Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nyerere mwenyewe alitangaza makao makuu lakini akabakia magogoni, Jiwe nayeye akahamishia watumishi hapo ila yeye akakimbilia Chato na ziara za wakuu wa nchi zikawa zinafanyikia Chato kiufupi huo mji bado sana kuushindanisha na Mwanza ata CCM wanalijua hilo
 
Ila wagogo ni bure kabisa yaan hako ka mji unalinganisha na Rock City!!! Ficha ujinga wako
 
Lakini pia tuache utani basi yani leo dom uilinganishe na mwanza kweli
Kwa kipi hasa dom uilinganishe na mwz
Asee dodoma bado sana dodoma level zake ni mbeya iringa moshi
 
Bila hata la aerieal picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…