Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hata mimi kanishangaza!! Eti shughuli za kiuchumi ibaizd mwanza?? Ukubwa wa mhi inaizd mwanza? Huduma za kijamii inaizdi mwanza? Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Mara ya mwisho Kwa Mwanza kujenga kiwanda kikubwa kama hiki ilikuwa lini? 👇👇

View: https://youtu.be/pIKs8fuT6Aw?feature=shared
treetvtz_1751109769201.jpg
 
Dodoma imeiacha mwanza katika angle ipi mkuu?
Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.
Kwa majengo, kasi ya ujenzi dodoma ni kubwa compared to Mwanza, ingawa mwanza haipo nyuma kwenye ujenzi wa majengo marefu katika mji. Kama umetembelea mwanza unaweza ukawa shahidi wangu.
Idadi ya watu, kwa mwanza ni kubwa sana na itaendela kua kubwa kwa sababu wanazaliana sana wasukuma, lakini dodoma wengi ni wahamiaji
Kwa uchache ni hayo
 
Mwanza kuna viwnda sio kiwanda toa ushamba wako.Kwa taarifa yako hivyo vimajengo ni sawa na kiwanda cha kuchambua pamba.
Weka hapa hivyo viwanda 😂😂

Nimekuuliza nataka jibu mara ya mwisho Mwanza kupata kiwanda kama kile ilikuwa lini?
 
Kwamba Mwanza wanazaliana sana, ila population za Dodoma, Arusha na Dsm, aaah hawazaliani, kwa takwimu zilizopo Dodoma inaongoza kwa kuzaliana kuliko Mwanza
Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.
Kwa majengo, kasi ya ujenzi dodoma ni kubwa compared to Mwanza, ingawa mwanza haipo nyuma kwenye ujenzi wa majengo marefu katika mji. Kama umetembelea mwanza unaweza ukawa shahidi wangu.
Idadi ya watu, kwa mwanza ni kubwa sana na itaendela kua kubwa kwa sababu wanazaliana sana wasukuma, lakini dodoma wengi ni wahamiaji
Kwa uchache ni hayo
 
Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.
Kwa majengo, kasi ya ujenzi dodoma ni kubwa compared to Mwanza, ingawa mwanza haipo nyuma kwenye ujenzi wa majengo marefu katika mji. Kama umetembelea mwanza unaweza ukawa shahidi wangu.
Idadi ya watu, kwa mwanza ni kubwa sana na itaendela kua kubwa kwa sababu wanazaliana sana wasukuma, lakini dodoma wengi ni wahamiaji
Kwa uchache ni hayo
 
Attachments

  • Screenshot_20231031-061536_2.jpg
    Screenshot_20231031-061536_2.jpg
    128.6 KB · Views: 18
Shida unaongea umbea tu na siasa njaa. Dodoma mkoa maskini kuliko mikoa yote Tanzania imeishafikia hatua yakua jiji bora kuliko majiji yote Tanzani na Kenya??Wewe utakuwa unaishi Karibu nq hospitali ya Milembe sio bure.
Atakuwa katoroka milembe.
 
Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Acha upumbavu hapa majiji ni Dar na Mwanza hizo hekaya zenu pelekeni kwa mandondocha.
 
Kila siku mnaleta miradi ya serikali huko hakuna private sector, au watu wenye doo za kufanya uwekezaji mkubwa.
Unataka kuniambia uwekezaji wa mahoteli,viwanda,media,vyuo vikuu,shopping malls,mabenki,biashara,makampuni,mabasi n.k ni serikali au private...!!😂😂😂
 
Back
Top Bottom