Huko Mwanza ni mji wa Burundi au Rwanda....🤣🤣mji wa mama samia
Huko Mwanza ni mji wa Burundi au Rwanda....🤣🤣mji wa mama samia
Siku Dom ikiwa dormant na Mwanza is Slum itakuaje dampo Sasa 😂😂Tumewachoka Kila siku picha zile zile za mji wa mama samia na marehemu magufuli..Dodoma is dormant dusty town .. nothing new to offer zaidi ya majengo ya mama samia
If Dodoma is dormant ...how comes then is mentoring other cities from even developed countries in terms of proper urban planning,excellent infrastructures, revenue quality etc 😀😀😀👇👇.In Mwanza the only attribute to learn is overpopulation🤣🤣🤣Tumewachoka Kila siku picha zile zile za mji wa mama samia na marehemu magufuli..Dodoma is dormant dusty town .. nothing new to offer zaidi ya majengo ya mama samia
Unaangalia jangwa au content?mbona jangwa
Sekta ya Umma Ina Watumishi wachache kuliko sekta bibfsi.Si huwa mnasema watumishi wanahamia Dodoma..vip tena 😁
Cc masareMsaada tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, nahitaji kuanza makazi maeneo yaliyo kati na kati baina ya Nzuguni na Miyuji ambapo hata usafiri kuelekea sehemu hizo mbili utakuwa wa uhakika na nauli yake bei rafiki