Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kiuhalisia hili daraja halipo Mwanza Jiji lipo mpakani mwa wilaya za Sengerema na Misungwi...umbali wa zaidi ya masaa matatu kwa gari😂😂
Hata Ukiwa na Chuki na Mwanza sio kwa kiasi hiki, Daladala za kwenda kigongo Ferry zipo Buhongwa nauri ni 1500,mda kutoka buhongwa hadi darajani (kigongo ferry) ni kama dakika 15 hadi 20 kama hakuna jamu barabarani, Usagara kwenda darajani nauri buku, mda ni dakika 5 hadi 10,iweje uanze kudanganya watu masaa matatu? Mwanza kwenda Shinyanga ni masaa mawili mpaka matatu,, Manina zenu, Na yajayo mtaumia mbwa nyieee, manispaa ya tatu ipo on pipeline tarehe 19 inaenda kutangazwa mbwa nyiee, na ita cover eneo la Kamanga, Busisi, kigonga, usagara na kisesa
Dom hawapoi kabisa💥...another skyscraper loading ndani ya city centre 👇👇View attachment 3363210
Ukitoa Dar es salaam jiji linalofaata kwa ujenzi wa magorofa City centre ya pili ni Mwanza, kwa mwanza Joint venture ya NHC Mwanza ipo 🔥 🔥 🔥 🔥, Site 18 za majengo ya NHC yaliyopo City centre zipo on progress kuanzia 9f above, bado watu binafsi, CBD haipoi kwa ujenzi wa gorofa,
 
Hata Ukiwa na Chuki na Mwanza sio kwa kiasi hiki, Daladala za kwenda kigongo Ferry zipo Buhongwa nauri ni 1500,mda kutoka buhongwa hadi darajani (kigongo ferry) ni kama dakika 15 hadi 20 kama hakuna jamu barabarani, Usagara kwenda darajani nauri buku, mda ni dakika 5 hadi 10,iweje uanze kudanganya watu masaa matatu? Mwanza kwenda Shinyanga ni masaa mawili mpaka matatu,, Manina zenu, Na yajayo mtaumia mbwa nyieee, manispaa ya tatu ipo on pipeline tarehe 19 inaenda kutangazwa mbwa nyiee, na ita cover eneo la Kamanga, Busisi, kigonga, usagara na kisesa

Ukitoa Dar es salaam jiji linalofaata kwa ujenzi wa magorofa City centre ya pili ni Mwanza, kwa mwanza Joint venture ya NHC Mwanza ipo 🔥 🔥 🔥 🔥, Site 18 za majengo ya NHC yaliyopo City centre zipo on progress kuanzia 9f above, bado watu binafsi, CBD haipoi kwa ujenzi wa gorofa,
Daraja la Kigongo Busisi halipo Mwanza linaunganisha wilaya ya Misungwi na Sengerema full stop.
 
Hata Ukiwa na Chuki na Mwanza sio kwa kiasi hiki, Daladala za kwenda kigongo Ferry zipo Buhongwa nauri ni 1500,mda kutoka buhongwa hadi darajani (kigongo ferry) ni kama dakika 15 hadi 20 kama hakuna jamu barabarani, Usagara kwenda darajani nauri buku, mda ni dakika 5 hadi 10,iweje uanze kudanganya watu masaa matatu? Mwanza kwenda Shinyanga ni masaa mawili mpaka matatu,, Manina zenu, Na yajayo mtaumia mbwa nyieee, manispaa ya tatu ipo on pipeline tarehe 19 inaenda kutangazwa mbwa nyiee, na ita cover eneo la Kamanga, Busisi, kigonga, usagara na kisesa,
Ona wenzenu Dom wanavyozidi kupendelewa ...hivi vitu Mwanza mtaishia kuvisikia tu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DK4mCSFCHh6/?igsh=MTNnNHBtaG9yd2Rxaw==
 
Dom HQ 🔥 🔥
bongotzfm_1749915353168.jpg
bongotzfm_1749915353415.jpg
bongotzfm_1749915352941.jpg
bongotzfm_1749915352745.jpg
bongotzfm_1749915351979.jpg
mamayukokazini_1749913033237.jpg
 
Back
Top Bottom