Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huwezi ona international artist anakwenda dodoma,atapata hasara..
 
Siku Mwanza mkifika hapa ndio mje kujikinganisha na Dom 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220908-140619.png
    191.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220908-140644.png
    37.4 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220908-140542.png
    164.6 KB · Views: 11
Mwiba mkali sana kwa Mwanza huu mkiona lazima mjambe ushuzi wa michembe 🤣🤣

Dom the Capital City 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220908-140143.png
    116.8 KB · Views: 12
Tunaproject ya billion 700 inaendelea, tubabaike na proect ya billion 500 kwa lipi yaani? Ndio maana tunakwambia unanuka ushamba na ulimbukeni juu
Bil.700 zinaishia kwenye kadaraja,wananufaika Wachina..

Project ya Bil.500 inatandaza barabara njia 4 km 120,vituo vya Afya 4,kupanda miti,miradi ya maji 4 nk

Wapi watanufaika zaidi? Ipi itakuza uchumi zaidi Kati barabara na daraja 1?
 
Bil.700 zinaishia kwenye kadaraja,wananufaika Wachina..

Project ya Bil.500 inatandaza barabara njia 4 km 120,vituo vya Afya 4,kupanda miti,miradi ya maji 4 nk

Wapi watanufaika zaidi? Ipi itakuza uchumi zaidi Kati barabara na daraja 1?
Daraja linajengwa Ghuangzhou?
 
Sasa mkonze unaweza ilinganisha na buhongwa,nyashishi,usagara,buswelu,nyamhongolo au kisesa aisee utakuwa na kichaa
 
Ni tembo mweupe asiye na maana,Wala halitapunguza umaskini wa Mwanza na hapo Sengerema Makao Makuu ya umaskini.
We jamaa mshamba ...daraja la kigongo linaboresha east Africa transport corridor..inaunganisha route ya kutoka Kenya , kwenda Uganda ,Burundi na Rwanda ....
Hii ni route muhimu sana hasa muda huu mwanza inapoelekea kuwa great lakes hub .. biashara zote za maziwa makuu zinaanzia mwanza
 
Kule sahv watu wanawekeza sana balaa barabara ya kigongo usagara watu wanajenga mnoo ikiwemo masheli na mashule pamoja na viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…