tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Hadi 2025 mwanza ishapotea kwenye map ..watasumbua population tuKuna kitu hakina ubishi Dodoma ni mji unakuwa haraka kuliko miji mingine na hii sio suala la Mwanza zaidi ya Dodoma au Dodoma zaidi ya Mwanza hapana ila kitu kimoja hakina ubishi katika kukuwa haraka Dodoma kunakuwa haraka hii ina maana soon wataipiku Mwanza leo hii Dodoma iliyokuwa na watu Million sijui wamezidiwa kama laki 4 tu hivi na Mwanza number zao hazibadiliki, pia kuna miradi mingi mipya Dodoma kuliko Mwanza miaka 3 kutoka sasa tutakuja kukumbushana hapa. Wasukuma wengi siku hizi wako Dodoma hii dalili ya fursa zipo. Swali la kujiuliza miaka 5 nyuma Mwanza ilikuwa wapi na Dodoma ilikuwa wapi na leo ziko wapi? kasi % utakayopata ndio mwelekeo wa mbele soon.
Yani mwanza inaizidi Arusha population sio maendeleo