Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wewe acha ujuha,Dom ina nuclear settlement pattern tofauti na Mwanza ambayo iko linear kufuata barabara huku sehemu kubwa ikiwa imezuiwa na maji na mamilima hapo..

[emoji16][emoji16][emoji16]km 14 tayari nimeshafika kwenye mibuyu huku mbele ya Nala natafuta vijiji vya wilaya ya bahi ,,au Niko mtumba barabara ya Moro ,,au nipo huku porini kwenye njia panda ya kuelekea bihawana . iringa road
Wewe acha ujuha,Dom ina nuclear settlement pattern tofauti na Mwanza ambayo iko linear kufuata barabara huku sehemu kubwa ikiwa imezuiwa na maji na mamilima hapo..
ona huyu mbuzi kutoka buhongwa shortcut kwenda stand mpya ya nyamhongolo ni km 15 hakuna pori ni mwendo wa nyumba za kufa mtu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]km 14 tayari nimeshafika kwenye mibuyu huku mbele ya Nala natafuta vijiji vya wilaya ya bahi ,,au Niko mtumba barabara ya Moro ,,au nipo huku porini kwenye njia panda ya kuelekea bihawana . iringa road
Sasa kata ya Buhongwa tu kwa population ni sawa na kata 10 za Dodoma igoma kwa mujibu wa sensa ya 2012 ilikuwa na watu 65000 je sensa ya 2022 itakuwa na ngapi ile kisesa ipo wilaya ya magu 2012 ilikuwa na watu 36000 Sasa hv ngap kata nyingi za Dodoma ikiwa na population kubwa ni watu 12000
 
Mwanza mjini imekuwa had imeungana na wilaya za magu na misungwi sasa hyo Dodoma inayoishia nala na mkonze
 
Kama kweli inaizidi how comes Mapato Dom bil.58 na Mwanza bil.28?

Sasa mlundikano wa maskini unakusaidia nini wewe?
ona huyu mkoa unaochangia pato la taifa kubwa baada ya Dar ni mwanza Dom mmezidiwa had na
Wewe ni taahira,hapa tuko kwenye Jiji sio mkoa,huko tutafika..

Jiji lililokua linakusanya maskini linakusaidia nini?
ww ni kichwa mavi kabisa Dom haiwez izid mwanza mji wa kusaidiwa kama tasaf utalinganisha na wanaume wanaohustle
 
Sasa mapato ya kuuza hayo mapori yanakusaidia nn
Kwa hiyo toka 2017 Dom ilipowagaragaza rasmi inauza mapori.kila.siku sio?

Kwa hiyo uswazi huo utakusaidia zaidi ya uchafu na mafuriko? Yaani unapenda kuishi dampo? Kwenye wewe ni taahira na mshamba..

Ndio maana Jiji lenu ni la hovyo na linaaibisha Tzn kuitwa Jiji la 2..

Tzn inawakilishwa na Dar,Dom na Arusha sio hilo.dampo.lenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…