Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Inatia SIMANZI sana.

Mbeya Jiji mchoko.
Na hii ndio CBD yao sasa, kila siku kuna popoma humu nikutuma screen shot za majengo ya serikali kwente miji ya kiserikali kama mtumba n.k ukimwambia leta picha za mjini kati yaani cbd huwa anapiga chengaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah! Leo umeikumbuka Mwanza kwenye ujenzi...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]jamaa wew ni mshamba . Arena na stadium ni kitu kimoja ,,,,arena is more American na stadium is more British
Sports complex ni eneo lolote linajumuisha michezo mbalimbali..
Soma hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220922-145254.png
    47.1 KB · Views: 18
[emoji16][emoji16][emoji16]jamaa wew ni mshamba . Arena na stadium ni kitu kimoja ,,,,arena is more American na stadium is more British
Sports complex ni eneo lolote linajumuisha michezo mbalimbali..
Soma hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220922-145254.png
    47.1 KB · Views: 14
Dom kutajengwa Sports complex/arena kitu cha maana kama hii complex hapa ya Senegal iliyogharibu zaidi ya Bil.500 sio takataka kama hiyo ya Mkapa hapo Dar πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220922-151057.png
    333.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220922-151148.png
    332.7 KB · Views: 16
[emoji16][emoji16][emoji16]jidanganye ...mfalme wa moroco kashacancel ofa baada ya magu kupita zake .[emoji14][emoji14]
Acha ubishi usio na maana basi,juzi Bungeni Serikali ndio imesema wanaendelea na mchakato wa maandalizi ya ujenzi na wamekamikisha michoro na BoQ ndio ikaja hiyo gharama ya Bil.420..

Hizi takataka zenu kama za Benjamin Mkapa haifiki hata Bil.100.
 
Wewe na huyo vice wako wote mna dezi dume kwenye bongo zenu, swali fikirishi hizo saratani kwanini zinawapata wanawake 89% na si wanaume ata ukiangalia prevalence na mortality rate kwahiyo hayo maji ya ziwa yanatumiwa na wakina mama tu?
Utafiti wao ni professional rubbish ....samaki mwanza zinaliwa zikiwa fresh sio za kutunzwa zisiharibike ..zinazotunzwa zisiharibike ni zile zinasafirishwa kwenda nje ya mkoa na nchi
 
Utafiti wao ni professional rubbish ....samaki mwanza zinaliwa zikiwa fresh sio za kutunzwa zisiharibike ..zinazotunzwa zisiharibike ni zile zinasafirishwa kwenda nje ya mkoa na nchi
Wazungu wa ulaya wanakula miaka yote samaki kutoka ziwa victoria hususani mwanza kwanini hawakuona hayo leo mmatumbi kutoka huko kigoma ujiji analeta tafiti za kifala et maji ya maiti yanatumika kutunzia samaki pia yanapelekea cancer, na huyu ndio kiongozi wetu wa nchi rubbish kabisa.
 
Dom haiwezi kuishiwa kitu kila siku ni mpya..

Siku Mwanza ikifika hapa mnitag [emoji116]
[emoji16][emoji14][emoji14] ..dodoma .hapo kisasa within km 10 Toka mjini Kuna mapengo na vichaka vingi hvyo ..na hyo mitaa ya matajiri [emoji14][emoji14][emoji16] ..si bora mitaa ya milimani .ipuli mwanza ,,,[emoji116][emoji116]..nyumba quality na mlimani ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…