Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom sio level ya Mwanza,Nairobi yote katafute Ring road ambayo ni dual carriage yenye km 110,ukiipata nitag [emoji38][emoji38]
Sasa we jamaa kitu kinawekwa sehemu husika kutokana na mahitaji, kwa hiyo unataka kumaanisha Ring road ambayo no dual carriage ndo the best road ever built on Earth!? Kwani hakuna barabara ambazo ni nzuri ambazo sio Ring road? Na by the way iko na lane ngapi hyo barabara, Ila kizuri lazima tisifie kweli hyo barabara ikikamilika itakuwa nzuri
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa kwa kuwa imejengwa Dom na sio Mwanza,Dom ni bora kabisa kupita Mwanza.

Case closed.
 
sasa maskini si wapo dodoma? kwani omba omba wapo wapi? hv umaskini wa dodoma utalinganisha na mkoa gani? sababu ndio mkoa unaoongoza kwa ombaomba tanzania nzima
Omba omba wapo Dom kwa sababu Dom kuna watu wenye pesa,huwezi omba maskini kama wa.huko Mwanza,watakupa nini watu wanaishi kwenye mawe na milima kama tumbili 😀😆
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa kwa kuwa imejengwa Dom na sio Mwanza,Dom ni bora kabisa kupita Mwanza.

Case closed.
[emoji23] haha kwamba kitu kimoja ndo kinajustify ubora wa mji! Halafu hiyo kitu haijakamilika kwani na sisi tukianza kuleta future projects za mwanza si utabishana Sana mkuu
 
Kilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza [emoji32]

Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.

Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.

Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.

Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Mwanza imejijenga yenyewe imekua naturally , dodoma investment imewekwa kubwa sana lakini naona bado ile value iliyotupwa pale hailingani na development iliyopo

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Dom sio level ya Mwanza,Nairobi yote katafute Ring road ambayo ni dual carriage yenye km 110,ukiipata nitag 😆😆
Wagogo mnatutia aibu, yaani kijiji cha Dodoma unakilinganisha na Nairobi?

Halafu kwa mkae mkijua kuwa sasa hivi Dodoma imesimama kuendelezwa miradi ilyopo ikiisha tu ndo basi tena.
Lakini Mwanza inajengwa kila siku na haitegemei serikali wananchi wake wanajiweza.

Mpaka kufikia 2030 Mwanza itaipita Dodoma zaidi ya sasa hivi kwa sababu kuna muda utafika Serikali itamaliza miradi yake na wananchi wa Dodoma hawawezi kujenga miradi mikubwa kama maghorofa kuanzia 10 floors.

Kwa sasa kuna mwekezaji Mwanza mzawa anataka kuanza kujenga Mall ya 19floors.
 
Kwa sasa kuna mwekezaji mzawa anataka kuanza kujenga Mall ya 19floors.
Sure mkuu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Dodoma+Arusha+Morogoro=Mwanza alone, ukibisha njoo na ushahidi
 
Vitu gani,kwani hujui Dom ndio iko well planned kuliko Mji wowote Tzn? 80% is planned sasa nondo gani unataka?

Ndio maana unaona kuna ujenzi wa ma apartments kila sehemu ikiwemo Mji wa serikali.

Pili barabara tuu za Mji wa serikali km 51 ,Mwanza hakuna .

Mwisho hata square meters za Dom ni kubwa kuliko Mwanza
mji uliokuwa planned kwa tanzania wa kwanza ni tanga
 
Wagogo mnatutia aibu, yaani kijiji cha Dodoma unakilinganisha na Nairobi?

Halafu kwa mkae mkijua kuwa sasa hivi Dodoma imesimama kuendelezwa miradi ilyopo ikiisha tu ndo basi tena.
Lakini Mwanza inajengwa kila siku na haitegemei serikali wananchi wake wanajiweza.

Mpaka kufikia 2030 Mwanza itaipita Dodoma zaidi ya sasa hivi kwa sababu kuna muda utafika Serikali itamaliza miradi yake na wananchi wa Dodoma hawawezi kujenga miradi mikubwa kama maghorofa kuanzia 10 floors.

Kwa sasa kuna mwekezaji Mwanza mzawa anataka kuanza kujenga Mall ya 19floors.
😀😀😀😀 Ndo unavyojifariji sio? Pole Sana Mzee,hiyo inaitwa Battle ot East African Capital Cities,Mwanza ni kijiji cha wavuvi hakina hadhi yoyote.

Pili aliyekwambia Dodoma inajengwa na Serikalini tuu ni nani? Ndio maana mumekariri ujinga kumbe mnapigwa za ugoko.

Kwa taarifa yako hakuna mradi uliosimama,pili unavyoona Dar inajengwa na both private and government ndivyo na Dom inajengwa hivyo hivyo.

Wakati wewe unasubilia kagorofa hako wenzio tunasubilia barabara za njia 4 km 50 kila upande to Arusha,Iringa,Singida na Morogoro..

Hakuna siku itakuja kutokea Jiji la Dom likaachwa kujengwa,saizi pale mjini Kati ni cranes tuu zinapandisha kokoto na sio Serikali bali private sector.

Screenshot_20220114-130538.png

Screenshot_20220114-134003.png

Screenshot_20220114-130409.png

Screenshot_20220114-130342.png

Screenshot_20220114-125552.png

Screenshot_20220114-125444.png
 
[emoji23] haha kwamba kitu kimoja ndo kinajustify ubora wa mji! Halafu hiyo kitu haijakamilika kwani na sisi tukianza kuleta future projects za mwanza si utabishana Sana mkuu
Nimekuorodheshea vitu kibao hapo bado huelewi.

Airport tuu ya Msalato hako la airstrip ka Mwanza kaingie mara 5,bado Uwanja wa mpira,bado arena,bado hotel za 5 star bado vitu kibao vyote viko under construction sijui mtaponea wapi..

Nyie nimewaambia mradi mja tuu wa Medeli wa nyumba 1,000 unatosha kuiangusha Mwanza yote.Kubalini tuu Dom sio level zenu kwa sasa,huu ni ukweli mchungu.
 
Mzee kukatiza Jiji la Mwanza Usagara to Kisesa ni KM 55. Njia nzima ni mjini hakuna mashaba Wala mapori
Kwanza usagara na isesa sio sehemu ya Jiji la Mwanza,ni kama vile unasema kukatiza Jiji la Mbeya kutoka Mbalizi hadi Inyala ambako ni km 60 iwe Mbeya Jiji.
 
hivi dodoma nao mji jaman au we mshkaji umeamua tu kuanzisha ligi? kweli ndungu yangu kama una akili timamu dodoma ya kuifananisha na Mwanza? nisiongee sana nawaza nikakufuru.....maana binafs sijawahi mskia mtu akiwa na matamanio ya kuijua dodoma zaidi zaidi wengi wanatamani kuijua Dar, Mwanza na Arusha.
Hapo kwenye matamanio ya kuijua miji mitatu tu ndo tatizo la kuijudge Dom kwa mihemko ndiyo maana utashangaa mitandaoni zimejaa picha za Mwanza,dar na chuga siyo dodoma, nikwambie tu hivo vipicha mlivyopost kwa mbwembwe ni uchafu tu kwa Dom kama unataka kuamini ingia google earth nikupe Barabara moja ya Kikuyu avenue ifatishe(itumie kama sample) na wala siyo jiji zima then rudi hapa uidiss Dodoma kama mnao ubavu huo mwanza
 
Back
Top Bottom