ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Majiji yote 😁😁Huu ni mradi wa majiji yote nchini na ukubwa wa mradi utatemea market analysis katika jiji husika ila lazima kila jiji liguswe.Huko Dar ndo mwanzo ila Mama hawezi kuondoka madarakani bila kukamilisha huu mradi maana unaweza kutumika kama best icon yake.Nakumbuka sera yake kuu katika ilani yake ya ccm 2025/2030 ni mipango miji nchi nzima kuanzia majiji makubwa kama Dar,Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma na Tanga kwahiyo tutegemee mabadiliko makubwa hasa maeneo yenye slums na wanaoishi kwenye maeneo ya slums watafaidika pakubwa sana katika mpango huu.
50% miradi itajengwa Dar,20% Dodoma na 30% kwingineko ambako Mwanza ipo 😂😂😂😂Huu ni mradi wa majiji yote nchini na ukubwa wa mradi utatemea market analysis katika jiji husika ila lazima kila jiji liguswe.Huko Dar ndo mwanzo ila Mama hawezi kuondoka madarakani bila kukamilisha huu mradi maana unaweza kutumika kama best icon yake.Nakumbuka sera yake kuu katika ilani yake ya ccm 2025/2030 ni mipango miji nchi nzima kuanzia majiji makubwa kama Dar,Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma na Tanga kwahiyo tutegemee mabadiliko makubwa hasa maeneo yenye slums na wanaoishi kwenye maeneo ya slums watafaidika pakubwa sana katika mpango huu.
Majiji yote 😁😁
Na huu Je ni mradi wa majiji mangapi?
View: https://www.instagram.com/reel/DLXFBfbNvsB/?igsh=Z2t1Y2F1Z2dudWY4
Ni Makao Makuu yetu, acha yapendeze. Speed yake inaridhisha sana, na kwa bahati nzuri iko kisasa sana. Ten to 20 years to come Ni Nairobi, Dar, then Dom.Kwa taarifa yako tu wenzenu Dom baada kukamilisha outer ring road (122 km)mwaka huu kinachofuata ni inner ring road itakayoanzia Ikulu hadi CityCentre. Toka tupate Uhuru nchi hii hakuna mji wowote umewahi kujengewa hizo aina ya barabara zaidi ya Dom. Mwanza endeleeni kujifariji tu😂😂..kwenyemiundombinu hamfiki hata robo ya ubora wa Dom
Niswa Mwanza ni jiji linalojimudu ndo maana limeendelea kuchallenge kwa Dar miaka yote hiyo bila absolutely support zaidi ya serikali kiuchumi kuchuma.Hizo asilimia Acha ziwe hivyo alafu tutafutane after miaka 5 utaniambia kuhusu Mwanza.Mtu aliyetoka Mwanza miaka mitano iliyopita akiende leo anapoteana vijana wanafanya mambo yao.50% miradi itajengwa Dar,20% Dodoma na 30% kwingineko ambako Mwanza ipo 😂😂😂😂
Hizo ndoto za Bwanisi.Pamoja na kupeleka Dodoma kodi zote za walipa za watanzania to Miaka ya 70s lakini bado inaonekana kama Palestine 🇵🇸. Juzi tu hapa wametuonesha Outerring road inapita jangwani hata miti imewashinda kupanda.Ni Makao Makuu yetu, acha yapendeze. Speed yake inaridhisha sana, na kwa bahati nzuri iko kisasa sana. Ten to 20 years to come Ni Nairobi, Dar, then Dom.
Kama unaijua Dodoma ya 2010, utasadiki maneno yangu. Ilikuwa haiwezi hata kulinganishwa na Moro, achilia mbali Arusha, Mwanza, Kisumu, nk... Leo hiyo mini yote iko level moja nayo. Ukiondoa Nairobi, Dar na Mombasa, majiji mengine yote ya Tz na Kenya hakuna linaloweza kujinasibu ubabe kikamilifu dhidi ya Dom, ni sahani moja tu kwa sasa.Hizo ndoto za Bwanisi.Pamoja na kupeleka Dodoma kodi zote za walipa za watanzania to Miaka ya 70s lakini bado inaonekana kama Palestine 🇵🇸. Juzi tu hapa wametuonesha Outerring road inapita jangwani hata miti imewashinda kupanda.
