Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Miaka ya hivi karibuni Viwanda vingi vimejengwa Dodoma ila sijawahi ona kiwanda kipya huko Mwanza 😆😆
Screenshot_20250720-182859.png

Hakuna viwanja vipya vinajengwa ila trilioni 1.5 zimewekezwa
 
View attachment 3435686
Hakuna viwanja vipya vinajengwa ila trilioni 1.5 zimewekezwa
Uwekezaji wa maduka sijui office space za retails havina far reaching effects kwenye Uchumi.

Kodi inayolipa kiwanda kimoja tuu Cha Intracom inaweza meza retail shops hata 500.

So don't be obsessed na office space investments hazinaga maana sana kiuchumi.
 
Wapi wameandika office space investment
 
Akili hauna au unajitia uchizi, hayo ndio mapato ya TRA, yaani kuvuka lengo ndio mapato ya TRA.
Wewe MEMKWA huwa unajitoa ufahamu sometimes aisee ....unatupa kazi ya ziada kukupatia maarifa .
Kwa kukusaidia tu 👇👇

Huku wadau wanajenga wenyewe bila kelele za mbuzi kama hizi.
Vp Wadau huko ndio wamejenga JPM kigongo-busisi daraja, soko kuu ,mradi wa meli mv mwanza,upanuzi wa hospitali ya sekou toure, mradi wa maji butimba n.k 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom