ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mwanza inachafua Uzi ,size yake ni Mbeya.Si huwa mnasema watumishi wanahamia Dodoma..vip tena 😁
Dom HQ 🔥 🔥
View: https://www.instagram.com/p/DNk9fJmCpcM/?igsh=NDhvdHJjd2cwaHhs
Mwanza inachafua Uzi ,size yake ni Mbeya.Si huwa mnasema watumishi wanahamia Dodoma..vip tena 😁
HQ itajengwa mwanza au ni mambo ya Dar na Dodoma?SERIKALI KUVUNA 20% MKATABA WA NYONGEZA NA NYANZAGA
Leo tarehe 20 Agosti, 2025 Serikali na kampuni ya Nyanzaga Mining company limited wamesaini Makubaliano ya nyongeza kwa ajili ya uchimbaji mkubwa wa madini aina ya dhahabu kupitia kampuni ya ubia ya Sotta Mining corporation limited.
Akizungumza na wananchi kwenye hafla ya utiaji saini katika kijiji cha Sota-Igalula Wilayani Sengerema, Waziri wa Madini Mhe. Anthoy Mavunde amesema nyongeza hiyo ya makubaliano ya hisa zisizofifishwa utaongeza hisa 4% kwa serikali kutoka 16% hadi 20% huku hisa za mwekezaji zikishuka kutoka 84 hadi 80% kutoka katika mkataba wa awali.
Mhe. Mavunde amesema uwekezaji kwa ujumla ni wa zaidi ya Tshs. Trilioni 1 na kwa kupitia nyongeza hiyo serikali itanufaika na nyongeza ya kodi kutokana na faida ya kiuchumi ya uchimbaji na kwa kupitia miradi miambata pia serikali itanufaika na kodi, tozo, mirabaha, na ushuru mwingine wowote utakaowekwa na wakala wa serikali.
“Mchango wa sekta ya madini katika pato la taifa kwa sasa ni asilimia 10.1 kwa kipindi cha mwaka mmoja kabla ya muda uliopangwa, Makusanyo yote ya Maduhuli kwa 2015/16 yalikua ni Bilioni 162 lakini tarehe 30 Juni 2025 tumeingiza Trilioni 1.7 sawa na asilimia 103 ya lengo na tuna akiba kubwa ya dhahabu ya tani 8.7 iliyokusanywa ndani ya miezi 9 pekee na tayari tuna viwanda 8 vya kusafisha madini ya dhahabu kwa viwango vya 99.9.” Mhe. Mavunde.
Naye, Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema kupitia mgodi huo maisha ya wananchi wa sengerema na Mwanza kwa ujumla yatainuka kiuchumi na kusaidia uchangiaji wa pato la taifa kwa wastani wa kutoka 7.5% ya sasa hadi 10% ikiwa ndio malengo ambayo mkoa umejipangia.
Mkurugenzi wa Kampuni tanzu ya Perseus Mining na Nyanzaga Co Ltd. Bi. Liame De brune ameahidi kuwa kampuni ya Nyanzaga itafuata sheria na taratibu zote za nchi katika kuhakikisha mradi unasonga mbele kwa maslahi ya pande zote mbili na kwamba wana imani kuwa dhahabu ya kwanza itapatikana katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2027.
View attachment 3447203
👉👉Dodoma ni mji mzuri tangu ulivyoanza kupangiliwa enzi za Nyerere....hakuna mji wowote Tanzania unaofikia hata nusu ya ubora wake kwenye mipangomiji +miundombinuDodoma utakua mji mzuri sana baada ya miaka 5...
Ila kuna uwezekano ukadumaa baada ya majengo ya serikali kukamilika...
Jiji linalokua naturally kama Mwanza au Mbeya huwa hayazuiliki...
Wazee
Dom skyline
Clean
Well planned
Tall buildings
View: https://youtu.be/dhH_-osKSI8?feature=shared
Vs
Mwanza scrapper 😂😂👇
View attachment 3449965View attachment 3449966
Hapo Kuna nini Cha ajabu zaidi ya filter?Japo umetumia picha za miaka 15 iliyopita ..bado mwanza imeicharaza mavumbi city viboko..
What mwanza looks like now,👇View attachment 3450313View attachment 3450314View attachment 3450315