Yaani watu waache kujadili ubora wa mipangomiji,miundombinu,mtandao mpana wa barabara za lami,maghorofa,viwanda,uwekezaji,huduma za kijamii,vyuo vikuu,mapato TRA,mapato halmashauri,miradi inayojengwa+ inayotarajiwa kujengwa n.k alafu wajadili miti au hali ya hewa😂😂... Patheticinapita jangwani hata miti imewashinda kupanda.
Shida unaongea umbea tu na siasa njaa. Dodoma mkoa maskini kuliko mikoa yote Tanzania imeishafikia hatua yakua jiji bora kuliko majiji yote Tanzani na Kenya??Wewe utakuwa unaishi Karibu nq hospitali ya Milembe sio bure.Kama inaijua Dodoma ya 2010, utasadiki maneno yangu. Ilikuwa haiwezi hata kulinganishwa na Moro, achilia mbali Arusha, Mwanza, Kisumu, nk... Leo hiyo mini yote iko level moja nayo. Ukiondoa Nairobi, Dar na Mombasa, majiji mengine yote ya Tz na Kenya hakuna linaloweza kujinasibu ubabe kikamilifu dhidi ya Dom, ni sahani moja tu kwa sasa.
Sasa hapa mbona ni wewe ndio unaonesha kuwa na shida ya ufahamu? Unaweza kuonesha ni wapi nimetamka kuwa Dodoma ni jiji Bora kuliko majiji yote Tz na Kenya? Kama unashindwa kutofautisha ushindani wa MAJIJI na ule wa MIKOA, ni wazi una shida mahali, hapa hatulinganishi MIKOA.Shida unaongea umbea tu na siasa njaa. Dodoma mkoa maskini kuliko mikoa yote Tanzania imeishafikia hatua yakua jiji bora kuliko majiji yote Tanzani na Kenya??Wewe utakuwa unaishi Karibu nq hospitali ya Milembe sio bure.
Mkuu usitumie nguvu kubishana na MEMKWA SHABIKI MAANDAZI yaani mtu anayeshindwa kujua tofauti ya "Mkoa" na "Jiji" huyo mwache aende akabishane facebook na vilaza wenzake. Hana facts wala contents zozote zaidi ya ushabiki maandazi😂😂Sasa hapa mbona ni wewe ndio unaonesha kuwa na shida ya ufahamu? Unaweza kuonesha ni wapi nimetamka kuwa Dodoma ni jiji Bora kuliko majiji yote Tz na Kenya? Kama unashindwa kutofautisha ushindani wa MAJIJI na ule wa MIKOA, ni wazi una shida mahali, hapa hatulinganishi MIKOA.
Kwangu ni
Nairobi
Dar
Mombasa
Kisha kwa mbali sana yanafuatiwa na
Mwanza, Dom, Arusha, Kisumu, nk
Miaka 10 nyuma Dom ilikuwa haitoshi kulinganishwa hata na Tanga, huoni ajabu Leo inapambanishwa na Mwanza? Miaka 20 mbele Dom itakuwa inacompete na Mombasa sio Mwanza tena, kuingia Big 3.
Shida yako unaleta hisia pasipohitajika. Baki na mihemko yako.
Hakika!Mkuu usitumie nguvu kubishana na MEMKWA SHABIKI MAANDAZI yaani mtu anayeshindwa kujua tofauti ya "Mkoa" na "Jiji" huyo mwache aende akabishane facebook na vilaza wenzake. Hana facts wala contents zozote zaidi ya ushabiki maandazi😂😂
Kwa hii hoja uko sawa kabisa, kwa sasa Dodoma inaingia level za Majiji ya Mwanza na Arusha. Hakuna mji mwingine wa kulinganisha na Dodoma isipokuwa Mwanza na Arusha kwa sasa,Sasa hapa mbona ni wewe ndio unaonesha kuwa na shida ya ufahamu? Unaweza kuonesha ni wapi nimetamka kuwa Dodoma ni jiji Bora kuliko majiji yote Tz na Kenya? Kama unashindwa kutofautisha ushindani wa MAJIJI na ule wa MIKOA, ni wazi una shida mahali, hapa hatulinganishi MIKOA.
