Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Uwanja wa ndege vs Daraja la JPM ni structure ipi itaongeza Mapato Kwa Jiji miaka 5 ijayo?

Tusubirie tuone ila na uhakika Dom itafikisha own source zaidi ya Bilioni 100 kabla ya 2030 hulu Mwanza hata kufikisha Bil.60 itakuwa ni ndoto 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DJ8vjwysCGa/?igsh=MW9iaWVveGxwaGx6dQ==

Kwa ubora wa Dom mipangomiji +miundombinu ...Mwanza kuifikia DOM kimapato(halmashauri+TRA) ni ndoto za mchana 👇👇


View: https://www.instagram.com/p/DKHvrS4M7hM/?igsh=N3BtYmxndGlhZXRl
 
Screenshot_20250530-064845.jpg
Screenshot_20250530-065708.jpg
 
Back
Top Bottom