Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unakalia mipango miji watu wenu wakitopea kwenye lindi la umaskini
Kama mji wa Dodoma ni maskini inakuaje tena unashika nafasi ya pili Tanzania nzima kwa mapato ya ndani ya Halmashauri...😂😂👇👇
mipango miji bila natura attraction ni sawa na kidani cha dhahabu kwenye pua la nguruwe
Kama kwako natural attractions ndio kigezo chako basi Lushoto ingeshakuwa Jiji tangu tupate Uhuru...😂😂
 
Masare mabangi anasema mwanza hamna barabara...😁👇hii ni barabara ya mtaa ya urefu km 9 kutoka nyamhongolo hadi buswelu ..
Manispaa ya ilemela

View: https://www.instagram.com/p/DL3HZ9VoVa0/?img_index=3&igsh=cnhmYWZpajNzaWpj

Unachekesha sana aisee....Tanzania hii hakuna mji wenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dom na kilasiku wanazidi kupendelewa kuongezewa kilomita za kutosha. Kuna makampuni ya ujenzi wa barabara mfano AVIC (waliojenga ring road)kwa sasa ni kama yamehamia Dom baada ya kupata tenders nyingine ikiwemo barabara ya kwenda kwa Naibu Waziri Mkuu 5 km, barabara ya UDOM junction hadi Ntyuka nyuma ya Jeshi over 10 km n.k

Bado Dom wanazidi kuongezewa kilomita za kutosha tena👇👇

Sio Kwa sababu ya demand Bali ni Kwa sababu hakuna Ardhi Kila sehemu ni Mawe na maji ndio maana hakuna viwanda vinavyojengwa huko.

Hali hii ndio inasababisha Mwanza kidumaa,Inaelekea njia ya Moshi.
Endelea kulia .... mwanza ingekuwa imedumaa isingesajili uwekezaji wa trilioni 1.5 mwaka 2024 you dumbass
Screenshot_20250720-182859.png
 
Kama mji wa Dodoma ni maskini inakuaje tena unashika nafasi ya pili Tanzania nzima kwa mapato ya ndani ya Halmashauri...😂😂👇👇

Kama kwako natural attractions ndio kigezo chako basi Lushoto ingeshakuwa Jiji tangu tupate Uhuru...😂😂
Mapato ya maduhuli nayo yana hakisi maendeleo ya watu, maujenzi ya majengo ya wizara, taasisi na ofisi za kiserikali na manunuzi ya viwanja kipindi cha awali ndio mapato yenu yanatokana na hayo mambo, hamna fursa nyingine, hata kahama imechangamka kuliko hapo mavumbi city.
 
Bado hujajibu swali unaleta porojo....huko mwanza kwenye matajiri inakuaje tena wanazidiwa na jiji la Dom karibia marambili kwenye mapato na makusanyo yote ya TRA na Halmashauri😂😂😂👇👇

Bado hujajibu swali unaleta porojo....huko mwanza kwenye matajiri inakuaje tena wanazidiwa na jiji la Dom karibia marambili kwenye mapato na makusanyo yote ya TRA na Halmashauri😂😂😂👇👇

Weka mapato ya TRA hapa acha ujinga
 
Haya mambo ya kwenye makaratasi tu.
Endelea kujifariji tu😂😂👇👇👇

Back
Top Bottom