cha Dodoma mashambani😂😂😂Umetaka wembe ngoja tukupe ili upunguze kiherehere👊👊View attachment 3313547View attachment 3313548View attachment 3313549View attachment 3313550View attachment 3313551View attachment 3313552
Bado hamjasema Hadi useme 👇 👇Msamehe kaka unatumia silaha Kali mno kupigana na huyo kilaza wa Kijiji cha Dodoma mashambani😂😂😂
Bado hamjasema Hadi useme 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DI3vd5xqTdb/?igsh=MWN5NHd0azdzcmMyNw==
Hebu nipe update ya mambo haya:Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.
Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.
CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo, Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.
MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"
II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.
III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.
IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)
V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.
But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.
TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.