Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Unaongea kutoka mdomoni au kwenye takwimu?

Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Mbeya
 
Weka facts Wacha masimulizi yasiyo na mashiko.
Huu 👇 ujazo wa CBD Za Arusha na Mwanza, Dodoma bado haijauvuka, hii inahitaji macho yako tu kuona
Mwanza
Screenshot_20231214-163028_1.jpg
Screenshot_20231214-163055_1.jpg
Mwanza-Medical-03001.jpg
JamiiForums400908168.jpg
Arusha

Screenshot_20250529-061723 (1).png
images (1).jpeg
images (3).jpeg

Tofauti na hapo utakuwa unatumia nguvu kulazimisha unachokitamani kiwe

Dodoma
20250620_212818.jpg
 
Unaongea kutoka mdomoni au kwenye takwimu?

Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Mbeya
Halafu hii Mbeya usiwe unaitaja kwenye ligi za wakubwa maana iko level za kushindanishwa na miji ya kawaida na sio Majiji na inaweza isitoboe

Kama huamini fungua hata thread ya Mbeya Jiji na Moro town uone kama Mbeya itatoboa
 
Wewe unaona Dom HQ ni mji uliojikusanya sehemu Moja?

Sawa hao qamwjikusanya,vipi ukitoka Nje ya CBD unakutanaga ni vitu gani?

Mwisho CBD ndio takwimu za maensiya Jiji?
Unapokutana na mtu cha kwanza ili uweze kumtathimini lazima umtazame usoni bila shaka 😂😂 baada ya hapo unaangalia na sehemu zingine za mwili

Kwa Upande wa jiji uso wake ni CBD lazima tutazame hapo kwanza
Kwenye nyumba ya mtu huwa tunatazama sebule kwanza hata wasipofika huko kwingine
Sebule ya jiji ni CBD 🤗😄😄
Na bila CBD ya Dodoma kuvuka level za CBD za Mwanza na Arusha unazani tutaweza kuipambanisha na Mombasa kweli?, Mpaka zilipo Mwanza na Arusha Bado haziwezi kuitoa knock out Mombasa ko Dodoma lazima CBD yake iwake vizuri
 
Sasa hapa mbona ni wewe ndio unaonesha kuwa na shida ya ufahamu? Unaweza kuonesha ni wapi nimetamka kuwa Dodoma ni jiji Bora kuliko majiji yote Tz na Kenya? Kama unashindwa kutofautisha ushindani wa MAJIJI na ule wa MIKOA, ni wazi una shida mahali, hapa hatulinganishi MIKOA.

Kwangu ni
Nairobi
Dar
Mombasa
Kisha kwa mbali sana yanafuatiwa na
Mwanza, Dom, Arusha, Kisumu, nk

Miaka 10 nyuma Dom ilikuwa haitoshi kulinganishwa hata na Tanga, huoni ajabu Leo inapambanishwa na Mwanza? Miaka 20 mbele Dom itakuwa inacompete na Mombasa sio Mwanza tena, kuingia Big 3.

Shida yako unaleta hisia pasipohitajika. Baki na mihemko yako.
Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
 
Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
Hiyo ni Lugha tu ndugu, hata katika mikoa midogo kuliko yote tunaweza kupata Big 3 kama tunavyoweza kupata Big 3 ya mikoa mikubwa kuliko yote.
Tuna Big 3 ya Top Best Cities vilevile tuna Big 3 ya Majiji duni/mabaya.
Ondoa dhana ya kuwa inapotajwa Big duniani basi humaanisha tu size, HAPANA.

Big 3 ya Kenya na Tz kwa sasa ni Nairobi, Dar na Mombasa. Japo Dar ni populated and wide kuliko Nairobi.
 
Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
Mfano pia, Tuna BIG 5 ya wanyama pori katika Africa, ambao ni Tembo, Simba, Nyati, Kifaru na Chui. Hao hutambulika kama The Big 5 animals.
Ukifikiri Big ni size tu, utakataa Chui na Simba kuwa miongoni mwa Big 5, kwani wamezidiwa na wanyama wengi kama Pundamilia na Twiga.
 
Ziweke hapa takwimu zako tuzione wote... Weka akilini mwako, Arusha kwa Mwanza bado sana kaka. Tusicomment kiushabiki
-Takwimu za msingi ni Mapato ya Jiji ,Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.

-Takwimu za TRA Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.

-Magorofa ,Mwanza inazidiwa na wote

-Miundombinu halikadhalika

-Kwenye uwekezaji ndio kabisaa

Data zote hizi tumeziweka sana humu.

Kitu pekee kinaokoa Mwanza ni population size na GDP ya Mkoa which mainly not worthwhile.
 
Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Dodoma imeiacha mwanza katika angle ipi mkuu?
 
-Takwimu za msingi ni Mapato ya Jiji ,Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.

-Takwimu za TRA Mwanza inazidiwa na hao wote kasoro Mbeya.

-Magorofa ,Mwanza inazidiwa na wote

-Miundombinu halikadhalika

-Kwenye uwekezaji ndio kabisaa

Data zote hizi tumeziweka sana humu.

