Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Subiri waje kukwambia eti Dom hakuna kilimo,hakuna mvua ni jangwa tupu😂😂....Cha kushangaza sasa zao moja tu la Zabibu linalisha Tanzania nzima hadi nchi za jirani ukienda Nairobi Zabibu zote zinazouzwa mtaani zinatoka Dodoma
Hizo sabibu zinalingana thamani na dhahabu?
 
Wewe MEMKWA huwa unajitoa ufahamu sometimes aisee ....unatupa kazi ya ziada kukupatia maarifa .
Kwa kukusaidia tu 👇👇

Unataka kusemaje hapa wewe tahira
 
Hizo sabibu zinalingana thamani na dhahabu?
Unajitahidi kubadilisha topic kuhamisha magoli...hapa tunaongelea kilimo hatuongelei madini na hata hayo madini kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka GST na Wizara ya Madini mikoa ya Dodoma na Lindi ndio inaongoza Tanzania.
Ngoja nikusaidie tu kukupa maarifa ya bure👇👇

 
mwanza ya moto
 

Attachments

  • FB_IMG_1754763182470.jpg
    FB_IMG_1754763182470.jpg
    335.8 KB · Views: 29
  • FB_IMG_1754763097270.jpg
    FB_IMG_1754763097270.jpg
    51.7 KB · Views: 25
  • FB_IMG_1754763100983.jpg
    FB_IMG_1754763100983.jpg
    69.7 KB · Views: 26
  • FB_IMG_1754763109777.jpg
    FB_IMG_1754763109777.jpg
    60.5 KB · Views: 29
  • FB_IMG_1754763127365.jpg
    FB_IMG_1754763127365.jpg
    70.8 KB · Views: 24
Residential Property kama hizi mwanza zinajengwa na private sector.. Dodoma na serikali ya mama
dalali_mwanza_tz-___3614873728214721153_9262501578___--7.jpg
dalali_mwanza_tz-___3614873728214721153_9262501578___--4.jpg
 
ChoiceVariable kwa hii Dodoma mnawezaje kuishi na huu upepo+ vumbi?
Ebu tutajie barabara za vumbi Dodoma alafu tulinganishe na za Mwanza ...Idadi ya km zote za barabara moja tu ya Dom Ring Road ni sawa na idadi ya km zote za lami kwa Mwanza City Centre 🤣🤣.
Kwa mujibu wa TANROADS Mwanza kwa sasa haifiki hata asilimia 30 ya ubora wa Dom kwenye mtandao mpana wa barabara za lami, ndiomana kilasiku Mwanza wanalalamika upendeleo wa DomDom.
 

Haishangazi kuona hadi miji ya nje ya nchi kuja kujifunza Dom ....sasa Mwanza nani aende kumejaa slums+barabara mbovu+hakuna mipangomiji yaani mtaa wenye afadhali angalau Kapri Point kwingine kote hadi unajiuliza huku hakuna Idara ya Mipangomiji 🤣🤣🤣👇👇


View: https://www.instagram.com/p/DMQLU-yKhJU/?igsh=MTFjMWw3ZzNqbzk5bA==
 
Back
Top Bottom