Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Habari mbaya kwa Mwanza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-201936.png
    Screenshot_20220816-201936.png
    171.5 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220816-201957.png
    Screenshot_20220816-201957.png
    158.9 KB · Views: 24
Haiwezi kuwa habari mbaya kuzidi hii.... Dodoma waliokuwa wanashika nafasi ya pili Kwa terminal nzuri ...sasa hvi wamepisha wenye nafasi zao..

Bado ya nyegezi [emoji95][emoji95][emoji95][emoji116][emoji116]this is devastating blow to Dodoma and other regions
20220816_211020.jpg
20220816_211253.jpg
20220816_211249.jpg
20220816_113312.jpg
 
Haiwezi kuwa habari mbaya kuzidi hii.... Dodoma waliokuwa wanashika nafasi ya pili Kwa terminal nzuri ...sasa hvi wamepisha wenye nafasi zao..

Bado ya nyegezi [emoji95][emoji95][emoji95][emoji116][emoji116]this is devastating blow to Dodoma and other regions View attachment 2325718View attachment 2325719View attachment 2325720View attachment 2325721
Yaani hapa ni magari ya kwenda Mara,simiyu,na kidogo geita .... tayari stendi ishajaa magari...
Bado mabus ya dar ,mbeya,na mikoa mingine yanapaki nyegezi......
20220816_211032.jpg
20220816_211037.jpg
20220816_122415.jpg
 
😄😄 Hakuna mtu anahabari na Mwanza slum dwellers..

Egypt Kujenga Viwanja Dom, Arusha na Dar.

Ukiona sehemu yeyote walipoitaja Mwanza unitag 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220819-092321.png
    Screenshot_20220819-092321.png
    117.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220819-092332.png
    Screenshot_20220819-092332.png
    34.3 KB · Views: 23
[emoji1][emoji1] Hakuna mtu anahabari na Mwanza slum dwellers..

Egypt Kujenga Viwanja Dom, Arusha na Dar.

Ukiona sehemu yeyote walipoitaja Mwanza unitag [emoji116]
Kiwanja Cha Morocco kiliishiwa wap....paper project are nosense untill on the ground
 
Huwezi kuwa jiji ukawa hauna mainstream media brand...
Majiji yote makubwa duniani Yana media zenye brand kubwa ..
Hapa ni dar na mwanza tu
20220819_210142.jpg
20220819_205959.jpg
 
Dodoma inaendelea kuipa kiminyo Mwanza.

Ujenzi wa viwanda vya dhabibu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220822-163239.png
    Screenshot_20220822-163239.png
    135.1 KB · Views: 23
Siku Dodoma ikifika hapa kama Mwanza ndo nitarudi kukomenti kwa hii thread.
Endelea kuonyesha uswazi ambao hausaidii Mwanza na watu wake kwa chochote zaidi ya kuwaongezea umaskini..

Soma haya maelezo harafu fungua video ndio utajua Dom sio level yenu mnajisumbua tuu hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220825-144531.png
    Screenshot_20220825-144531.png
    149.1 KB · Views: 25
  • TAZAMA KILICHOFANYIKA KWA WAKULIMA HAWA WA ZABIBU WAPATA SOKO JIPYA_ NAIBU WAZIRI MAVUNDE ASEM...mp4
    27.8 MB
Endelea kuonyesha uswazi ambao hausaidii Mwanza na watu wake kwa chochote zaidi ya kuwaongezea umaskini..

Soma haya maelezo harafu fungua video ndio utajua Dom sio level yenu mnajisumbua tuu hapa 👇
Kwa Mwanza hii utaongea sana mpaka utapike ulimi😂😂😂hiki nikitu kingine
 

Attachments

  • Screenshot_2022-08-29-15-49-27.png
    Screenshot_2022-08-29-15-49-27.png
    198.1 KB · Views: 25
  • Screenshot_2022-08-29-16-31-13.png
    Screenshot_2022-08-29-16-31-13.png
    61.3 KB · Views: 28
  • Screenshot_2022-08-29-16-30-56.png
    Screenshot_2022-08-29-16-30-56.png
    64.5 KB · Views: 22
  • Screenshot_2022-08-29-16-30-13.png
    Screenshot_2022-08-29-16-30-13.png
    75 KB · Views: 24
  • Screenshot_2022-08-29-16-29-57.png
    Screenshot_2022-08-29-16-29-57.png
    67.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_2022-08-29-16-29-28.png
    Screenshot_2022-08-29-16-29-28.png
    80 KB · Views: 22
dodoma ni crap ndiomaana kila uchao viongozi wenu wako dar wanasafishwa miguu na kufanyiwa scrub
 
dodoma ni crap ndiomaana kila uchao viongozi wenu wako dar wanasafishwa miguu na kufanyiwa scrub
Porojo za kujifariji baada ya Dodoma kuwashika makende..

Cha ajabu ni nini kwa viongozi kuwa Dar? Kwani hujui kwamba Dodoma ndio inajengwa bado haijakishi kuwa na miundombinu yote ya kunifanya Serikali nzima iwe operational kutokea Dom?

Dom itazidi kuwakomesha kama hivi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220831-141439_1.jpg
    Screenshot_20220831-141439_1.jpg
    40.4 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220831-152612_1.jpg
    Screenshot_20220831-152612_1.jpg
    29.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220831-141247_1.jpg
    Screenshot_20220831-141247_1.jpg
    41.8 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220831-152615_1.jpg
    Screenshot_20220831-152615_1.jpg
    28 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220831-152609_1.jpg
    Screenshot_20220831-152609_1.jpg
    42.3 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220831-152501_1.jpg
    Screenshot_20220831-152501_1.jpg
    25 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220831-152603_1.jpg
    Screenshot_20220831-152603_1.jpg
    36.3 KB · Views: 22
Back
Top Bottom