Kwangu ni
Nairobi
Dar
Mombasa
Kisha kwa mbali sana yanafuatiwa na
Mwanza, Dom, Arusha, Kisumu, nk
Miaka 10 nyuma Dom ilikuwa haitoshi kulinganishwa hata na Tanga, huoni ajabu Leo inapambanishwa na Mwanza? Miaka 20 mbele Dom itakuwa inacompete na Mombasa sio Mwanza tena, kuingia Big 3.
Shida yako unaleta hisia pasipohitajika. Baki na mihemko yako.
Nikweli ukiangalia muendelezo ya kimaendeleo Dodoma speed yake hiko vizuri kuliko majiji yote Tanzania lakini katika swala la Maendeleo hatuangali angle moja tu ya Majengo na ushawishi wa kisiasa , tunaangalia pia nature ya eneo na sababu zingine zilizolifanya kuwa kijiji.Mfano Mwanza,Arusha na Mbeya.Kwa factor za Dodoma inazozitua inatakiwa kuwork hard kupiti haya majiji mangine hasa Arusha na Mwanza kama factors zilizofanya kuwa majiji bado ziko active.Labda tukubali kwamba kwa sasa maendeleo yanatumika kama ongo kisiasa ila bado tawala zinabadilika.Kwa hii hoja uko sawa kabisa, kwa sasa Dodoma inaingia level za Majiji ya Mwanza na Arusha. Hakuna mji mwingine wa kulinganisha na Dodoma isipokuwa Mwanza na Arusha kwa sasa,
Lakini kusema kwamba kwa sasa tayari kuna Jiji imeshalipita level kati ya Mwanza au Arusha hapo bado ndio kwanza inaingia kwenye level ya hayo Majiji, tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini especially after 5 years tunaweza pata usemi mwingine
Umeandika Kwa hisia za chumbani au facts? Mbona mnaleta masimulizi binafsi badala ya kuleta figures 😂😂😂Kwa hii hoja uko sawa kabisa, kwa sasa Dodoma inaingia level za Majiji ya Mwanza na Arusha. Hakuna mji mwingine wa kulinganisha na Dodoma isipokuwa Mwanza na Arusha kwa sasa,
Lakini kusema kwamba kwa sasa tayari kuna Jiji imeshalipita level kati ya Mwanza au Arusha hapo bado ndio kwanza inaingia kwenye level ya hayo Majiji, tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini especially after 5 years tunaweza pata usemi mwingine
Weka facts Wacha masimulizi yasiyo na mashiko.Nikweli ukiangalia muendelezo ya kimaendeleo Dodoma speed yake hiko vizuri kuliko majiji yote Tanzania lakini katika swala la Maendeleo hatuangali angle moja tu ya Majengo na ushawishi wa kisiasa , tunaangalia pia nature ya eneo na sababu zingine zilizolifanya kuwa kijiji.Mfano Mwanza,Arusha na Mbeya.Kwa factor za Dodoma inazozitua inatakiwa kuwork hard kupiti haya majiji mangine hasa Arusha na Mwanza kama factors zilizofanya kuwa majiji bado ziko active.Labda tukubali kwamba kwa sasa maendeleo yanatumika kama ongo kisiasa ila bado tawala zinabadilika.
Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.Kwa hii hoja uko sawa kabisa, kwa sasa Dodoma inaingia level za Majiji ya Mwanza na Arusha. Hakuna mji mwingine wa kulinganisha na Dodoma isipokuwa Mwanza na Arusha kwa sasa,
Lakini kusema kwamba kwa sasa tayari kuna Jiji imeshalipita level kati ya Mwanza au Arusha hapo bado ndio kwanza inaingia kwenye level ya hayo Majiji, tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini especially after 5 years tunaweza pata usemi mwingine