ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Unaumia Kwa wivu ๐ ๐๐๐Hahaha ring Road yenyewe ya Samia hii hovyo tu.
View: https://www.instagram.com/p/DLqL5eXKr-L/?igsh=ZmxvM2kzOHkyOWFu
Unaumia Kwa wivu ๐ ๐๐๐Hahaha ring Road yenyewe ya Samia hii hovyo tu.
Sensa rasmi ya nchi inaonyesha arusha ni mji wa pili kwa majengo mengi ya ghorofa nchiniMwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Hivi ni kweli kabisa kutoka moyoni mwako na akili za kawaida tu Arusha inaizidi Mwanza?? ๐๐Sensa rasmi ya nchi inaonyesha arusha ni mji wa pili kwa majengo mengi ya ghorofa nchini
Bado Arusha ni ya pili kwa mapato mengi ya TRA nchini
Na sasa hivi utalii ndio kwanza unaanza kuchanua
We unaiskia arusha kwenye magazeti braza sio ๐
Hizi ni video zinaonyesha arusha kwa uchache
Ukitumia moyo utaona haiizidi ila ukitumia akili Arusha Iko mbele sana Kwa Mwanza.Hivi ni kweli kabisa kutoka moyoni mwako na akili za kawaida tu Arusha inaizidi Mwanza?? ๐๐
Hivyo vitu ulivyotaja Mwanza vilikuwwpo toka miaka ya 1980Unataka kuniambia uwekezaji wa mahoteli,viwanda,media,vyuo vikuu,shopping malls,mabenki,biashara,makampuni,mabasi n.k ni serikali au private...!!๐๐๐
Ushamba tu ndio unaokusumbua pia una uhaba wa exposure hiyo view ina nini cha maajabu.Ukitumia moyo utaona haiizidi ila ukitumia akili Arusha Iko mbele sana Kwa Mwanza.
Hivi ukiona hii video unaamini hapa ni Arusha au Ulaya? Kuna Mwanza ya hivi? ๐๐
View attachment 3414118
Uzuri mnashindana loosers Kwa loosers ๐๐Hivyo vitu ulivyotaja Mwanza vilikuwwpo toka miaka ya 1980
Jibu swali Kuna Mwanza ya kufikia Arusha ukweli?Ushamba tu ndio unaokusumbua pia una uhaba wa exposure hiyo view ina nini cha maajabu.