Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Haya ni maduhuli ndo maana kagera inaipiga gap kilimanjaro japo kilimanjaro ni centre ya utalii pia Kagera kaipiga shinyanga wakati shinyanga ni centre ya madini.Haya maduhuli hayanauhalisia wowote kwenye uchumi na uwekezaji wa mkoa husik.Haya ni maduhuli tu na wengi wafanyabiashara huwa hawalipi na ndomaana mama Samia ililala juzi jinsi yanavyokusanywa.
Rudi shule ukasome upya tofauti ya mapato ya ndani na maduhuli..

Mwisho ni kwamba Mwanza imesagwa na Dom vibaya mno..
 
Rudi shule ukasome upya tofauti ya mapato ya ndani na maduhuli..

Mwisho ni kwamba Mwanza imesagwa na Dom vibaya mno..
Kama kipimo ni maduhuli Mwanza imesagwa ila kama kipimo ni uchumi (revenue kama VAT na capital investment) basi Dodoma ikapambane na mbeya au Tanga kwasababu hata Arusha iko mbali
 
Hata huko TRA,Dom imewasaga..Nyie mtambiehieni Mbeya.
Sio leo labda miaka 20 ijayo haya mahoteli ya nyota tano(five star hotel) yanayozidi kujengwa Mwanza, Dodoma mtayatoa wapi???😂😂😂 cha kushangaza utalii umeanza kuamia kanda ya ziwa muda si mrefu Arusha kiutalii itakuwa kama Mwanza sasa cjui itakuwaje kama Mwanza international airport ikianza kuoperate na haya mahoteli ya five star yakifunguliwa??
Hata huko TRA,Dom imewasaga..Nyie mtambiehieni Mbeya.
screenshot_20220723-214437-png.2311583
 
Sio leo labda miaka 20 ijayo haya mahoteli ya nyota tano(five star hotel) yanayozidi kujengwa Mwanza, Dodoma mtayatoa wapi???😂😂😂 cha kushangaza utalii umeanza kuamia kanda ya ziwa muda si mrefu Arusha kiutalii itakuwa kama Mwanza sasa cjui itakuwaje kama Mwanza international airport ikianza kuoperate na haya mahoteli ya five star yakifunguliwa??

screenshot_20220723-214437-png.2311583
Acha kuota na kujifariji..Dom hoteli za nyota 5 ziko 2 zilizokamilika na 2 ziko under construction..

Huko Mwanza ziko wapi zaidi ya hiyonya nssf hapo?

Utalii hauwezi kuhama hata siku moja Mzee hapa unajifariji tuu.
 
Usikalili hiyo unayoiona sio nsssf ni nikitu kingine Tanzania nzima hakuna.Nakuomba uje mwanza utalii ujifunze Mengi mazuri.Leo kuna Nandy na festival yake h
screenshot_20220723-214437-png.2311583
uku anakula upepo wa ziwa na kula samaki kwenye mahoteli ya kitalii ambayo huwezi kuyapata Dodoma huko kwenye vumbi labda mchimbe mfereji kutoka Mwanza.
 
Sina kitu cha kunifanya nije huko Mwanza Kwa sasa labda mkikamilisha daraja la Mwendazake.
 
Dom ni 🔥🔥
 
Attachments

  • IMG_3235.jpg
    IMG_3235.jpg
    298.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220804-174953_Chrome.jpg
    Screenshot_20220804-174953_Chrome.jpg
    78.4 KB · Views: 21
  • IMG_3238.jpg
    IMG_3238.jpg
    223.3 KB · Views: 20
  • IMG_3242.jpg
    IMG_3242.jpg
    179.6 KB · Views: 20
Tanzania kwa Sasa ina majiji 2 tuu ya maana..

NHC wamemaliza kila kitu hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220810-153216.png
    Screenshot_20220810-153216.png
    121.9 KB · Views: 26
  • Screenshot_20220810-153301.png
    Screenshot_20220810-153301.png
    96.1 KB · Views: 25
Mtoa mada ulilouliza sio swali bali ni jibu..

Dom ilishawakalisha Mwanza kitambo sana,kuifananisha na Mwanza ni kuionea Mwanza na kudhalilisha Makao Makuu ya Nchi..

Dodoma 👇
 
Attachments

  • 20220813_072322.jpg
    20220813_072322.jpg
    135.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220811-075833.png
    Screenshot_20220811-075833.png
    133.1 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220811-075807.png
    Screenshot_20220811-075807.png
    107 KB · Views: 20
  • AE2F3F27-36BE-4DE0-8754-93C26DD38D1D.jpeg
    AE2F3F27-36BE-4DE0-8754-93C26DD38D1D.jpeg
    134.3 KB · Views: 18
  • HOSPITALI  ya Rufani ya Mkoa wa Dodoma.JPG
    HOSPITALI ya Rufani ya Mkoa wa Dodoma.JPG
    23.1 KB · Views: 22
  • IMG_1164.JPG
    IMG_1164.JPG
    37 KB · Views: 22
Mtoa mada ulilouliza sio swali bali ni jibu..

Dom ilishawakalisha Mwanza kitambo sana,kuifananisha na Mwanza ni kuionea Mwanza na kudhalilisha Makao Makuu ya Nchi..

Dodoma [emoji116]
Tuondolee matangazo yako ya viwanja
Mji ni huu
20220813_004744.jpg
20220812_233450.jpg
20220812_234417.jpg
20220812_233951.jpg
20220812_234254.jpg
20220812_234301.jpg
20220812_234142.jpg
 
Attachments

  • 20220812_234400.jpg
    20220812_234400.jpg
    102.3 KB · Views: 22
@sunk cost fallacy
Ukiniletea residential mansion ya mtu binasfi kama hii hapo capital city
Niite mbwa hapa .naacha na kuchangia mada kwenye huu Uzi.
[emoji116]
JamiiForums-1196267553.jpg
JamiiForums-1939941349.jpg
 
Back
Top Bottom