Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hata kama ni zile zile ukweli ni kwamba hizo zikikamilika zitakuwa game changer..

Project mpya za Mwanza ziko wapi?
Barabara za four way kutoka mwanza mjini had usagara km 25 barabara ya 4 way kutoka mwanza mjini had nyanguge km 36 barabara ya kutoka airport,kayenze had nyanguge km 46 ujenzi wa soko la kirumba,ujenzi wa buzuruga commercial complex,ujenzi wa soko au mwalo mkubwa wa samaki mkuyun,
 
Kwenye mrad wa sgr kutajengwa flyover ya km 2 kutoka mkuyun had mjin kat
 
Nionyeshe hata tender moja iliyotangazwa kwenye hizo barabara 😁😁😁😁
 
Mwanza outskirts
Kangae ...hizi sio kotas za NHC .
Ujenzi nje ya mji unaendelea kasi
Hii km 15 Toka mjini
[emoji116]
Dodoma km 15 ni bush na mibuyu iliyokauka[emoji28]
 
Nasema hivi Iringa imeizidi Mwanza Kwa skyline Wala hakuna ubishi..

Hayo mengine ni mapovu ya maumivu tuu [emoji51][emoji51]
Siku dodoma wakina na CBD yenye skyscraper kama. Hapa nitag .

[emoji28][emoji28] Vijengo vyenu vya kuoteleza pale medeli ,Tena vyote ni vya serikali
 
mkuu kisongo iko nje ya mji kabisa pia uwanja wa ndege wa moshi pale town nazani zinatua ndege ndogo sana ndege kubwa zinatua KIA
Hii ya uwanja wa ndege tusifanye hoja sana. Pengine makosa yalifayika huko nyuma. Lakini sasa Airport kubwa inajengwa Msalato. Ambayo ni nje ya mji.
 
Kuna nini cha maana hapo au hivyo vijengo 3 ndio vinakuzuzua?..🀣🀣
Wewe jamaa hauijui Mwanza( rock city) zaidi ya kuisikia kwenye Radio tena RFA,hizi picha ni mtaa mmoja tu wa elemela ambao hakuna vinyumba vya NHc hata kama moja ka vyumba viwili na sebure ila ni maekaru ya wanaume kwangu huu mtaa ninaupa nafasi ya pili kwa makazi bora Mwanza baada ya capri point japo huko umbali wa 10 km from city centre.
 

Attachments

  • Screenshot_2022-09-08-22-56-16.png
    388 KB · Views: 12
  • Screenshot_2022-09-08-22-49-24.png
    392.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_2022-09-08-22-49-13.png
    423 KB · Views: 11
  • Screenshot_2022-09-08-22-49-49.png
    580.9 KB · Views: 13
Hutu tupicha 3 twa kutafutiza mitaani Ndio tunakuzuzua au? 😁😁

Unaweza pata mandhari kama Haya hapo Mwanza ? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220427-215630.png
    292.1 KB · Views: 14
  • 3039374_image_downloader_1639920814086.jpg
    114.7 KB · Views: 13
  • 3039375_image_downloader_1639920953416.jpg
    39.9 KB · Views: 13
  • 3034741_maxresdefault36.jpg
    127.6 KB · Views: 13
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kaleta picture za arusha.kwwny Uzi wa dodoma..sasa hayo mashamba unamletea nan
Vyovyote ilivyo ila huwezi pata apartments zilizo kwenye mitaa iliyopangika vizuri kama hizo,Mwanza hakuna ni kutafutiza vimajengo mitaani kama Mbeya tuu..

Mwisho hakuna cha Arusha Wala Mwanza inaweza sogeza pua kwa Dodoma..

Hii ndio Dom bwana πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220909-064959.png
    241.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220909-064833.png
    267.6 KB · Views: 13
  • 20220909_064859.jpg
    892.5 KB · Views: 10
  • 20220909_064909.jpg
    874.1 KB · Views: 11
Wewe jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo sio bure,wenzako wameleta projects za watu binafsi na wamekwambia uwaletee za dodoma za watu binafsi na sio serikali au mashirika tanzu we waleta za NHC sijui na TBA Sasa huo ni uzuzu wa kiwango gani
are u mad??
 
Hadi analeta vya Zambia ..yaan hivyo vijumba unamletea nani humu ...unawaaibisha watu wa dodoma...
 
Excuses as usual πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰.

Toa upumbavu wako hapa,Projects za vijumba vya watu binafsi ndio za kuuliza hapo Dom?
 
Za watu binafsi azitoe wapi [emoji28][emoji28] ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…