Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.
Kwa majengo, kasi ya ujenzi dodoma ni kubwa compared to Mwanza, ingawa mwanza haipo nyuma kwenye ujenzi wa majengo marefu katika mji. Kama umetembelea mwanza unaweza ukawa shahidi wangu.
Idadi ya watu, kwa mwanza ni kubwa sana na itaendela kua kubwa kwa sababu wanazaliana sana wasukuma, lakini dodoma wengi ni wahamiaji
Kwa uchache ni hayo
Shida watu wa Dodoma wanafikiri miundombinu ni barabara na reli tu.Nawashauri wasafiri waje Mwanza wapate exposure kidogo wapunguze vumbi kwenye macho.Mwanza kuna kila aina ya miundombinu kuanzia Afya,usafiri(barabara,anga na maji).sewage system, umeme,na kila kitu ambavyo Dodoma itavisikia kwenye redio mpaka mwisho wa duniani.Mfano Meli kubwa za mizigo na watalii watazionea wapi??
 
Shida watu wa Dodoma wanafikiri miundombinu ni barabara na reli tu.Nawasahauri wasafiri wale Mwanza wapate exposure kidogo wapunguze vumbi kwenye macho.Mwanza kuna kila aina ya miundombinu kuanzia Afya,usafiri(barabara,anga na maji).sewage system, umeme,na kila kitu ambavyo Dodoma itavisikia kwenye redio mpaka mwisho wa duniani.Mfano Meli kubwa za mizigo na watalii watazionea wapi??
Exposure ambayo mtu anaweza kupata Mwanza is Slums na uchafu everything plus shombo ya Samaki nothing else.

Dom Ina Kila ain ya miundombinu kuanzia ya kijamii Hadi ya kiuchumi kama unavyoona hapa 👇 👇

View: https://youtu.be/B7q2Eeqw5zw?feature=shared
 
Umesahau kupost Dodoma yenyewe inawezekana wewe mzamiaji. Dodoma yenyewe unaitafuta jf🤣🤣Hii ndo yenyewe hayo mengine maneno.
1749929332856.jpg
 
Umesahau kupost Dodoma yenyewe inawezekana wewe mzamiaji. Dodoma yenyewe unaitafuta jf🤣🤣Hii ndo yenyewe hayo mengine maneno.View attachment 3391210
Kwa kukusaidia tu najua hujawahi kufika Dom😂😂😂...Outer ring road ipo takribani 30 km from City Center .Hiyo unayoiona ni neighborhood inaitwa Nala-Chihoni na upande wa juu hakuna makazi ya watu kuna Kambi ya Jeshi Msalato.
 
Mwanza imeishatoka huko siku nyingi Mwanza inazungumzia mgodi mkubwa wa dhahabu Afika,Daraja refu afrika mashariki na kati,meli kubwa maziwa makuu,bandari kubwa ziwani afrika mashariki,masoko ya kimataifa.
Bila Elimu mtaendelea kuwa mafukara na kushangilia Migodi ya Wazungu huku wenzenu wakijikita kwenye viwanda
 
Bila Elimu mtaendelea kuwa mafukara na kushangilia Migodi ya Wazungu huku wenzenu wakijikita kwenye viwanda
Kweli vumbi linachanganya 🤣🤣🤣kweli kanda ya kati ndo wa kuisema kanda ya ziwa kuhusu elimu na viwanda??Tunakolekea inabidi Makufuri afufuliwe akazikwe Chamwino kwa maana kipofu aliyemfumbua macho kila anachokiona chake🤣🤣🤣.
 
Kwani hii thread inahusu Kanda ya Kati vs Kanda ya Ziwa au inahusu Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji...uliwahi kusema humu eti umesoma mchepuo wa sayansi A-level bilashaka itakua CBG-combination of Beautiful Girls 😂😂😂
 
Kwahiyo Science ilikuuma sana😂😂😂wewe pambana na ukilaza wako.Kwasababu nchi hii imeishawaminisha kwamba wasomi si kitu swala ni kujua kusoma na kuandika.Ndo maana unapata kiburi cha kuwabishia wenye taaluma zao🤣🤣🤣
 
Hizo ndoto za Bwanisi.Pamoja na kupeleka Dodoma kodi zote za walipa za watanzania to Miaka ya 70s lakini bado inaonekana kama Palestine 🇵🇸. Juzi tu hapa wametuonesha Outerring road inapita jangwani hata miti imewashinda kupanda.
Hahaha ring Road yenyewe ya Samia hii hovyo tu.
 
Back
Top Bottom