Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hana interest na ujinga wenu wa kina Mwendazake,kwao ni Zanzibar hawezi hangaika na kuendelea sehemu kama yule marehemu wenu aliyeshindwa kuwapa hata maji akawa anawajengea madaraja.
Tunalijua hilo ndo maana uwezi sikia watu wa Mwanza wanalalamika kuhusu changamoto zao kama huko kwingine zaidi ya kupambana nazo.Wewe unapiga domo ukiwa huko jangwani hata nikikwambia umuhimu wa daraja la jpm uwezi kunielewa.
 
Mwanza nayo imedumaa.Geita ,Mbeyana Dom zinakuja kasi.
Kama mnadangaywa na mipango wa system kwamba Mwanza imedumaa na kutaka kuipoteza kabisa mnapoteza muda.Saizi ni mwaka mzima tangu wafunge bara bara za kuingia na kutoka kwa kisingizio cha kujenga vidaraja viwili mkuyuni na mabatini,sasa kawaulize wanamwanza wamepungukiwa nini na wao wamefaidika nini.
 
Mipango ipi wakati namba zinaonekana?
 
Mwanza nayo imedumaa.Geita ,Mbeyana Dom zinakuja kasi.
Tuanzie kwanza hapa
IMG-20250720-WA0014.jpg
 
Hum ndani watu wanamakasiriko, haya nikina nan hao wanaoichukia Mwanza kiasi cha kuihujumu😅
 
Hum ndani watu wanamakasiriko, haya nikina nan hao wanaoichukia Mwanza kiasi cha kuihujumu😅
Malalamiko ya Mwanza sikuzote eti kwanini Serikali inapendelea makao makuu Dom utafikiri huko Mwanza kuna Serikali ya Burundi...😂😂
 
Hum ndani watu wanamakasiriko, haya nikina nan hao wanaoichukia Mwanza kiasi cha kuihujumu😅
Kaiulize serikali kwamba ni nani aliyeamisha hela ya ujenzi wa barabara ya kamanga ferry to sengerema na Sengerema to nyehunge wakati mikataba imeishasainiwa na mkandarasi yuko kazini???Na kwanini ujenzi usitishwe bila taarifa nakuacha mavifusi ya udongo katikati ya barabara??
 
Malalamiko ya Mwanza sikuzote eti kwanini Serikali inapendelea makao makuu Dom utafikiri huko Mwanza kuna Serikali ya Burundi...😂😂
Wao mbona walipewa priority miaka yote hyo hakuna aliyelalamika wala kukosoa? Wanataka wao siku zote wawe main character 😅
 
Wao mbona walipewa priority miaka yote hyo hakuna aliyelalamika wala kukosoa? Wanataka wao siku zote wawe main character 😅
[/QUOTE
Kaka kwanza nakupinga Mwanza haijawahi kuwa main character nchi hii, Pili ni mjinga tu ndie atakaebeza mji wake mkuu kuendelezwa, Tatu hakuna kitakacho athirika Mwanza kwa Dom kuendelezwa kua makao makuu sana tumerahisishiwa ukipanda Satco saa 12 asubuhi saa 11 jion upo Dom tofauti na ilivyokuwa kwa Dar, Hayo hayaondoi ukweli kuwa kuna mambo hayapo sawa huku Mwanza, Ujenzi uwanja wa ndege ulisainiwa upya baada ya kuchukua pesa za halmashauri ya jiji la Mwanza na Ilemela hakuna kilichofanyika sana sana wanajenga uzio kisehemu kidogo tu cha Uwanja, Ukamilishwaji wa ile five star hotel mpaka leo haieleweki, Barabara Nyehunge sengerema alikuja Kasekenya watu wakasain Hakuna kilichofanyika, Ujenzi Campus ya IFM kule PPF ni magofu mpaka leo, Ujenzi chuo cha Ardhi Campus ya Mwanza pale Kamanga nako chenga, Upanuzi Barabara kuu ziingiazo Mwanza japo tuliaminishwa upembuzi ulishakamilika na Mradi utaanza nako chenga, Mradi wa SGR nao chenga, n.k.
Japo tunashukuru walau Daraja la KIGONGO_BUSISI Mama kalizindua juzi sasa tunapita bila kikwazo chochote na Pesa za ufugaji wa Vizimba vijana wanapambana maisha yanaenda.
 
Hana interest na ujinga wenu wa kina Mwendazake,kwao ni Zanzibar hawezi hangaika na kuendelea sehemu kama yule marehemu wenu aliyeshindwa kuwapa hata maji akawa anawajengea madaraja.
Chuki zitakuua mjinga kweli wewe ,,mwanza ni moto wa kuotea mbali maghorofa yanajengwa na Leo nimeongea na fundi Kuna gorofa 25 zitajengwa CBD😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom