The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Rudi shule ukasome upya tofauti ya mapato ya ndani na maduhuli..Haya ni maduhuli ndo maana kagera inaipiga gap kilimanjaro japo kilimanjaro ni centre ya utalii pia Kagera kaipiga shinyanga wakati shinyanga ni centre ya madini.Haya maduhuli hayanauhalisia wowote kwenye uchumi na uwekezaji wa mkoa husik.Haya ni maduhuli tu na wengi wafanyabiashara huwa hawalipi na ndomaana mama Samia ililala juzi jinsi yanavyokusanywa.
Mwisho ni kwamba Mwanza imesagwa na Dom vibaya mno..