Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

These are quick wins za awamu pendwa, tuone how the Country can reap more tax (quick returns) from these investments. Mungu ibariki Tanzania.
Any government projects are service oriented,rather than profit oriented..
Hizo suala za tax ,sijui levies ni secondary factors .. primary factor ni service
 
Uliniambia nisizungumzie context ya Europe wewe umeleta za nchi nyingine, kumbuka nchi hizo haziendeshi maendeleo yao kama sisi, we are politically driven not economically bro. We are debating on the same ground ila unaonekana una ubishi wa simba na yanga hilo ndio shida tu.
So what's your context my dear friend.. accepting the truth is rare gift owned by few
 
Dodoma kuwa capital city sio kigezo cha kuwa special au kukua zaidi ya Mwanza city(rock city),References tunazo tena kwenye nchi zilizo endelea kama south africa capital city ni Pretoria lakini haufui dafu kwa cape town na Durban,pili kuna U.S.A capital city ni washngton DC lakini haufui dafu kwa chikago city,northern Carolina wala Miami,Tatu kuna Brazil capital city ni Brazilia ila haufui dafu kwa miji mingine.Nakuakikishia na Tanzania inaenda kuwa hivyo kwa Dodoma kwasababu zifatazo
1.Watu hawashoboke mji mkuu kama zamani ilivyokuwa Dar
2.Huduma zote za msingi zinapatikana karibu mikoa zote mpka vijijin.
3.Wawekezaji hawawekezi kisiasa wanawekeza kwa kuangalia soko mfano Dodoma kulikuwa na project ya Tbl kujenga kiwanda kikubwa baada ya analysisi project ilicanceliwa ikabaki Mwanza,Dar na mbeya na itabaki hivyo hivyo.Mfano mwingine na coca cola na Pepsi.
4.Mazingira ya majiji husika na location.,Mfano Mwanza ni jiji ambalo sio rahisi kuelezea kwa nmna ya uchumi wake kutokana na diversty ya shughuli zinazofanyika na location yake kitaifa na kimataifa.Ndo maana unaona serikali ufanya miradi kutoka nyuma badala ya kuwa kiongozi hii inasabishwa na kuhitaji kuvuna bila kupanda.
5.Dodoma naserikali lazima wakubali kujenga capital city sio business hub wakijaribu kufanya hivyo watafeli mapema na watatumia gharma kubwa sana hii inatoka kwamba Dar haiko tayari kuachia hiyo fursa wala Arusha hawatakubali kuacha fursa ya utalii kwenda Dodoma na Mwanza hiyo wala hakuna kuongelea kwasababu ina watu wake na wateja wake wafia jiji hata Dubei iamie Tanzania hawawezi kuama.
Unapotoa hiyo mifano ya capital city za baadhi ya Nchi usijisahaulishe kwamba Dodoma imekuwa Mji unaokua toka kabla ya kuwa Makao makuu ya Nchi..

Kwa hiyo porojo za sijui capital city haina natural growth ni hadithi za kujifariji so Serikali kunifanya rasmi kuwa Mji kuu ni kuongezea utamu tuu uliokuwepo..

Dom ni Jiji linapituwa na Njia kuu zote za Tanzania kuelekea pande zote,hii tuu ni sifa ya kiasili kwamba Dom ilikuwepo na itaendelea kuwepo zaidi na zaidi tena licha ya harsh climate ilikuwa Manispaa siku nyingi Sana enzi serikali haijajenga hata Bunge..

Kwa ujio wa serikali ndio kabisaa wameongeza utamu hapo so haitakamatika kwa namna yeyote hata watu wa Mwanza mlie lie..

Siku zaja itakuwa kama Nairobi au Tehran au Kigali nk
 
At this factors dodoma has a little chance to overtake mwanza .
1 population growth rate ..
Mwaka 2002 mwanza ilikuwa na watu laki nne ,mwaka 2012 ilikuwa na watu laki Saba ongezeko ni la watu laki 3 Kila baada ya miaka kumi ...2022 mwanza itakuwa na watu zaidi ya 1000000 ...na ongezeko la watu linatokana fursa za kiuchumi ambazo zinavutia watu kutoka maeneo tofauti ya Kanda ya ziwa kuja kutafta maisha mwanza ....
2 economic diversity
mwanza Ina opportunity nyingi za kiuchumi ambazo zinavutia wawekezaji kuja kuwekeza mwanza . tofauti na dodoma ambayo Iko service based opportunity only...
Kuanzia fishing, manufacturing, agriculture,trade,and transport corridor.
Huu ujinga huwa mnakaa nao Ili uwasaidie nini hasa?

Unataka popn growth ya Mwanza ika ya Dom huitaji,am sure Dom inaweza kuwa na wakazi kama 700k kutoka 400k so hili ongezeko mainly la watu wa middle income ni la maana zaidi kuliko ongezeko la huko Mwanza ambako sehemu kubwa ni kuzaliana na kuongeza maskini ndio maana hata mapato ya Jiji plus TRA mnazdiwa na Dodoma..

