Feke b kidume
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 183
- 100
Ushamba tu ndio unaokusumbua pia una uhaba wa exposure hiyo view ina nini cha maajabu.
Aiseee unachekesha mwanza huijui kaa kimya Arusha ina nini cha kuizidi mwanza duuuh jiografia ya mwanza ni milima nyumba nyingi hazionekani vizuri kwa sababu ya milima lakini mwanza ni nzuri mara mia ya Arusha ukiitembelea maeneo yote ndo utajua ukweli ulivyoJibu swali Kuna Mwanza ya kufikia Arusha ukweli?
Wanasemaga hiyo list ya magorofa ni arusha waliongeza 😄Ukitumia moyo utaona haiizidi ila ukitumia akili Arusha Iko mbele sana Kwa Mwanza.
Hivi ukiona hii video unaamini hapa ni Arusha au Ulaya? Kuna Mwanza ya hivi? 👇👇
View attachment 3414118
GDP sio pesaGdp inaongea na kama utaendelea kuamini zile takwimu za maghorofa utakuwa ni hamnazo, Mwanza haina mpinzani wa kila kitu nje ya Dar labda sekta ya utalii tu,ukiona takwimu sijui Mwanza ni ya tano sijui ya tatu hizo takwimu si za kuamini.
Nimekwambia Arusha inazidi Mwanza Kila kitu kuanzia mzunguko wa pesa,magorofa mengi,Mapato ya Jiji,mahoteli na Kila kitu.Aiseee unachekesha mwanza huijui kaa kimya Arusha ina nini cha kuizidi mwanza duuuh jiografia ya mwanza ni milima nyumba nyingi hazionekani vizuri kwa sababu ya milima lakini mwanza ni nzuri mara mia ya Arusha ukiitembelea maeneo yote ndo utajua ukweli ulivyo
Post picha vizuri unatuumiza macho.Wanasemaga hiyo list ya magorofa ni arusha waliongeza 😄
Hapa ni sehemu ndogo tu ngarenaro kule dogo janja anapochkua fomu na sio mjini lakini kuna idadi ya majengo kuliko miji mingi
Wewe unachekesha sana.Baada ya Dar next ni Arusha Kwa magorofa mengi na marefu pia.Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Mwanza ni kubwa jinga yaani Ina watu wengi lakini maskini ndio maana tunaita Mwanza is big Slum.Twende mbele turudi nyuma, mwanza ni mji mkubwa sana kuliko Arusha. Hilo kunari ukatae lakini ukweli ndio huo. Arusha inaizid mwanza kwa kua na maghorofa marefu zaidi, lakini ukiwa katikati ya mji wa mwanza unafeel upo mjini kweli. Tofauti na Arusha ambapo barabara zimejengwa lakini watembea kwa miguu wamesahaulika.
Pia usafi, mji wa Mwanza umesima vizuri. Arusha kuna jengo la mambo ya utamaduni pale limejengwa kama ngoma, pembeni kuna kamto...
Unajifariji.Nyie kina Mwanza na Arusha Kaeni mbali na Dom sio size yenu Kwa Sasa.Hakuna kitu kati ya hivyo ulivyotaja dodoma ikaizidi Mwanza labda majengo ya wizara na taasisi tu kingine ni umaskini uliotukuka na ongezeko la matonya.
Ndio kichaka Chao 😁😁vp unataka tujadili hali ya hewa😂😂😂 tuache mipangomiji,maghorofa,miundombinu,huduma za kijamii,mapato(tra+halmashauri),miradi inayojengwa+ inayotarajiwa kujengwa,uwekezaji wa serikali+binafsi n.k 😂😂.Kama ndio hivyo basi Dubai haifiki hata robo ya Lushoto,Njombe,Makete,Mafinga 🤣🤣
Mbeya Kwa Sasa ndio mshindani halali wa Mwanza maana wengine wote wameshakupita.Acha kutumia nguvu kulipaisha ilo shamba la mpunga kuja kushindana na Mwanza.
🤣🤣🤣 Vijana wa Dodoma na Arusha kelele nyingi kama debe tupu!🤣🤣wanapenda kijikomba komba kwa Mwanza ili waonekane wapo.Sasa kuliko kuendelea kilialia nendeni NBS wabadilishe nyaraka ili Dodoma liwe la pili na Arusha liwe jiji la tatu na wafoji gdp Dodoma iwe na trilioni 10 kwa mwaka na arusha tril 9,mwanza hatuna shida kwani tunafadika nini kwa kuwa jiji la pili Tanzania??🤣🤣Ndio kichaka Chao 😁😁
Utasikia Dom hakuna Ziwa sijui Miti Sasa hayo sielewi yaasaidiaje mtu kupata pesa na ustawi wa Jiji.
Nimekuwepo Dom siku za karibuni aisee Jiji limekuwa kubwa balaa,Kila pembe ni Ujenzi kuanzia City centre Hadi Mitaani kote kote.
Maraya mwisho ilikuwa ukifika pale 8/8 unakuta ni hakuna majengo lakini saizi kuanzia town Hadi Nyumba kote kumeota majengo.
Sema nini Bado malori yanapita Katikati ya Mji na kuleta foleni wakati njia ya mzunguko Iko tayari?
