Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hakuna mtu anayetaka ugonjwa wa macho na mafua🀣🀣🀣.
Wakati unajifariji kwa ujinga,Mwanza will never have something like this one happening in Dodoma City..

Capital City in the Making.Kisasa HillTop πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-121639.png
    211.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20221011-121624.png
    198.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221011-121607.png
    359 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221011-121553.png
    361.3 KB · Views: 15
Hiv vijumba vya NHC vimezungukwa na machaka na mavumbi ya ukame ndo unasema nini ..jiji ni hili[emoji116]View attachment 2383852
Toka umeanza kuweka picha za Mwanza yaani walau hii yenye filter ndio umejitahidi kuipamba na rangi japo kama kawaida ni slums kila sehemu..

Dodoma hakuna slums usilinganishe na hilo karo la wavuvi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Dom kama Dom πŸ‘‡
 

Attachments

  • JENGO.jpg
    57.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220128-020402_1.jpg
    42.3 KB · Views: 13
  • 48640981983_d99777bb9b_b.jpg
    73 KB · Views: 15
Toka umeanza kuweka picha za Mwanza yaani walau hii yenye filter ndio umejitahidi kuipamba na rangi japo kama kawaida ni slums kila sehemu..

Dodoma hakuna slums usilinganishe na hilo karo la wavuvi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
We bado dozi haijatosha[emoji116]
Mwonekano wa jijj tokea bugando hill ..unaweza kuzoom Kwa ajili ya burudani ya macho[emoji16]
 
Watakwambia Serikali inawajengea πŸ˜‚πŸ˜‚.

KingCity Apartment Dodoma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-200957.png
    242.5 KB · Views: 14
Wanajengewa nyumba na Serikali πŸ˜†πŸ˜†..

Rorya Apartment Dodoma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-200707.png
    280.2 KB · Views: 15
Ila Dodoma ni tamu khaa,a real City πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-200816.png
    362 KB · Views: 13
  • 3-3.png
    207.3 KB · Views: 13
  • IMG_6892.JPG
    169.1 KB · Views: 11
  • verde-view-hotel.jpg
    22.1 KB · Views: 13
Dodoma haikamatiki kiasi kwamba Mwanza wanatoa macho ila hawaamini 😁😁..

This is Dodoma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-200648.png
    335.3 KB · Views: 13
  • 357699771.jpg
    94.8 KB · Views: 11
  • 375309231.jpg
    125 KB · Views: 10
Ooh Dom hakuna maji and such blaaa blaaa..

Dodoma ya Leo Sio ya Jana πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-124012.png
    123.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221013-100427.png
    207.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221012-191058.png
    99.1 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…