Pili Dom stand a good chance ya kuwa na viwanda kuliko Mwanza na vinajengwa vingi tuu as we speak kwa sababu ya ardhi ya tambarare,consumption power ya watu wake na location yake inafanya kuwa distribution center kwa maeneo yote na mwisho Ardhi ya kutosha ya kilimo Cha umwagiliaji,Mwanza ni stress tupu..
 
Watu wa singida,,,hawako attracted na dodoma sembuse wengine..dodoma ilitakiwa kuwa influential city ya Kanda ya kati ,,lakin Cha ajabu singida wanaenda Arusha,au mwanza na kahama..iringa wanaenda dar ,manyara ndo kabisa .. tabora haina hata muda ..
Wanaenda Arusha kufuata vile ambavyo havipo Dodoma..

Saizi kuna kiwanda cha Mbolea kikubwa hapa Tanzania,haya Mwanza mtaenda wapi kufuata mbolea? 😁😁
 
Any government projects are service oriented,rather than profit oriented..
Hizo suala za tax ,sijui levies ni secondary factors .. primary factor ni service
Serikali inapoimalisha hizo huduma inarahisisha mazingira ya uwekezaji sonusijitoe ufahamu.
 
Huu ujinga huwa mnakaa nao Ili uwasaidie nini hasa?

Unataka popn growth ya Mwanza ika ya Dom huitaji,am sure Dom inaweza kuwa na wakazi kama 700k kutoka 400k so hili ongezeko mainly la watu wa middle income ni la maana zaidi kuliko ongezeko la huko Mwanza ambako sehemu kubwa ni kuzaliana na kuongeza maskini ndio maana hata mapato ya Jiji plus TRA mnazdiwa na Dodoma..

Pili Dom stand a good chance ya kuwa na viwanda kuliko Mwanza na vinajengwa vingi tuu as we speak kwa sababu ya ardhi ya tambarare,consumption power ya watu wake na location yake inafanya kuwa distribution center kwa maeneo yote na mwisho Ardhi ya kutosha ya kilimo Cha umwagiliaji,Mwanza ni stress tupu..
Unapoongea bila figure inakuwa nonsense . general income ya mkoa dodoma hamko hta top ten hampo ..unaposema mapato ya halmashauri ni alama ya utajiri.unakuwa ni chizi unayejua kusoma .
Nenda darasa la uchumi kwanza ndo uje tuendelee na mjadala
Tushakuambia hvi Kwa factor hiz dodoma Ina little chance ya kuiover take mwanza
1: economic diversity (ziwa,fertile land,madini,trade,na industrazation) (rejea figure za nbs ya mwaka 2020 ,2021.
2 population (market potential, factor for investment)
3 geographic position (hub ya great lakes)
4 diversity infrastructure (rail,ports,roads and air)
 
The future is more bright
20220914_090513.jpg
Screenshot_20220914-085610.jpg
 
Unapoongea bila figure inakuwa nonsense . general income ya mkoa dodoma hamko hta top ten hampo ..unaposema mapato ya halmashauri ni alama ya utajiri.unakuwa ni chizi unayejua kusoma .
Nenda darasa la uchumi kwanza ndo uje tuendelee na mjadala
Tushakuambia hvi Kwa factor hiz dodoma Ina little chance ya kuiover take mwanza
1: economic diversity (ziwa,fertile land,madini,trade,na industrazation) (rejea figure za nbs ya mwaka 2020 ,2021.
2 population (market potential, factor for investment)
3 geographic position (hub ya great lakes)
4 diversity infrastructure (rail,ports,roads and air)
Figures zimewekwa sio mara moja sina mda wakurudia go and find for yourself..Narudia kusema Mapato ya Jiji la Dom na TRA kuwazidi Mwanza ni kigezo tosha kwamba Mwanza ni rubbish tuu kwa Dom..

1.Economic diversification ipi ambayo iko Mwanza na Dom hakuna? Ushahidi uko wapi?Kati ya Mwanza na Dom wapi kuna ardhi ya kutosha na fertile? Viwanda vinajengwa kila uchwara vikiwemo hadi vya kusafisha dhahabu..

2.Wapi hakuna population? Population ya Mwanza ni Kubwa ila ya poor people,ila Population ya Dom ina high consumption power Sasa wapi investors wataenda?

3.😁😁😁😁 Hub of EAC hata Bujumbura na Kisumu ni kubwa na economically powerful Sasa huo u hub uko wapi?

4.Ona huyu kima,kwa hiyo hizo modes za Transport hazipo Dodoma? Ukiacha usafiri wa Majini kipi nyie Mwanza Mnaweza kukojoa kwa Dodoma? 😃😃..

Acha kuchekesha.
 
Kama hizo meli ndio zinakupa kiwewe,saizi tunavyoongea Mwanza ingeshakuwa imeizidi Kigali au Arusha..

Unataka wachimbe Ziwa Dom? 😜😜
Wewe unamatatizo ya akili tunakoelekea tunakuachia hii thread hatuwezi kuendelea kudescuss issue za msingi na kichaa.Toka lini Arusha ikaizidi Mwanza kwa kila kitu??.Hiyo kigali inaizidi ni Mwanza zaidi ya sifa ya usafi??Kumbe huna unalojua kuhusu Mwanza zaidi ya ushabiki.Hilo ziwa na hizo meli ndo uchumi wa mwanza na Tanzania.Ndo kinafanya Mwanza kuwa second largest city after Dar es salaam mpaka leo toka enzi za muingereza.
 
