Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom haijafika hata Robo ya investment zinazotakiwa kufanywa tayari imeanza kuwajambisha hovyo watu wa Mwanza 😜😜..

Dodoma the Capital City πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20220921-111536.png
    Screenshot_20220921-111536.png
    251.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220921-112255.png
    Screenshot_20220921-112255.png
    247.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220921-112218.png
    Screenshot_20220921-112218.png
    274.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220921-112322.png
    Screenshot_20220921-112322.png
    175.1 KB · Views: 11
Eti wanataka kushindana na DodomaπŸ˜‚πŸ˜‚.

New Financial District is underway in Dodoma City,Zaidi ya Til.10 zitamwagwa πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20220921-112148.png
    Screenshot_20220921-112148.png
    319.2 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220921-112231.png
    Screenshot_20220921-112231.png
    280.1 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220921-113712.png
    Screenshot_20220921-113712.png
    183.7 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220921-112218.png
    Screenshot_20220921-112218.png
    274.7 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220921-112322.png
    Screenshot_20220921-112322.png
    175.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220921-113553.png
    Screenshot_20220921-113553.png
    170.1 KB · Views: 12
Leta picha ya CBD ya dodoma achana na mji wa kiserikali huko mtumba, picha za Dodoma CBD tuletee humu tulinganishe, hiyo cbd ya dodoma ata kahama ni bunge la mji ukitoa jengo la bunge.
Eti wanataka kushindana na DodomaπŸ˜‚πŸ˜‚.

New Financial District is underway in Dodoma City,Zaidi ya Til.10 zitamwagwa πŸ‘‡
 
Kumbe kun muda huwa una akili timamu nilikuwa nadhani muda wote unakuwa mad.
Nina akili kuliko ukoo wenu wote mliobeba maboga mnayoita vichwa..πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Back kwenye point,Dodoma bado haija mature enough kwa ajili ya kuwa na hiyo arena,uwanja uanze kujengwa baada ya Afcon ya 2027..hope by that time Dodoma itakuwa imefikia maturity period na zile Til.10 zitakuwa zinaelekea mwisho..

Ni busara ya kawaida kwamba ni bora kutumia bil.250 kujenga Viwanja 3 vya kawaida kama Benjamin Mkapa kwa Miji ya Mwanza,Arusha na Mbeya vyenye capacity ya seaters 40,000-60,000..
 
Leta picha ya CBD ya dodoma achana na mji wa kiserikali huko mtumba, picha za Dodoma CBD tuletee humu tulinganishe, hiyo cbd ya dodoma ata kahama ni bunge la mji ukitoa jengo la bunge.
Unaelewa maana ya new Financial District? Mji wa serikali uko Mwanza? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unaelewa maana ya new Financial District? Mji wa serikali uko Mwanza? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Eti financial district..hizo picha ulizotuma hapo ni mtaa wa medeli dodoma..hayo ni majengo ya ofisi za taasisi za serikali ..
Financial district sio eneo la ofisi za serikali.ni eneo Kwa ajili ya huduma za kibiashara na kifedha MFAno
Manhattan new York
posta and kariakoo dar
Nyamagana mwanza..
 
Kwa hiyo kwa akili zako ndogo Medeli na Magufuli City zitakuwa na majengo ya Serikali tuu si ndio?
 
Kwa hiyo kwa akili zako ndogo Medeli na Magufuli City zitakuwa na majengo ya Serikali tuu si ndio?
Unadhani nn ..hamna investors wanaokuwa attracted kuwekeza hapo ...
inshort investor Huwa hafati political motivated investment..yeye anaangalia return possible investment...
 
Mwanza financial district ni nyamagana area .[emoji116]
Picha ya kwanza ni majengo mawili ya exim bank na DTB bank ,,,,

picha ya pili ni jengo la psssf plaza ,Kuna benki 2 NMB na TIB na Kuna insurance companies nne ,na microfinance 2 pamoja na security fund 1
Picha ya tatu ni jengo la BOT benki kuu

Picha ya nne ni jengo la NSSSF Kuna benki 2 , insurance 2 na security fund 1

Picha ya Tano ni Nyerere road Kuna benki kama sita , microfinance za kutosha , insurance za kutosha

picha ya sita ni pamba road Kuna benki 4 TCB, access bank,NMB,na banc ABC .
JamiiForums-1456315326.jpg
JamiiForums-14498644.jpg
1662061550774.jpg
20220812_225926.jpg
JamiiForums1455319007.jpg
JamiiForums-13188025.jpg
 
Attachments

  • 20220916_191434.jpg
    20220916_191434.jpg
    13.2 KB · Views: 20
Mwanza financial district ni nyamagana area .[emoji116]
Picha ya kwanza ni majengo mawili ya exim bank na DTB bank ,,,,

picha ya pili ni jengo la psssf plaza ,Kuna benki 2 NMB na TIB na Kuna insurance companies nne ,na microfinance 2 pamoja na security fund 1
Picha ya tatu ni jengo la BOT benki kuu

Picha ya nne ni jengo la NSSSF Kuna benki 2 , insurance 2 na security fund 1

Picha ya Tano ni Nyerere road Kuna benki kama sita , microfinance za kutosha , insurance za kutosha

picha ya sita ni pamba road Kuna benki 4 TCB, access bank,NMB,na banc ABC .
View attachment 2364103View attachment 2364105View attachment 2364108View attachment 2364111View attachment 2364112View attachment 2364113
Mnahangaika na jitu halina akili, kutwa liko humu limeshupaza misuli kuhakikiaha linapandikoza watu ujinga wake. Mtu hajui chochote halafu anabishana na wanajua si upumbavu huo. Akili ya huyu kiumbe ni zaidi ya matope.
 
Unadhani nn ..hamna investors wanaokuwa attracted kuwekeza hapo ...
inshort investor Huwa hafati political motivated investment..yeye anaangalia return possible investment...
Kwani Mji unajenga in short term? Hujaona Til.10 zinatakiwa kuwa exhausted,zitafanyika kwa mwaka mmja?
 
Point ndio hiyo kwamba kwenye Mji wa serikali ndiko kutakuwa na concentrations ya shughuli za fedha na biashara sasa ulivyo mburula unadhani ni katikati πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Hizo huduma za kifedha ni kwaajiri ya mawaziri, manaibu mawaziri na makatibu tu huoni kama huo mji utakuwa ni wakubaguana baina ya wenye nacho na wasiokuwa nacho, pia inaonesha dodoma ni mji wa kimaskini sana kwa sasa pia tukubaliane bado inasafari ya miaka 20 kuikuta Mwanza ilipo.
 
Haiwezi kuikuta mwanza hata siku Moja.
 
Inatia SIMANZI sana.

Mbeya Jiji mchoko.
 
Attachments

  • FdPDDeEWQAIPoZG.jpeg
    FdPDDeEWQAIPoZG.jpeg
    75.5 KB · Views: 18
Back
Top Bottom