We mzee Masare ...mwanza unasoma kwenye magazeti ukiwa mavumbi town hapo ....
Barabara ulizotaja zote zina lami na nyingine zinamaliziwa kuwekewa lami ... barabara ya Buhongwa kishiri ni lami ,Igoma to kishiri lami ipo asilimia 90 ..
Airport to kabangaja via igombe ujenzi upo asilimia 40
Barabara ya mkuyuni to Nyakato mkandarasi yupo site
Barabara ya nyamhongolo stendi to buswelu ujenzi asilimia 95
Barabara ya Igoma to buswelu ujenzi upo asilimia 60
Barabara ya veta via buswelu to mhonze tx Inakutana na barabara ya airport igombe ipo asilimia 90
Barabara za mitaa kirumba new CBD km 3 ujenzi upo kasi
Hapa nazungumzia km zaidi ya 50 zinapigwa lami sasa hv kitu ambacho kwa jiji la mwanza na geographia yake ni hatua nzuri.hapa sijaongelea barabara za lami nyepesi kila kata wilaya ya nyamagana....
Hapa tunapoongea mkandarasi wa ujenzi wa barabara njia nne km 25 pamoja na pedestrian overpass ameshapatikana na kazi ya awali ya ujenzi wa daraja la mkuyuni na mabatini pamoja na upanuzi wa barabara unganishi unaendelea
MWANZA IS HOTTER THAN EVER BEFORE
chini ni picha ya barabara baadhi nilizotaja .kama barabara ya Igoma kishiri, barabara ya buswelu nyamhogolo stendi na barabara njia nne wilaya ya misungwi
View attachment 3422729View attachment 3422730View attachment 3422731