Figures zimewekwa sio mara moja sina mda wakurudia go and find for yourself..Narudia kusema Mapato ya Jiji la Dom na TRA kuwazidi Mwanza ni kigezo tosha kwamba Mwanza ni rubbish tuu kwa Dom..

1.Economic diversification ipi ambayo iko Mwanza na Dom hakuna? Ushahidi uko wapi?Kati ya Mwanza na Dom wapi kuna ardhi ya kutosha na fertile? Viwanda vinajengwa kila uchwara vikiwemo hadi vya kusafisha dhahabu..

2.Wapi hakuna population? Population ya Mwanza ni Kubwa ila ya poor people,ila Population ya Dom ina high consumption power Sasa wapi investors wataenda?

3.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hub of EAC hata Bujumbura na Kisumu ni kubwa na economically powerful Sasa huo u hub uko wapi?

4.Ona huyu kima,kwa hiyo hizo modes za Transport hazipo Dodoma? Ukiacha usafiri wa Majini kipi nyie Mwanza Mnaweza kukojoa kwa Dodoma? [emoji2][emoji2]..

Acha kuchekesha.
Nimekaa dodoma miaka 3 naijuA vizuri.. fertile land Gani iliyopo dodoma.. kwanza mwanza hujafika ...Kwa taarifa yako mwanza wilaya zake zote ni tambalale isipokiwa baadhi ya maeneo wilaya ya nyamagana .. climate ya dodoma ni worse
Hizi economic opportunity dodoma hazipo
-Fishing ( mwanza Ina export nje ya nchi samaki kwenda brussel na Amsterdam)
-Agriculture (mwanza ni leading exporter wa mazao ya pamba,choroko na dengu kwenda nje ya chi )
-Industrialization ( mwanza ni third area Kwa viwanda vingi baada ya mkoa wa pwani ..na Ina maeneo ya EPZ ,na viwanda maeneo 7
-trade (mwanza ni center ya biashara ya mikoa 7 na nchi jirani.kukamilika Kwa sGr ,na bandari ya mwanza South pamoja na Airport ya mwanza,kutaifanya mwanza kuwa business hub ya maziwa makuu
Tourism (mwanza inakuwa Kwa kasi kwenye sekta ya utalii ,, ongezeko la hotel za kifahari na uwepo wake karibu na hifadhi za taifa kunaifanya kuwa strategic

..nitajie diversity ya uchumi wa dodoma .
 
Figures zimewekwa sio mara moja sina mda wakurudia go and find for yourself..Narudia kusema Mapato ya Jiji la Dom na TRA kuwazidi Mwanza ni kigezo tosha kwamba Mwanza ni rubbish tuu kwa Dom..

1.Economic diversification ipi ambayo iko Mwanza na Dom hakuna? Ushahidi uko wapi?Kati ya Mwanza na Dom wapi kuna ardhi ya kutosha na fertile? Viwanda vinajengwa kila uchwara vikiwemo hadi vya kusafisha dhahabu..

2.Wapi hakuna population? Population ya Mwanza ni Kubwa ila ya poor people,ila Population ya Dom ina high consumption power Sasa wapi investors wataenda?

3.😁😁😁😁 Hub of EAC hata Bujumbura na Kisumu ni kubwa na economically powerful Sasa huo u hub uko wapi?

4.Ona huyu kima,kwa hiyo hizo modes za Transport hazipo Dodoma? Ukiacha usafiri wa Majini kipi nyie Mwanza Mnaweza kukojoa kwa Dodoma? 😃😃..

Acha kuchekesha.
Shida yako unalopoka tu si ajabu hata hiyo bujumbula na kisumu unazisikia tu kwenye redio.Hiyo bujumbula unayoisema haifiki hata robo ya mwanza kwa kila kitu.Hiyo kisumu na bujumbula wamejazana Mwanza kilasiku kununua bidhaa na ndo maana SGR inapita Dodoma kuja Mwanza ndo kituo kikuu na Dry port inajengwa mwanza badala ya kujengwa isaka.
 
Watumishi Housing Investment Kisasa Hill top Project Dodoma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220914-213322.png
    Screenshot_20220914-213322.png
    257.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220914-213413.png
    Screenshot_20220914-213413.png
    261.9 KB · Views: 10
  • DJI_0030.jpg
    DJI_0030.jpg
    210.8 KB · Views: 10
Dom kutamu nyie we acha tuu..The Capital City in the Making 👇
 
Attachments

  • 20220915_224609.jpg
    20220915_224609.jpg
    180 KB · Views: 10
  • 20220915_224604.jpg
    20220915_224604.jpg
    333.4 KB · Views: 11
  • 20220915_224820.jpg
    20220915_224820.jpg
    127.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220915-224402.png
    Screenshot_20220915-224402.png
    86.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220915-224358.png
    Screenshot_20220915-224358.png
    105.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom