Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hapo hujaiweka kanyerere, bugarika,kisesa,kakebe na kishiri...hii mitaa ndo size ya kisasa ,area d na nkuhungu amabayo ndo mitaa ya kidosi hapo Dom ...
Dom mtaa unaojitutumua kidogo ni uzunguni kwingine ni hamna kitu
Tunataka picha acha porojo za kindezi..

Dodoma ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • 375309285.jpg
    375309285.jpg
    91.7 KB · Views: 20
Morogoro gani mkuu dah. Hakuna mji usiokua na kufubaa kama Moro. DODOMA inapitwa na Dar, Mwanza na Arusha tu kwa sasa, labda kama mtu hajafika hivi karibuni!
Kwa sababu ya ujenzi wa mabati mekundu na blue ule ama kipi cha ajabu Dodoma?
 
Unakuta mtu anasifia maghorofa ya wenzake yaliyoko Mwanza mara Dodoma ukimwuliza ya kwako ni mangapi? Siyo povu hilo. Vijana tufanye kazi ubishi mwingine hauna faida .
Unafikiri ghorofa ni kama mkundu kila mtu anazaliwa nao eeh? Kuwa kiakili kwanza fala ww.
 
Mwanza ni jiji la watu kazi....self made money, hustlers...mji unakuwa kwa jitihada za watu binafsi wenye mapenzi na mji wao.....

Dodoma ni serikali tu pale, ni kama mtoto wa kitajiri anayepewa kila kitu..still bado anasuasua....Dodoma inakazimishwa kukua..kama artificial growth....Dodoma wengi wanaoenda kule ni kwa kazi maalumu....watu wanalazimwa...Mwanza wananzengo wenyewe wanaupaisha....

Tanzania majiji ni mawili tu.....Dsm na Rocky City-Mwanza....hayo mengine chenga tu..siasa...
 
Porojo za kujifariji baada ya Dodoma kuwashika makende..

Cha ajabu ni nini kwa viongozi kuwa Dar? Kwani hujui kwamba Dodoma ndio inajengwa bado haijakishi kuwa na miundombinu yote ya kunifanya Serikali nzima iwe operational kutokea Dom?

Dom itazidi kuwakomesha kama hivi ๐Ÿ‘‡
Soko la Job halijawah jaza watu
 
Dodoma Ina safari sana kufika ....tunajua Uzi mshakimbia ,,subirini vipicha vya mji wa serikali ndo viwarudishe humu ila mtabak chungulia hvyo tu ..ligi hii ngumu[emoji116]
1662484320148.jpg
1662484167644.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220906-093402.png
    Screenshot_20220906-093402.png
    225.6 KB · Views: 10

Attachments

  • Screenshot_20220903-201618.png
    Screenshot_20220903-201618.png
    162.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220903-201709.png
    Screenshot_20220903-201709.png
    44.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220816-203251.png
    Screenshot_20220816-203251.png
    100.3 KB · Views: 10
Kwa mwanza inavyokuwa had waweke mikataba ya ujenzi watu kwa nguvu zao wameshajenga nyumba 5000 mitaa yote ya nyamagana na ilemela
Eti Mwalo wa Mwanza unataka kujitutumua kwa Dom..

Mradi wa Ujenzi wa nyumba 5,000 Nchi Samia Housing Scheme ya NHC iko kama ifuatavyo,

Dar 50% ,Dom 20% na Mwanza iko kwenye mengineyo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwa mwanza inavyokuwa had waweke mikataba ya ujenzi watu kwa nguvu zao wameshajenga nyumba 5000 mitaa yote ya nyamagana na ilemela
kutoka mwanza mjini had kisesa ni km 20 lakin angalia watu wanavyojenga majumba sasa Dodoma km 20 si ni mapolini kabisa na kutoka Dodoma mjini had nala mizani ni km 10 lakin kutoka mwanza mjini had nyegezi stand ni km 10 watu wa Dodoma mmeuona huo utofauti?nala ni vijijin na nyegezi panaonekana ni mjini
 
Kutoka Dodoma mjini had mkonze ni km 10 na kutoka mwanza mjini had igoma ni km 11 lakin mkonze ni maporin na igoma ni mjin balaa mmeuona huo utofauti na hapo haujafika kisesa
 
Kuna jamaa yaani uzi wa Mwanza vs rest of Tanzania huwa hakosi, halafu yeye ni kuponda tu Mwanza, Aongozwi na logic zaidi ya emotions tu. Nasidhani kama aliishafika hata hapo Mwanza.

Yaani kuna Sehemu anang'ang'aniza kushindanisha Mbeya na Mwanza ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€

Na picha zake ni zile zile anabadilisha tu angle ya camera ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kuna uzi akatuweka na 5star Hotel ya Mbeya ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kutoka Dodoma mjini had mkonze ni km 10 na kutoka mwanza mjini had igoma ni km 11 lakin mkonze ni maporin na igoma ni mjin balaa mmeuona huo utofauti na hapo haujafika kisesa
Nkonze ni pori la wapi? Wivu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Dom ime stretch pande nne mbona zote huzileti?

Ndio maana ya kujenga ile Ring Road manake eneo lote hilo ni Jiji harafu wewe unaongea pumba
 
Nkonze ni pori la wapi? Wivu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Dom ime stretch pande nne mbona zote huzileti?

Ndio maana ya kujenga ile Ring Road manake eneo lote hilo ni Jiji harafu wewe unaongea pumba
Ina strectch vipi wakati haina wakazi wengi kama Mwanza? Au ina strect mapori?
 
Back
Top Bottom