Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

hebu tuangalie hivi vigezo tuone 👇👇
👉MTANDAO MPANA WA BARABARA ZA LAMI(Kwa Mwanza tatizo la barabara ni la miaka nenda rudi tangu Mwanza itangazwe kuwa jiji mwaka 2000 mpaka leo barabara ni changamoto hata barabara zinazoingia citycentre ni finyu na kusababisha msongamano wa magari) Ukija kwa Dom hawa wamependelewa lami ni kila kona na bado wanazidi kujengewa nyingine mfano RingRoad ..ukifika city center barabara zisizo na lami unazitafuta kwa tochi
👉UBORA WA MIPANGOMIJI ...hili halina ubishi kwa Tanzania hii hakuna mji wowote uliojengwa na kupangiliwa vizuri kama Dodoma. Ukifika Mwanza ukitoa Kapri Point mitaa mingi iko hovyohovyo tu mfano Mabatini mpaka unajiuliza hivi huku hakuna Idara ya Mipangomiji
👉MAGHOROFA+SKYSCRAPERS ...Dom wamewazidi mbali sana kwa sasa Mwanza ,Idadi ya maghorofa ya UDOM na Magufuli City pekeyake ni sawa na idadi ya maghorofa ya Mwanza City Centre na hapo bado sijakutajia maghorofa mengine ya Serikali pale Tambukareli NCC,ya Medeli,ya Kisasa,ya Ilazo,ya Miyuji Proper,ya Kilimani(Kwa Waheshimiwa), ya City Center,ya One-Way Mji Mpya n.k.
👉UWEPO WA TAASISI+MASHIRIKA MENGI YA KITAIFA NA KIMATAIFA ..Ukitoa Dar jiji linalofuata ni Dom

Kwa ujumla kitu pekee Mwanza wanaizidi Dom ni population hilo halina ubishi
Population yenyewe Sina hakika kama kufikia 2025 Bado Mwanza itakuwa mbele ya Dom Kwa sababu population growth ya Dom ni zaidi ya 3.9% wakati huko Mwanza is Slum hata 2.5% haipo.

Kiufupi ni kwamba hakuna mtu anahamia Mwanza Kwa vile hakuna fursa watu wanaenda Geita.
 
Weekend iliyopita nilikuwa hapo Dodoma, lakini hamna maajabu niliyoona badae nikaelekea daslamu ule mji nao asilimia kubwa sehemu nilizotembelea ni harufu za chemba kwa kwenda mbele, itoshe kusema Mwanza ni pazuri sana.
Ulikotoka ukiona maajabu gani? 😂😂

Kwamba Kuanzia Mji wa Serikali hai City Centre hujaona kitu ukilinganisha na miaka 2 iliyopita?

Mbona Mimi nimeona Km zote 25 zinaota majumba pande zote tofauti na ilivyokuwa miaka 2 iliyopita?

Hujaona hata ujenzi wa malls kama 3 hivi ?

Acha porojo Mzee
 
Haka kamji ni hovyo sana hakanaga jipya , hakabadiliki picha hizi ni zile zile all over 😂😂

Naona slums tuu kule background 😁😁
Wivu ni mbaya sana ..
Unayasema ukiwa kwenye vumbi na upepo wa baridi kavu ...ngozi imepauka
img-20250301-wa0007-1-jpg.3421300
IMG-20250302-WA0000.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250301-WA0007(1).jpg
    IMG-20250301-WA0007(1).jpg
    41.8 KB · Views: 62
Naona Unaumia Ukiwa kirumba slum 😆😆😆😆

Dodoma inajengwa na Serikali 😂😂
Subiri waje kukwambia eti maghorofa yote ya Dodoma yamejengwa na Serikali....ukiwauliza kwamfano hivi ile mitaa ya kibiashara ya One-Way Serikali imejenga yale maghorofa!!?🤣🤣
 
Subiri waje kukwambia eti maghorofa yote ya Dodoma yamejengwa na Serikali....ukiwauliza kwamfano hivi ile mitaa ya kibiashara ya One-Way Serikali imejenga yale maghorofa!!?🤣🤣
Vijighorofa vya one way hata kahama vipo ....hamna ghorofa za maana ...
 
Mwanza ni mbaya na imedumaa.

Kuna hata shopping mall hata huko?

Mwanza imedumaa au Mwanza ya nchi gani au Mwanza ya Malawi 🇲🇼 kwasababu nako kuna Mwanza 🤣🤣🤣Dodoma fikeni hapa kwanza alafu ndo uwe mwanzo wa kuchonga midomo ila sio hivyo vighorofa kama vya nyegezi pekee.
mwanza-city-tanzania-3d-model-25km-01.jpg
Screenshot_20250411_172842_Chrome.jpg
IMG-20240822-WA0003.jpg
ad2bf732672fdaec0c7c89b90b72d0ed.jpg
85663375.jpg
78156099.jpg
 
Shida yako unataka tukuchambulie jengo moja moja kama Dodoma mnavyofanya kwa Mwanza haiwezekani majengo mapya ni mengi kila mtaa.Hiyo kazi ya kuokota okota tunawaachia nyinyi.
Skyline ni majengo Yale Yale.

Kiufupi Mwanza imedumaa watu wanakombia huko hakuna ishu.
 
Back
Top Bottom