The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Dom baaab kubwa 👇Ungenambia Dodoma inakuja kwa kasi ningesema sawa kuanzia kule Mkonze uannze kurudi town huku njoo hadi Nkuhungu hapo sawa ila kwa sasa Dodoma ifananishe na Mbeya wanaweza match kwa Mwanza bado sana