Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Maskini Mwanza is Slum hawana Cha kuonesha 😁😁

Dom at its best
IMG_7879.jpeg
IMG_5742.jpeg
IMG_7880.jpeg
IMG_7884.jpeg
 
Kwa ubora wa Dom mipangomiji +miundombinu ...Mwanza kuifikia DOM kimapato(halmashauri+TRA) ni ndoto za mchana 👇👇


View: https://www.instagram.com/p/DKHvrS4M7hM/?igsh=N3BtYmxndGlhZXRl

Maduhuli yatokanayo na ujenzi na uwekezaji taasisi za kiserikali na ujenzi wa majengo ya wizara, huu mnyororo unaongeza mapato ya halmashauri lakini hayana uhalisia kwa mwanachi matonya wa Dodoma, na yangekuwa yana msaada hakika dodoma isingekuwa inashika mkia kwa umaskini uliotopea nchini Tanzania, uwekezaji wa serikali hauakisi maisha halisi ya mwananchi wa Dodoma, poleni sana.
 
Back
Top Bottom