Jiji ni zaidi ya population size.🤣🤣🤣 Vijana wa Dodoma na Arusha kelele nyingi kama debe tupu!🤣🤣wanapenda kijikomba komba kwa Mwanza ili waonekane wapo.Sasa kuliko kuendelea kilialia nendeni NBS wabadilishe nyaraka ili Dodoma liwe la pili na Arusha liwe jiji la tatu na wafoji gdp Dodoma iwe na trilioni 10 kwa mwaka na arusha tril 9,mwanza hatuna shida kwani tunafadika nini kwa kuwa jiji la pili Tanzania??🤣🤣
Hakuna anayepinga kwamba Mwanza ni Jiji la pili by population size+population density...ila ukija kwenye vigezo vingine kwamfano ubora wa mipangomiji,mtandao mpana wa barabara za lami,ubora wa huduma za kijamii,miundombinu,maghorofa,miradi mikubwa ya ujenzi,uwekezaji wa serikali,uwepo wa taasisi na mashirika mengi ya kitaifa+kimataifa,mapato ya Jiji(usichanganye na mapato ya mkoa wote wenye halmashauri 8 😂😂)n.k Mwanza level zake ni Mbeya na Morogoro labda🤣🤣🤣 Vijana wa Dodoma na Arusha kelele nyingi kama debe tupu!🤣🤣wanapenda kijikomba komba kwa Mwanza ili waonekane wapo.Sasa kuliko kuendelea kilialia nendeni NBS wabadilishe nyaraka ili Dodoma liwe la pili na Arusha liwe jiji la tatu na wafoji gdp Dodoma iwe na trilioni 10 kwa mwaka na arusha tril 9,mwanza hatuna shida kwani tunafadika nini kwa kuwa jiji la pili Tanzania??🤣🤣
Hayo ni maneno ya mkosaji🤣🤣🤣.Ndio maana hata ufahamu maana ya theory ya demand and supply.Population na density aiwezi kuwa sehemu ambayo kuna umasikini wa kutupwa kama sehemu nono zipo.Kama ni hivyo kwanini population isiende Arusha na Dodoma na Mwanza ikabaki na shida zake??🤣🤣🤣Ukweli ni kwamba fanyeni kazi muache kelele za mara miradi ya serikali,mkoendelea kuwa wavivu mtaendelea kuangaika na Mwanza na kuendelea kupost vinyumba vya mashirika ya serikali vinvyofanana kama kambi ya magereza,police au Jeshi.Natunapoelekea kila mkoa utakula ilichovuna ndo mtajua maharange sio mboga.Hakuna anayepinga kwamba Mwanza ni Jiji la pili by population size+population density...ila ukija kwenye vigezo vingine kwamfano ubora wa mipangomiji,mtandao mpana wa barabara za lami,ubora wa huduma za kijamii,miundombinu,maghorofa,miradi mikubwa ya ujenzi,uwekezaji wa serikali,uwepo wa taasisi na mashirika mengi ya kitaifa+kimataifa,mapato ya Jiji(usichanganye na mapato ya mkoa wote wenye halmashauri 8 😂😂)n.k Mwanza level zake ni Mbeya na Morogoro labda
Vitu kama hivi 👇👇huwezi kuta vinafanyika Mwanza...only in Dom
View: https://www.instagram.com/reel/DMfUNOtyz6M/?igsh=cWYxNDg1aGtvMWN1
Ukiambiwa leta data unaanza kuvuja 😁😁Hayo ni maneno ya mkosaji🤣🤣🤣.Ndio maana hata ufahamu maana ya theory ya demand and supply.Population na density aiwezi kuwa sehemu ambayo kuna umasikini wa kutupwa kama sehemu nono zipo.Kama ni hivyo kwanini population isiende Arusha na Dodoma na Mwanza ikabaki na shida zake??🤣🤣🤣Ukweli ni kwamba fanyeni kazi muache kelele za mara miradi ya serikali,mkoendelea kuwa wavivu mtaendelea kuangaika na Mwanza na kuendelea kupost vinyumba vya mashirika ya serikali vinvyofanana kama kambi ya magereza,police au Jeshi.Natunapoelekea kila mkoa utakula ilichovuna ndo mtajua maharange sio mboga.
Data hazitumiki kufanya itimisho .Data ni number tu ila calculated information ndo utumika kufanya itimisho.Calculation information ni kama GDP,per capita income na individual life standard.Sasa wewe na Dodoma yako jipime huko eneo gani hapo.Ukiambiwa leta data unaanza kuvuja 😁😁
Fake as usual .. dodoma mkoa masikini kuliko mikoa yote yenye hadhi ya jiji ...Dodoma hii yenye vumbi na uhaba wa recreation unaiwekaje ligi moja na Mwanza...Hakuna anayepinga kwamba Mwanza ni Jiji la pili by population size+population density...ila ukija kwenye vigezo vingine kwamfano ubora wa mipangomiji,mtandao mpana wa barabara za lami,ubora wa huduma za kijamii,miundombinu,maghorofa,miradi mikubwa ya ujenzi,uwekezaji wa serikali,uwepo wa taasisi na mashirika mengi ya kitaifa+kimataifa,mapato ya Jiji(usichanganye na mapato ya mkoa wote wenye halmashauri 8 😂😂)n.k Mwanza level zake ni Mbeya na Morogoro labda
Vitu kama hivi 👇👇huwezi kuta vinafanyika Mwanza...only in Dom
View: https://www.instagram.com/reel/DMfUNOtyz6M/?igsh=cWYxNDg1aGtvMWN1