The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata mwanza hajawahi fika ..Mamilima hayo yamejaa huko Mwanza na majiwe,nani aje kujenga Viwanda vya maana huko?
Kanda ya Ziwa viwanda vinajengwa Shinyanga na kiasi Kahama.
Usagara ni Misungwi na Kisesa ni Magu..Kumbe hata mwanza hajawahi fika ..
mwanza Kuna industrial area 7
Nyamhongolo
Buhongwa
Igogo
Nyakato
Ilemela
Buzuruga .
Usagara
Kisesa isangijo
Kote kumejaa viwanda.......
Kihuduma Usagara na Kisesa ni maeneo ya Jiji. Ndio maana inaundwa Halmashauri ya Kisesa itakayokuwa sehemu ya Jiji itameza Usagara na Kisesa.Usagara ni Misungwi na Kisesa ni Magu..
Au unataka tuseme Mbeya ina industrial area za Songwe Viwandani,Tanganyika packers Mbalizi,Iwambi,Iyunga,Uyole nk?.
Tunazungumzia ndani ya mipaka ya Jiji.
Mpaka iundwe na zikundwa bado zitakuwa ni Magu na Misungwi Wala haitakuwa Jiji la Mwanza.Kihuduma Usagara na Kisesa ni maeneo ya Jiji. Ndio maana inaundwa Halmashauri ya Kisesa itakayokuwa sehemu ya Jiji itameza Usagara na Kisesa.
Mtu hawezi kutoka Usagara kufuata huduma Misungwi au Kutoka Kisesa kufuata huduma Magu wakati Jiji ni pua na mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kisesa had mjini mwanza ni sh 500 kufika magu mjini ni sh 2000 kutoka usagara had mjin ni 700 na kutoka usagara had misungwi mjini ni sh 1500 nafikir umeelewa mtu hawez kutoka usagara kwenda misungwi mjini kuhemea sokoni ataenda buhongwa jijini mwanzaKihuduma Usagara na Kisesa ni maeneo ya Jiji. Ndio maana inaundwa Halmashauri ya Kisesa itakayokuwa sehemu ya Jiji itameza Usagara na Kisesa.
Mtu hawezi kutoka Usagara kufuata huduma Misungwi au Kutoka Kisesa kufuata huduma Magu wakati Jiji ni pua na mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umeisahau mkuyuni,pasiansi,mhanduKumbe hata mwanza hajawahi fika ..
mwanza Kuna industrial area 7
Nyamhongolo
Buhongwa
Igogo
Nyakato
Ilemela
Buzuruga .
Usagara
Kisesa isangijo
Kote kumejaa viwanda.......
Mzee umeisahau mkuyuni,pasiansi,mhanduKumbe hata mwanza hajawahi fika ..
mwanza Kuna industrial area 7
Nyamhongolo
Buhongwa
Igogo
Nyakato
Ilemela
Buzuruga .
Usagara
Kisesa isangijo
Kote kumejaa viwanda.......
The New Mwanza City Masterplan 2035 inahusisha mpaka Kisesa, Fela na Usagara suburbs.Mpaka iundwe na zikundwa bado zitakuwa ni Magu na Misungwi Wala haitakuwa Jiji la Mwanza.
Usijikute unaijua mwanza kuliko sisi wenyeji ....ukisema mipaka ya mwanza city ...iondoe bas na ilemela maana mwanza city ni nyamagana tu ...then hata tukisema tuiweke nyamagana tu bado dodoma haitoboi Kwa viwandaUsagara ni Misungwi na Kisesa ni Magu..
Au unataka tuseme Mbeya ina industrial area za Songwe Viwandani,Tanganyika packers Mbalizi,Iwambi,Iyunga,Uyole nk?.
Tunazungumzia ndani ya mipaka ya Jiji.
Atanyooka tu msimu huuM
Mzee umeisahau mkuyuni,pasiansi,mhandu
HutAkiwi kumweleza sana ...mwambie hata tuweke nyamagana pekee ..bado dodoma haitoboiKutoka kisesa had mjini mwanza ni sh 500 kufika magu mjini ni sh 2000 kutoka usagara had mjin ni 700 na kutoka usagara had misungwi mjini ni sh 1500 nafikir umeelewa mtu hawez kutoka usagara kwenda misungwi mjini kuhemea sokoni ataenda buhongwa jijini mwanza
Sioni why unacompare Dodoma na Mwanza sioni. Dodoma being a Capital City city city!!!! inauwezo wa kupanuka kwani ndio makao makuu ya serikali.Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.
Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.
CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo,
Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.
MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"
II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.
III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.
IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)
V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.
But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.
TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Sioni why unacompare Dodoma na Mwanza sioni. Dodoma being a Capital City city city!!!! inauwezo wa kupanuka kwani ndio makao makuu ya serikali.
Dodoma kuwa capital city sio kigezo cha kuwa special au kukua zaidi ya Mwanza city(rock city),References tunazo tena kwenye nchi zilizo endelea kama south africa capital city ni Pretoria lakini haufui dafu kwa cape town na Durban,pili kuna U.S.A capital city ni washngton DC lakini haufui dafu kwa chikago city,northern Carolina wala Miami,Tatu kuna Brazil capital city ni Brazilia ila haufui dafu kwa miji mingine.Nakuakikishia na Tanzania inaenda kuwa hivyo kwa Dodoma kwasababu zifatazoSioni why unacompare Dodoma na Mwanza sioni. Dodoma being a Capital City city city!!!! inauwezo wa kupanuka kwani ndio makao makuu ya serikali.