Kitu pekee kinaokoa Mwanza ni population size na GDP ya Mkoa which mainly not worthwhile.
Kama Arusha takwimu zote zinaibeba alafu GDP ni zero sasa yote hayo ya nini.??Ni sawa na ile twafungwa lakini chenga twawala🤣🤣🤣hata hiyo Dodoma kwa Mwanza bado sana.Kipimo cha uchumi kinachokubaliki Duniani ni GDP.Hayo yote output yake ni GDP.Dodoma inazidiwa na Morogoro na Arusha inazidiwa na Mbeya na Mwanza inazidiwa na Dar peke yake nchi hii hayo mengine ni kelele tu.
 
Dodoma yenu haitakuja iiguse Mwanza hata siku moja
1.kiuchumi
2.Uzuri wa mji pamoja na hali ya hewa
3.populations
4.Neighbourhood
Na mambo mengine mengi, Mwanza mji umechangamka kila kona, Ukitoa kariakoo Dar es salaam, eneo jingine hapa nchini mithiri ya kariakoo utaikutaa Mwanza, Lumumba street, pia CBD ya Mwanza imesambaa kama sehemu tano hivi, kitu ambacho huwezi kuta Dodoma,
 
Hiyo ni Lugha tu ndugu, hata katika mikoa midogo kuliko yote tunaweza kupata Big 3 kama tunavyoweza kupata Big 3 ya mikoa mikubwa kuliko yote.
Tuna Big 3 ya Top Best Cities vilevile tuna Big 3 ya Majiji duni/mabaya.
Ondoa dhana ya kuwa inapotajwa Big duniani basi humaanisha tu size, HAPANA.

Big 3 ya Kenya na Tz kwa sasa ni Nairobi, Dar na Mombasa. Japo Dar ni populated and wide kuliko Nairobi.
Naona tunachanganya kingereza na kisw kati ya Tz na Kenya mji mkubwa ni Dar inafuata Nairobi ila mji mzuri ni Nairobi ..Kwa afrika mashariki mji mkubwa ni Kinshasa inafuata dar ok sijui nyie mnabishana ila Mimi najua hivyo
 
Maana ya BIG 3 in "The most 3 prominent " au "The best 3 at..... ." Hapo neno BIG halijatumika kama Kigezo kilinganishi.

Mfano tunaweza kuwa na BIG 3 ya wapumbavu kama ifuatavyo;
1. Waumini wa Dini.
2. Wafuasi wa Vyama vya Siasa.
3. Wanaharakati wa Haki za Binadamu.

Hiyo ndio BIG 3 ya mazombi. Natumai nimeeleweka sasa.
 
Dodoma yenu haitakuja iiguse Mwanza hata siku moja
1.kiuchumi
2.Uzuri wa mji pamoja na hali ya hewa
3.populations
4.Neighbourhood
Na mambo mengine mengi, Mwanza mji umechangamka kila kona, Ukitoa kariakoo Dar es salaam, eneo jingine hapa nchini mithiri ya kariakoo utaikutaa Mwanza, Lumumba street, pia CBD ya Mwanza imesambaa kama sehemu tano hivi, kitu ambacho huwezi kuta Dodoma,
Kitu pekee Mwanza ilichozidi Dom ni population hilo halina ubishi .Vigezo vingine vyote vya kupima ubora wa majiji kuanzia miundombinu,mipangomiji,huduma za kijamii,mapato TRA+halmashauri,uwekezaji,miradi n.k Mwanza ikashindane na Mbeya labda Dom ni level nyingine kwa sasa.
 
Dodoma yenu haitakuja iiguse Mwanza hata siku moja
1.kiuchumi
2.Uzuri wa mji pamoja na hali ya hewa
3.populations
4.Neighbourhood
Na mambo mengine mengi, Mwanza mji umechangamka kila kona, Ukitoa kariakoo Dar es salaam, eneo jingine hapa nchini mithiri ya kariakoo utaikutaa Mwanza, Lumumba street, pia CBD ya Mwanza imesambaa kama sehemu tano hivi, kitu ambacho huwezi kuta Dodoma,
Pale slum dweler wa Butimba akijifariji 🤣🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DLh_b8doLox/?igsh=bHB3aHp2bGI5MzA0

Dom rivals only Dar hapa Tanzania
 
Kama Arusha takwimu zote zinaibeba alafu GDP ni zero sasa yote hayo ya nini.??Ni sawa na ile twafungwa lakini chenga twawala🤣🤣🤣hata hiyo Dodoma kwa Mwanza bado sana.Kipimo cha uchumi kinachokubaliki Duniani ni GDP.Hayo yote output yake ni GDP.Dodoma inazidiwa na Morogoro na Arusha inazidiwa na Mbeya na Mwanza inazidiwa na Dar peke yake nchi hii hayo mengine ni kelele tu.
GDP sio pesa.Kama GDP ni worthwhile basi Mbeya imewazidi wote hao.kianzia kina Arusha,Dodoma etc lakini vipi kwenye macho Yako ndivyo ilivyo? 😁😁

Mwanza msijifariji na GDP maana sio pesa.

Hakuna kitu Mwanza inaizidi Dom
 
Dodoma imeiacha mwanza katika angle ipi mkuu?
-Miundombinu yote ya kiuchumi unayoijua.
-Ukubwa wa Mji (built up area)
-Masuala ya Huduma za jamii
-Mapato (mzunguko wa Fedha) both Jiji na TRA
-Dom Ina shughuli nyingi za Uchumi Kwa Sasa kuliko Mwanza eg Kilimo,Madini na Biashara
-Uzuri wa Mji ndio maana bloggers hawakauki Dom ila ni nadra sana kuwaona huko Mwanza.
 
Back
Top Bottom