Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
At this factors dodoma has a little chance to overtake mwanza .Hata hayo majengo makubwa yaliyojengwa Mwanza miaka michache iliyopita ni msukumu wa Serikali kwa mifuko ya kijamii kuwekeza Mwanza zaidi kwa sababu za kisiasa, watu wengine wamesema Mwanza kuna viwanda vingi na hata kuyataja maeneo yalio nje ya jiji la mwanza sijui labda vile vya awamu iliyopita. Kwa kuwa TZ maendeleo ya mahali hutegemea sana serikali kuu then Dodoma stand a big chance of becoming a big city than Mwanza in a very short time let you be informed.
1 population growth rate ..
Mwaka 2002 mwanza ilikuwa na watu laki nne ,mwaka 2012 ilikuwa na watu laki Saba ongezeko ni la watu laki 3 Kila baada ya miaka kumi ...2022 mwanza itakuwa na watu zaidi ya 1000000 ...na ongezeko la watu linatokana fursa za kiuchumi ambazo zinavutia watu kutoka maeneo tofauti ya Kanda ya ziwa kuja kutafta maisha mwanza ....
2 economic diversity
mwanza Ina opportunity nyingi za kiuchumi ambazo zinavutia wawekezaji kuja kuwekeza mwanza . tofauti na dodoma ambayo Iko service based opportunity only...
Kuanzia fishing, manufacturing, agriculture,trade,and transport corridor.