Complete analyzedDodoma kuwa capital city sio kigezo cha kuwa special au kukua zaidi ya Mwanza city(rock city),References tunazo tena kwenye nchi zilizo endelea kama south africa capital city ni Pretoria lakini haufui dafu kwa cape town na Durban,pili kuna U.S.A capital city ni washngton DC lakini haufui dafu kwa chikago city,northern Carolina wala Miami,Tatu kuna Brazil capital city ni Brazilia ila haufui dafu kwa miji mingine.Nakuakikishia na Tanzania inaenda kuwa hivyo kwa Dodoma kwasababu zifatazo
1.Watu hawashoboke mji mkuu kama zamani ilivyokuwa Dar
2.Huduma zote za msingi zinapatikana karibu mikoa zote mpka vijijin.
3.Wawekezaji hawawekezi kisiasa wanawekeza kwa kuangalia soko mfano Dodoma kulikuwa na project ya Tbl kujenga kiwanda kikubwa baada ya analysisi project ilicanceliwa ikabaki Mwanza,Dar na mbeya na itabaki hivyo hivyo.Mfano mwingine na coca cola na Pepsi.
4.Mazingira ya majiji husika na location.,Mfano Mwanza ni jiji ambalo sio rahisi kuelezea kwa nmna ya uchumi wake kutokana na diversty ya shughuli zinazofanyika na location yake kitaifa na kimataifa.Ndo maana unaona serikali ufanya miradi kutoka nyuma badala ya kuwa kiongozi hii inasabishwa na kuhitaji kuvuna bila kupanda.
5.Dodoma naserikali lazima wakubali kujenga capital city sio business hub wakijaribu kufanya hivyo watafeli mapema na watatumia gharma kubwa sana hii inatoka kwamba Dar haiko tayari kuachia hiyo fursa wala Arusha hawatakubali kuacha fursa ya utalii kwenda Dodoma na Mwanza hiyo wala hakuna kuongelea kwasababu ina watu wake na wateja wake wafia jiji hata Dubei iamie Tanzania hawawezi kuama.
Bado sioni mantiki za mada yako kwani ulipoanza sio unachokizungumza kabisa upo inje ya locus. Ukuaji wa majiji Tanzania upo influenced sana na siasa za nchi hii and not naturally kama unavyosemea majiji mengine Duniani. Viwanda hufuata raw resources au wateja, lakini TZ hufuata serikali na utashi wa kichama yaani CCM. Mikoa na majiji mengine yanapambania kuwa majiji wakati miji mingine hupewa kama zawadi bila kuangalia vigezo. TZ mambo ni mengi na muda ni mchache.Dodoma kuwa capital city sio kigezo cha kuwa special au kukua zaidi ya Mwanza city(rock city),References tunazo tena kwenye nchi zilizo endelea kama south africa capital city ni Pretoria lakini haufui dafu kwa cape town na Durban,pili kuna U.S.A capital city ni washngton DC lakini haufui dafu kwa chikago city,northern Carolina wala Miami,Tatu kuna Brazil capital city ni Brazilia ila haufui dafu kwa miji mingine.Nakuakikishia na Tanzania inaenda kuwa hivyo kwa Dodoma kwasababu zifatazo
1.Watu hawashoboke mji mkuu kama zamani ilivyokuwa Dar
2.Huduma zote za msingi zinapatikana karibu mikoa zote mpka vijijin.
3.Wawekezaji hawawekezi kisiasa wanawekeza kwa kuangalia soko mfano Dodoma kulikuwa na project ya Tbl kujenga kiwanda kikubwa baada ya analysisi project ilicanceliwa ikabaki Mwanza,Dar na mbeya na itabaki hivyo hivyo.Mfano mwingine na coca cola na Pepsi.
4.Mazingira ya majiji husika na location.,Mfano Mwanza ni jiji ambalo sio rahisi kuelezea kwa nmna ya uchumi wake kutokana na diversty ya shughuli zinazofanyika na location yake kitaifa na kimataifa.Ndo maana unaona serikali ufanya miradi kutoka nyuma badala ya kuwa kiongozi hii inasabishwa na kuhitaji kuvuna bila kupanda.
5.Dodoma naserikali lazima wakubali kujenga capital city sio business hub wakijaribu kufanya hivyo watafeli mapema na watatumia gharma kubwa sana hii inatoka kwamba Dar haiko tayari kuachia hiyo fursa wala Arusha hawatakubali kuacha fursa ya utalii kwenda Dodoma na Mwanza hiyo wala hakuna kuongelea kwasababu ina watu wake na wateja wake wafia jiji hata Dubei iamie Tanzania hawawezi kuama.
Majiji yasio na natural growing ni dodoma , mbeya ,.na tanga.. Arusha inakuwa influenced na utalii ,mwanza na biashara ya Kanda ya ziwa ,dar na biashara ya nchi nzimBado sioni mantiki za mada yako kwani ulipoanza sio unachokizungumza kabisa upo inje ya locus. Ukuaji wa majiji Tanzania upo influenced sana na siasa za nchi hii and not naturally kama unavyosemea majiji mengine Duniani. Viwanda hufuata raw resources au wateja, lakini TZ hufuata serikali na utashi wa kichama yaani CCM. Mikoa na majiji mengine yanapambania kuwa majiji wakati miji mingine hupewa kama zawadi bila kuangalia vigezo. TZ mambo ni mengi na muda ni mchache.
Nionavyo mimi kwa kanda hiyo pendwa Kigoma stands even a better chance than Mwanza time will tell.Majiji yasio na natural growing ni dodoma , mbeya ,.na tanga.. Arusha inakuwa influenced na utalii ,mwanza na biashara ya Kanda ya ziwa ,dar na biashara ya nchi nzim