Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hebu nipe update ya mambo haya:
1.Barabara mzunguko zimefikia asilimia ngapi?
2.eapoti ya msalato nayo ipo ktk hatua gani
👉Barabara ya mzunguko lot 1 ishakamilika bado lot 2
👉Msalato Airport eneo la kurukia ndege almost lishakamilika lote kilichobakia ni kumalizia jengo la abiria tu
20250426_162636.jpg
 
ok pia kuna hotel nasikia shabiby kajenga dodoma,na vipi kuna pubs za kisasa,kumbi za mikutano,maduka makubwa ya vifaa mbalimbali,maduka ya simu na kompyuta?
 
ok pia kuna hotel nasikia shabiby kajenga dodoma,na vipi kuna pubs za kisasa,kumbi za mikutano,maduka makubwa ya vifaa mbalimbali,maduka ya simu na kompyuta?
Dom hakuna kitu ambacho hakipatikani ...kilakitu kinapatikana kama Dar.
Huyo Shabiby pekeyake pamoja na wadogo zake wanamiliki hoteli hizi kubwa👇
👉Morena 1
👉Morena 2
👉Royal Village
👉The Residence
👉Sanaan
👉Hotel Esperanza

N.k
 
Back
Top Bottom