Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ndio shida ya kubishana na MEMKWA naona kilasiku unajitoa ufahamu ili kujifariji😂😂...hapa tunalinganisha jiji la Dom vs Jiji la Mwanza hatulinganishi mkoa wa Dodoma na Mkoa wa Mwanza (wenye halmashauri 8)...JF ni user friendly so unaruhusiwa kuanzisha thread yako nyingine ya kulinganisha mikoa kwa vigezo vyako vya kuchekesha mfano hali ya hewa😂😂 badala ya mapato ya TRA n.k
Hata mwanafunzi wa darasa la sita anajua tofauti ya "Jiji" na "Mkoa"
 
theory ya demand and supply.Population na density aiwezi kuwa sehemu ambayo
Nani kakudanganya😂😂...kwa taarifayako population kubwa bila mipangomiji,miundombinu,huduma bora za kijamii ni proper indicator ya umaskini na slums mfano mzuri ni Mwanza Jiji.
Jiji la Mexico City wana population ya zaidi ya watu milioni 20 na kufanya kuwa jiji lenye population density kubwa kuliko yote North America lakini ukilinganisha uchumi wa Jiji la Los Angeles Marekani lenye population ya watu milioni 4 tu ni zaidi ya uchumi wa nchi yote ya Mexico .
 
View attachment 3416854
Visit overhyped UDOM😂😂🤡
Huoni aibu ...Uwezo wa enrollment+capacity ya UDOM ni sawa na vyuo vyote vikuu sio tu Mwanza hadi vya Kanda ya Ziwa😂😂.
UDOM kuna majengo ya maghorofa karibia 200, Udom ndio chuo pekee Afrika ambacho mwanafunzi ana uhakika wa malazi 100%.
UDOM imeanza juzijuzi tu haina hata miaka 20 lakini kwa sasa ipo kwenye top five ya vyuo bora Tanzania....wakati Mwanza wao kilasiku wanalalamika Serikali kupendelea Dom😂😂 👇👇

 
Wewe kilaza Mexico city hiko 🇲🇽 na Los Angle ni USA 🇺🇸 hakuna free movement kama ingekuwa nchi moja population na density kubwa ingekuwa Los Angeles.Mexco city ndo capital and business city ya Mexico 🇲🇽.Tofauti kabisa na Mwanza na Arusha au Dodoma.Population kubwa inafata mahala penye malisho bora brother.Hata kichaa huwa anakimbilia mjini.
 
Wewe ni moroni ...Jiji ni sehemu ya mkoa ... Na Jiji ndo sura ya mkoa ,tunaposema Dodoma ni maskini tunaangalia na sura ya Jiji lake pia ....
 
Jimbo la California Marekani ambapo Jiji la Los Angeles (population ya 4 milioni)linapatikana ndio linaendesha uchumi wa Marekani kuliko hata Jiji la New York lenye wakazi zaidi ya milioni 15....👇👇

 
Wewe ni moroni ...Jiji ni sehemu ya mkoa ... Na Jiji ndo sura ya mkoa ,tunaposema Dodoma ni maskini tunaangalia na sura ya Jiji lake pia ....
Mkoa wa Dodoma una halmashauri 8 ..Dom CC,Kondoa DC,Kondoa TC ,Chemba,Bahi,Chamwino ,Kongwa na Mpwapwa. Hii thread inahusu Dom CC sio Dom RC. Kaanzishe thread yako nyingine kulinganisha kila halmashauri tutakuja kuchangia😂😂
Unatumia smartphone alafu hujui mpangilio wa local government kwa Tanzania....duuh pathetic
 
Hivyo ivyo na Tanzania uchumi unaendeshwa na Dar,Mwanza na Mbeya.Kumbuka.Hata hivyo uchumi wa Tanzania unategemea nguvu kazi tofauti na USA ambako uchumi wake unategemea technolojia zaidi.Kwahiyo Tanzania watu wengi ndo uzalishaji.
 
Hiyo thread kaanzishe wew ..kwanza hapa ni uzi wa CBD vs CBD ...hizo habari za Jiji wew unaziweka za nin
 
Data hazitumiki kufanya itimisho .Data ni number tu ila calculated information ndo utumika kufanya itimisho.Calculation information ni kama GDP,per capita income na individual life standard.Sasa wewe na Dodoma yako jipime huko eneo gani hapo.
Unachekesha sana aisee kama Data hazitumiki kufanya hitimisho basi hata idadi ya majiji Tanzania ingebakia ni moja tu kwa Dar tangu tupate Uhuru isingeongezeka mpaka kufikia majiji 6 mpaka sasa.
Vigezo vinavyotumika duniani kote ni kama hivi👇👇
👉Mapato (halmashauri+TRA)
👉Ubora wa mipangomiji
👉Mtandao mpana wa barabara za lami
👉Ubora wa huduma za kijamii mfano Vyuo Vikuu
👉Ubora wa miundombinu
👉Uwekezaji
👉Maghorofa
👉Viwanda
👉Miradi mikubwa inayojengwa na inayotarajiwa kujengwa
👉Uwepo wa taasisi nyingi za Serikali
👉Uwepo wa taasisi na mashirika ya kimataifa

N.k
Ukipima hivi vigezo utakuta Dom na Mwanza ni mbingu na ardhi. Kitu pekee Mwanza wanaizidi Dom ni idadi ya watu na samaki 😂😂
 
Hiyo thread kaanzishe wew ..kwanza hapa ni uzi wa CBD vs CBD ...hizo habari za Jiji wew unaziweka za nin
Rudi shule wewe MEMKWA...umewahi kuona hata sikumoja humu tunachangia habari za halmashauri ya Buchosa,Kwimba,Magu,Misungwi,Sengerema au Ukerewe😂😂.
Content na context ya hii thread ni Jiji la Dom na Mwanza .Unaruhusiwa kwenda kuanzisha thread yako nyingine ya kulinganisha kila mkoa au kila halmashauri 🤣🤣
 
Hiyo thread kaanzishe wew ..kwanza hapa ni uzi wa CBD vs CBD ...hizo habari za Jiji wew unaziweka za nin
Rudi shule wewe MEMKWA...umewahi kuona hata sikumoja humu tunachangia habari za halmashauri ya Buchosa,Kwimba,Magu,Misungwi,Sengerema au Ukerewe😂😂.
Content na context ya hii thread ni Jiji la Dom na Mwanza .Unaruhusiwa kwenda kuanzisha thread yako nyingine ya kulinganisha kila mkoa au kila halmashauri 🤣🤣
 
Soma uzi vizuri.kisha unambie na hapa ni dodoma mkoani👇
Uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…