The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Dom haijafika hata Robo ya investment zinazotakiwa kufanywa tayari imeanza kuwajambisha hovyo watu wa Mwanza ππ..
Dodoma the Capital City π
Dodoma the Capital City π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uwanja wa mfalme wa morocco umeishia wapi?ππππEti wanataka kushindana na Dodomaππ.
New Financial District is underway in Dodoma City,Zaidi ya Til.10 zitamwagwa π
Eti wanataka kushindana na Dodomaππ.
New Financial District is underway in Dodoma City,Zaidi ya Til.10 zitamwagwa π
Uwanja unahitaji bil.420,kwa pesa hii sioni uwezekano wa kujengwa hivi karibuni kwanza ni matumizi mabaya ya fedha,bil.420 kwa ajili ya nini hasa?Hivi uwanja wa mfalme wa morocco umeishia wapi?ππππ
Kumbe kun muda huwa una akili timamu nilikuwa nadhani muda wote unakuwa mad.Uwanja unahitaji bil.420,kwa pesa hii sioni uwezekano wa kujengwa hivi karibuni kwanza ni matumizi mabaya ya fedha,bil.420 kwa ajili ya nini hasa?
ππππKumbe kun muda huwa una akili timamu nilikuwa nadhani muda wote unakuwa mad.
Nina akili kuliko ukoo wenu wote mliobeba maboga mnayoita vichwa..ππKumbe kun muda huwa una akili timamu nilikuwa nadhani muda wote unakuwa mad.
Unaelewa maana ya new Financial District? Mji wa serikali uko Mwanza? ππππLeta picha ya CBD ya dodoma achana na mji wa kiserikali huko mtumba, picha za Dodoma CBD tuletee humu tulinganishe, hiyo cbd ya dodoma ata kahama ni bunge la mji ukitoa jengo la bunge.
Eti financial district..hizo picha ulizotuma hapo ni mtaa wa medeli dodoma..hayo ni majengo ya ofisi za taasisi za serikali ..Unaelewa maana ya new Financial District? Mji wa serikali uko Mwanza? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa hiyo kwa akili zako ndogo Medeli na Magufuli City zitakuwa na majengo ya Serikali tuu si ndio?Eti financial district..hizo picha ulizotuma hapo ni mtaa wa medeli dodoma..hayo ni majengo ya ofisi za taasisi za serikali ..
Financial district sio eneo la ofisi za serikali.ni eneo Kwa ajili ya huduma za kibiashara na kifedha MFAno
Manhattan new York
posta and kariakoo dar
Nyamagana mwanza..
Unadhani nn ..hamna investors wanaokuwa attracted kuwekeza hapo ...Kwa hiyo kwa akili zako ndogo Medeli na Magufuli City zitakuwa na majengo ya Serikali tuu si ndio?
Maana ya financial district [emoji116]ni hii sio unaropoka tuKwa hiyo kwa akili zako ndogo Medeli na Magufuli City zitakuwa na majengo ya Serikali tuu si ndio?
Mnahangaika na jitu halina akili, kutwa liko humu limeshupaza misuli kuhakikiaha linapandikoza watu ujinga wake. Mtu hajui chochote halafu anabishana na wanajua si upumbavu huo. Akili ya huyu kiumbe ni zaidi ya matope.Mwanza financial district ni nyamagana area .[emoji116]
Picha ya kwanza ni majengo mawili ya exim bank na DTB bank ,,,,
picha ya pili ni jengo la psssf plaza ,Kuna benki 2 NMB na TIB na Kuna insurance companies nne ,na microfinance 2 pamoja na security fund 1
Picha ya tatu ni jengo la BOT benki kuu
Picha ya nne ni jengo la NSSSF Kuna benki 2 , insurance 2 na security fund 1
Picha ya Tano ni Nyerere road Kuna benki kama sita , microfinance za kutosha , insurance za kutosha
picha ya sita ni pamba road Kuna benki 4 TCB, access bank,NMB,na banc ABC .
View attachment 2364103View attachment 2364105View attachment 2364108View attachment 2364111View attachment 2364112View attachment 2364113
Point ndio hiyo kwamba kwenye Mji wa serikali ndiko kutakuwa na concentrations ya shughuli za fedha na biashara sasa ulivyo mburula unadhani ni katikati ππππMaana ya financial district [emoji116]ni hii sio unaropoka tuView attachment 2364099View attachment 2364100
Kwani Mji unajenga in short term? Hujaona Til.10 zinatakiwa kuwa exhausted,zitafanyika kwa mwaka mmja?Unadhani nn ..hamna investors wanaokuwa attracted kuwekeza hapo ...
inshort investor Huwa hafati political motivated investment..yeye anaangalia return possible investment...
Hizo huduma za kifedha ni kwaajiri ya mawaziri, manaibu mawaziri na makatibu tu huoni kama huo mji utakuwa ni wakubaguana baina ya wenye nacho na wasiokuwa nacho, pia inaonesha dodoma ni mji wa kimaskini sana kwa sasa pia tukubaliane bado inasafari ya miaka 20 kuikuta Mwanza ilipo.Point ndio hiyo kwamba kwenye Mji wa serikali ndiko kutakuwa na concentrations ya shughuli za fedha na biashara sasa ulivyo mburula unadhani ni katikati ππππ
Haiwezi kuikuta mwanza hata siku Moja.Hizo huduma za kifedha ni kwaajiri ya mawaziri, manaibu mawaziri na makatibu tu huoni kama huo mji utakuwa ni wakubaguana baina ya wenye nacho na wasiokuwa nacho, pia inaonesha dodoma ni mji wa kimaskini sana kwa sasa pia tukubaliane bado inasafari ya miaka 20 kuikuta Mwanza ilipo.