ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Taarifa Haina maelezo tofauti na niliyoyasema.View attachment 3431131
Soma hyo report....... mwanza inakabana koo na watoto wa mama Samia ..dar na Dodoma....
Taarifa Haina maelezo tofauti na niliyoyasema.View attachment 3431131
Soma hyo report....... mwanza inakabana koo na watoto wa mama Samia ..dar na Dodoma....
Miji yote imetajwa kwenye 100% lakini Dom imetajwa kuwa na bei ya JuuEti vibrant city...dar iliyotajwa sio vibrant au
Unatumia kigezo gani kusema Mwanza inadumaa, ungesema kwa data ningekuona bora zaidi kuliko kupayuka kama kasuku.Mwanza inadumaa.
Mikdde asione hii maana bwana masare hatopata usingizi 😂😂😂😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DM9i3fcIgUZ/?igsh=cGR6YWt6Z3R0enht
My Take
Ni suala la mda tuu hapo Dom inatoka kwenye hiyo list.
Mjumbe hauwawi 😂😂Hakuna mtu mnafiki kama wewe🤣🤣🤣🤣 wewe ni panya buku unauma na kupuliza, kuna ile kauli yako huwa naipenda sana kuwa pesa za Mwanza na Mbeya ndio zinatumika kujenga Dar, Dodoma na Arusha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio Kwa sababu ya demand Bali ni Kwa sababu hakuna Ardhi Kila sehemu ni Mawe na maji ndio maana hakuna viwanda vinavyojengwa huko.Huwezi pata kiwanja cha bilioni 4 Dodoma city center
Maana halisi ya mipangomiji Dom ...👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DM_RfbqMB73/?igsh=bzZrb3R5MDAyZTE2
Una miaka mingapi ?Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Umefata nini kwenye thread ya watoto wadogo na wewe ni mtu mzima mwenye mvi adi kwenye makwapa.Una miaka mingapi ?
Mbona mnafanya ulinganifu wa kitoto sana
Jf expert memberUmefata nini kwenye thread ya watoto wadogo na wewe ni mtu mzima mwenye mvi adi kwenye makwapa.
Kuna thread nyingi unaweza kuchangia sio mpaka uzi huu tu, au unataka tu discuss habari za lisu.Jf expert member