Uhakika nakubaliana na wewe, Mpaka sasa Mwanza CBD NHC wana sites kama 18 za ubia halafu zote ni 9f above, ghana, kirumba, Nyamhongoro, kiseke, Nyegezi moto unawaka, hapa tunasubiri watie saini mkataba wa dual carriage wa mwanza zero mpaka kuunga darajani, km37Shida yenu nikudhani Mwanza imesimama 🤣🤣🤣kwasababu ya kelele za wanasiasa.Mwanza moto wake huko pale pale sema tu haya mambo kwa Mwanza ni kawaida na vigorofa kama hivyo vinamilikiwa na vijana wadogo kabisa.