Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hii Dodoma ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa angalia hiyo mandhari kama upo katikati ya jangwa la sahara, karibu Mwanza haipoi wala haiboi.
 
What does mandhari has to do with City Development and being vibrant?
 
Nyinyi ndio mapopoma na malimbukeni wa vitu vya kipumbavu, nenda nchi za Scandinavia hazina maghorofa marefu wala maghorofa mengi lakini miji inapendeza kwa kuwa na manshari safi, ndio maana hapo Dodoma mabilions ya dollars yamewekezwa hapo na serikali lakini ukija kwa ground unaona changes ndogo na bado hali ya hewa ya ukavu ni changamoto.
 
Sasa Mwanza Kila hakuna kitu si pesa si magorofa 😂😂
 
Sasa Mwanza hakuna kitu si pesa si magorofa 😂😂
Gdp inaongea na kama utaendelea kuamini zile takwimu za maghorofa utakuwa ni hamnazo, Mwanza haina mpinzani wa kila kitu nje ya Dar labda sekta ya utalii tu,ukiona takwimu sijui Mwanza ni ya tano sijui ya tatu hizo takwimu si za kuamini.
 
na bado hali ya hewa ya ukavu ni changamoto.
vp unataka tujadili hali ya hewa😂😂😂 tuache mipangomiji,maghorofa,miundombinu,huduma za kijamii,mapato(tra+halmashauri),miradi inayojengwa+ inayotarajiwa kujengwa,uwekezaji wa serikali+binafsi n.k 😂😂.Kama ndio hivyo basi Dubai haifiki hata robo ya Lushoto,Njombe,Makete,Mafinga 🤣🤣
 
Hakuna kitu kati ya hivyo ulivyotaja dodoma ikaizidi Mwanza labda majengo ya wizara na taasisi tu kingine ni umaskini uliotukuka na ongezeko la matonya.
 
Ukitumia moyo utaona haiizidi ila ukitumia akili Arusha Iko mbele sana Kwa Mwanza.

Hivi ukiona hii video unaamini hapa ni Arusha au Ulaya? Kuna Mwanza ya hivi? 👇👇
View attachment 3414118
Twende mbele turudi nyuma, mwanza ni mji mkubwa sana kuliko Arusha. Hilo kunari ukatae lakini ukweli ndio huo. Arusha inaizid mwanza kwa kua na maghorofa marefu zaidi, lakini ukiwa katikati ya mji wa mwanza unafeel upo mjini kweli. Tofauti na Arusha ambapo barabara zimejengwa lakini watembea kwa miguu wamesahaulika.
Pia usafi, mji wa Mwanza umesima vizuri. Arusha kuna jengo la mambo ya utamaduni pale limejengwa kama ngoma, pembeni kuna kamto...
 
Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
 
ChoiceVariable huwezi pata mandhari kama haya hapo jangwanj
20250717_144306.jpg
 
Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Nipo hapa posta ba
Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Nipo Mwanza na mwezi wa tano nilikua Arusha. Sema umedandia treni mbele
 
Back
Top Bottom