intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 705
- 1,123
Barabara za four way kutoka mwanza mjini had usagara km 25 barabara ya 4 way kutoka mwanza mjini had nyanguge km 36 barabara ya kutoka airport,kayenze had nyanguge km 46 ujenzi wa soko la kirumba,ujenzi wa buzuruga commercial complex,ujenzi wa soko au mwalo mkubwa wa samaki mkuyun,Hata kama ni zile zile ukweli ni kwamba hizo zikikamilika zitakuwa game changer..
Project mpya za Mwanza ziko wapi?